$ 0 0 Dkt. Tulia Ackson aibuka mshindi katika kura za maoni Jimbo la Mbeya Mjini - CCM baada ya kujizolea kura 843 kati ya kura 886. Dkt. Tulia Ackson Kura - 843Dkt. Mahenge Mabula Kura - 16Charles Mwakipesile Kura - 11