Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Bunda Mjini umekamilika, ambapo Robert Chacha Maboto ameongoza kwa kupata kura 140, akifuatiwa na Stephen Wasira aliyepata kura 115. --------- Robart Maboto kura 140 Stephen Wasira kura 115 Zuru Nanji kura 63