$ 0 0 Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi . Mnyeti ameongoza kwa kura 406 akifuatiwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Charles Kitwanga aliyepata kura 260