$ 0 0 Naibu Waziri wa Ardhi, Dkt. Angeline Mabula ameongoza kwenye kura za maoni Jimbo la Ilemela Mwanza kwa kupata kura 502 kati ya kura 685 zilizopigwa. Anayemfuatia ni Israel Mtambalike ambaye amepata kura 112.