$ 0 0 Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi.Selemani Jafo-588Hassan Bangusilo- 1Fransis Gosbert -1Mohamed Masenga-1Ally Goha -2Zemba Mumbi -2Zainabu Zowange-2Chaulembo -3