$ 0 0 Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni Matei aliyepata kura 17.