SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa
Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari
kamili.
Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja
wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita
wakati shughuli za kimahakama
Simu ya kichina yazua balaa wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Shehe Ponda Issa Ponda
↧
↧
Bunge la katiba: Wapentekoste washikana uchawi....Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji amtaka Katibu wa baraza la Maaskofu ajiuzulu
BARAZA la Maaskofu wa Kipentekoste nchini (PCT), limeshauriwa kuonesha kitabu kilichosainiwa na watumishi Ofisi ya Rais, Ikulu baada ya kuwasilisha majina yaliyopendekezwa kwa ajili ya uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste nchini, Askofu Pius Ikongo, alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na Majira.
Alisema ili
↧
Padri wa Kanisa Katoliki afia GEST HOUSE....Mwingine afia kwa hawara yake.
Kiongozi wa Kanisa amekutwa akiwa amefariki dunia kwenye nyumba
ya kulala wageni jijini Nairobi na kufanya vifo vya kutatanisha vya
viongozi wa kidini kufikia wawili wiki hii.
Katika tukio la juzi, Padri wa Kanisa Katoliki,
Otto Myer (70) ambaye ni raia wa Italia, alikutwa akiwa amefariki saa
tano usiku chumbani mwake kwenye nyumba ya kulala wageni ya the
Consolata huko Westlands,
↧
Mtoto wa ajabu azaliwa mkoani Iringa....Hafahamiki kama ni wa kiume au wa kike. Mama yake aiomba jamii imsaidie
Sophia Kindamba akiwa na mwanae Junior Richard Rutta
.....................................
MTOTO Junior Richard Rutta ambaye jinsia yake haieleweki anatafuta msaada utakaomuwezesha kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya CCBRT, jijini Dar es Salaam.
Mtoto huyo mwenye miaka miwili na miezi saba anaishi na mama yake mzazi, Sophia Kindamba, mtaa wa Mtwivilla, mjini Iringa.
Akiomba msaada huo,
↧
Diamond kuhudhuria tuzo za 'AFRIMMA' zitakazofanyika Texas Marekani, zitahusisha wasanii wakubwa Afrika
July 26 mwaka huu, wasanii wengi wakubwa Afrika kutoka katika mataifa
ya 17 watakutana Dallas, Texas, Marekani kuhudhuria utoaji wa tuzo za
kiafrika zinazojulikana kama ‘AFRIMMA Awards’, na tayari Diamond
Platinumz tayari ameshaonesha uthibitisho wa kuwa katika daftari la
mahudhurio siku hiyo.
Diamond amepost kwenye Instagram video inayomuonesha akifanya promo
maalum
↧
↧
Matokeo ya kidato cha nne 2013 yatangazwa...Bofya hapa ujionee
Baraza
la mitihani la Taifa, NECTA, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato
cha nne uliofanyika mwezi November mwaka jana, huku kiwango cha ufaulu
wa masomo ukipanda kati ya asilimia 0.16 na 16.72 ikilinganishwa na
mwaka 2012, na wasichana wakiibuka kidedea katika ufaulu wa jumla
kitaifa. Jumla ya watahiniwa 235,227 sawa
na asilimia 58.25 ya watahiniwa wote wamefaulu mtihani, idadi ya
↧
Haya ni majina ya wasichana 10 bora na wavulana 10 bora katika matokeo ya kidato cha nne 2013
Watahiniwa wa kike wamefanya vizuri kwa kuchukua nafasi saba
kati ya 10 za juu, huku Shule ya Marian Girls ya Pwani ikiongoza kwa
kuwa na wanafunzi wanne.
Mwanafunzi aliyeongoza ni Robina Nicholaus wa
Shule ya Marian Girls, akifuatiwa na Magrath Kakoko wa St Francis
(Mbeya) wakati wa tatu ni Joyceline Marealle kutoka Shule ya Canossa
(Dar es Salaam).
↧
Hii ni kauli ya mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya kidato cha nne.....Aliyeshika nafasi ya tatu apata mshituko, azimia
Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kwa ufaulu kitaifa katika
Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa 2013, jana alipoteza
fahamu kwa muda baada ya kupata matokeo hayo.
Mwanafunzi huyo, Joyceline Marealle wa Shule ya
Sekondari Canossa ya Dar es Salaam, alipatwa na mkasa huo muda mfupi
baada ya mwandishi wa gazeti hili kumpigia simu na kumweleza matokeo
hayo.
↧
Mwalimu auawa na wananchi baada ya kumchinja mwanafunzi
Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar, ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36)
wa Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam, ameuawa baada ya kumchinja
mwanafunzi wake.
Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa madrasa na shule ya awali ya Ali
Munawar, alimchinja mwanafunzi huyo jana saa 12.10 jioni kwenye eneo
la madrasa baada ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa
↧
↧
Shilole awashangaa wasichana wasiopenda kuvaa nguo za ndani kwa kisingizio cha joto....
Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka
kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za
ndani ‘makufuli’.
