Mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia, ameshindwa kutetea nafasi yake katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mtulia ameangushwa na Abbas Tarimba katika kura hizo za maoni zilizofanyika leo Jumatatu tarehe 20 Julai 2020 katika Ukumbi wa King Solomon.
Wagombea walikuwa 79 ambapo Tarimba amepata kura 171, mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Iddi Azzan kura 77 na Mtulia kura 11 kati ya kura zote 404 zilizopigwa na wajumbe wote.