Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea, Kata ya Mkolani,
Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa mtaani
kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura.
Msimamizi wa
uchaguzi huo, Halifa Hida alisema mgombea huyo alifariki dunia ghafla
akiwa kwenye mtaa wake wa Swea na chanzo cha kifo hicho
hakijajulikana... “Sasa kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi, tutatangaza
↧