Jumuiya
ya Uamsho na Mihadhara ya Kislamu (JUMIKI) imekusanya zaidi ya majina
elfu 60 na saini zao kwa ajili ya kudai kura ya maoni ya kukataa au
kuukubali Muungano.Akitoa taarifa ya Jumuiya hiyo kwa wandishi
wa habari huko hoteli ya Mazson, Naibu Amir wa Uamsho, Sheikh Haji Ali
amesema jumuiya hiyo inaamini Muungano uliopo umefanywa bila ya ridhaa
ya wananchi.Amesema hivi sasa umefika
↧