$ 0 0 Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.Lukuvi - 453Kiyoyo - 16Mwilinge - 5Kidunye - 5 Kalinga - 4Mfilinge - 4Kushoka - 0Chengula - 0Gange - 0