Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Saed Kubenea Aitosa CHADEMA na Kujiunga ACT- Wazalendo

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha ACT-Wazalendo.

Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad,  Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Pia, katika hafla hiyo, zaidi ya wanachama 48 wa Chadema wamejiunga na ACT-Wazalendo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>