Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mama Salma Kikwete ajitosa ubunge Mchinga, Lindi

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete  amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM  kugombea ubunge katika jimbo la Mchinga Mkoa wa Lindi.

Mama Salma amechukua fomu hizo leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 kuwania jimbo hilo ambalo lilikuwa likiongozwa na Hamidu Bobali wa Chama Cha Wananchi (CUF).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>