$ 0 0 Prof Joyce Ndalichako ameshinda katika kura za maoni ndani ya CCM kuwania Ubunge wa Kasulu Mjini kwa kupata kura 405, akifuatiwa na Daniel Nsanzugwanko aliyepata kura 80 kati ya 501