Katika
kile kinachoonekana ni mwendelezo wa matapeli wa mjini kutumia majina
ya waigizaji maarufu nchini kutapeli watu kwa njia ya mtandao, dhahama
hii sasa imemkuta mwanadada Jacqueline wolper baada ya watu wanaoaminika
kuwa ni matapeli kutumia jina lake kujipatia fedha na vitu vingine
kiudanganyifu.Akizungumza kwa simu na tovuti ya bongomovies,
mwanadada Jacqueline wolper alisema
↧