Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Profesa Jumanne Maghembe Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Mwanga....Mshindi Ni Anania Thadayo

$
0
0
Waziri wa zamani wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Profesa Jumanne Maghembe ameshindwa katika kura za maoni za CCM kwa kupata kura 130 dhidi ya mshindi Anania Thadayo aliyepata kura 176
______
Matokeo:
 
1.Anania Tadayo  kura 176.
2.Jumanne Maghembe kura 130.
3.Shabib Mruma kura 56

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>