$ 0 0 Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameibuka mshindi wa kura za maoni za jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 333 akifuatiwa na Philemon Mollel kura 68 na wakili Albert Msando akipata kura 19.