$ 0 0 Kutokea Tanga, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Pangani.Aweso ameongoza kwa kura 282 akifuatiwa na Mohamed Waziri mwenye kura 30.