Akistorisha na mwandishi wetu, Shilole alisema katika maisha yake
anapenda sana kujisitiri kwa kuvaa nguo ya ndani hivyo anawashangaa
wasanii wanaotembea bila kuvaa nguo hiyo huku wengine wakidai wakizivaa
wanahisi kuwashwa
↧
Wanataaluma wayakosoa matokeo ya kidato cha nne 2013....Wadai kuwa licha ya kiwango cha ufaulu kuongezeka, ubora wa Elimu haujazingatiwa
Siku moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
kutangaza matokeo ya kidato cha nne na kuonyesha ufaulu kuongezeka kwa
asilimia 15, wadau wa elimu wamepinga matokeo hayo kwa madai kuwa ubora
wa elimu haukuangaliwa.
Hatua hiyo inatokana na mabadiliko ya viwango
vipya vya alama za ufaulu yaliyofanyika Oktoba mwaka jana, baada ya
Serikali kuweka alama za kufaulu
↧
CHADEMA wazindua rasmi kampeni za kuwania Ubunge katika Jimbo la Kalenga....
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo
Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha
Mgombea
wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama
hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza jana katika jimbo
la Kalenga.
↧
Majambazi wanne wauawa na jeshi la polisi jijini Arusha wakati wakijiandaa kufanya tukio la uhalifu katika kituo cha kuuzia mafuta
Na
Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha
Watu wanne (wanaume) ambao bado hawajafahamika wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 35 ambao wanasadikiwa kuwa
ni majambazi wameuawa baada ya kupigwa risasi na askari Polisi. Tukio hilo
lilitokea tarehe 21.02.2014 muda wa saa 1:00 jioni katika bar moja iitwayo
Pama iliyopo maeneo ya Makao Mapya jijini hapa.
↧
↧
Ajali mbaya ya malori yatokea eneo la Mikese mkoani Morogoro... Dereva mmoja ateketekea kwa moto
Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili
yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo
ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta...
Mpaka sasa malori hayo
yanaendelea kuteketea kwa moto, na dereva mmoja wa lori amefariki. Taarifa zaidi na picha za tukio hili
vitawajia punde
<!-- adsense -->
↧
Picha za AJALI mbaya ya malori iliyotokea Mikese Morogoro ambapo DEREVA mmoja wa lori amepoteza maisha,,,,,,,,,,,,,
Baadhi ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese
mkoani Morogoro wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena
ya mafuta lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa
umeteketea vibaya kwa moto baada ya ajali.
Mwili wa dereva wa lori la mafuta ukiwa umeteketea kwa moto.
Ajali mbaya imetokea leo katika kijiji cha Fulwe, kata ya Mikese mkoani
↧
Picha za waziri Magufuli alipotembelea AJALI ya magari yaliyoteketea kwa moto eneo la Mikese mkoani Morogoro leo
Waziri
wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli amesafiri akitokea Mkoani Dodoma
anakohudhuria Vikao vya Bunge la Katiba na kwenda moja kwa moja Morogoro
maeneo ya Mikese (Kilomita kumi kutoka Mzani wa Mikese kuelekea Dar),
ambapo magari mawili yaligongana na kuteketea kwa moto na kusababisha
kifo cha mtu mmoja alietambulika kwa jina la Moud Amin.
Ajali
hiyo ambayo imetokea mapema
↧
Rais Kikwete aongoza harambee ya kuchangia wodi ya dharura ya watoto na vifaa vyake hospitali ya taifa ya Muhimbili....Milioni 602 zapatikana
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi
na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee
ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/
zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika
harambee hiyo iliyofanyika
↧
↧
Orodha ya majina ya walioitwa na Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) kwenye usaili February 2014
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za
Inspection Technician II, Records Management Assistant II, Inspection
Technician II (Deep sea) na Quality Assurance Officer II (Electrical
Engineer) kuwa wafuatao wamechaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano
utakaofanyika tarehe 25.02.2014
Kada ya Inspection Technician II, tarehe 26.02.2014
Kada ya Records
↧
Binti wa kitanzania abakwa na kuafriki dunia....Alikuwa nchini China AKIJIUZA , Wanaume watano wa kinigeria wadaiwa kuhusika
Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini
na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni,
wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume (ukahaba),
sasa yamemkuta Mbongo aitwaye Sabrina au Habiba....
Habari za uhakika kutoka kwa chanzo chetu nchini humo zilisema kuwa,
Sabrina (24), alifariki dunia Alhamisi iliyopita
↧
Jiji la Arusha lavunja nyumba zaidi ya 330 ili kupisha ujenzi wa miradi mbalimbali katika maeneo hayo
Halimashauri ya jiji la Arusha imebomoa nyumba zaidi ya 330
baada ya kushinda kesi iliyofunguliwa na waliokuwa wapangaji
waliokuwa wakipinga amri ya kuhama kupisha zoezi la ujenzi wa
nyumba za kisasa.
Mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unatekelezwa na Halmashauri ya jiji kwa kushirikiana na wadau mbali mbali.
Bomoa bomoa hiyo ilianza jana alfajiri na
↧
More Pages to Explore .....