$ 0 0 Zoezi la kuhesabu kura za maoni katika Jimbo la Ubungo limekamilika, ambapo aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ameongoza kwa kupata kura 172, akifuatiwa na Mwantum Mgonja aliyepata kura 73.