Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa
jina la Ezekiel Malika 'Baba Kulwa' amenaswa gesti na mkewe akiserebuka
na shoga aitwaye Aunt Steve na kuibua mtiti mzito..
Tukio hilo lilivuta umati lilijiri Mei 20, mwaka huu kwenye gesti
moja iliyopo Mwananyamala, Dar ambapo mke wa Ezekiel
alivamia na kutembeza mkong’oto wa hasira kwa mumewe.
Mei 19, mwaka huu, saa 3:15 asubuhi, mwanamke
↧