Chama
cha mapinduzi CCM mkoa wa Mtwara kimekiri kuwa upinzani umekuwa mkubwa
hasa maeneo ya mjini baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa
kuonesha kuwa CCM imeshinda viti 58, wakati vyama vya upinzani vikiwa
vimeshinda mitaa 53.
Akitoa taarifa ya matokeo hayo katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu
Akweilombe amesema mitaa iliyoshindaniwa katika manispaa ya Mtwara mjini
ni
↧