Video Mpya ya Lady JayDee- " HISTORIA"...Bofya hapa uione
↧
↧
Wastara Juma ataka kujiua kwa sumu....Kisa chadaiwa ni madeni, manyanyaso na kutongozwa mara kwa mara na wanaume
IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe,
Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma,
Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa
sumu....
KABLA YA YOTE
Awali, staa huyo ambaye amepitia
mitihani mingi, alitundika picha katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram
na kulalamika kuumwa tumbo.
Katika maelezo
↧
Watanzania asilimia 33.4 watajwa kuwa ni maskini waliokithiri
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii
(ESRF), umebaini asilimia 33.4 ya Watanzania wameghubikwa na umaskini
uliokithiri jambo linalosababisha vifo, msongo wa mawazo, afya duni na
utegemezi.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Redio
cha Maendeleo kwa ajili ya kutoa taarifa za maendeleo kwa umma
iliyozinduliwa na ESRF jana, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo
↧
Alichokisema Dr. Slaa baada ya ofisi za makao makuu ya CHADEMA jijini Dar kunusurika kuchomwa moto
Usiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na
Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea
kwa moto baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kulipua ofisi za
makao hayo.
Hii ni video inayomuonyesha Katibu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa akielezea tukio hilo.
↧
Mabilioni CHADEMA yateketea bure...Mbowe, Dr. Slaa waambulia AIBU mikoani, yadaiwa kuwa Zitto Kabwe hawatamuweza, labda kama wanataka kuua chama chao wagawane rasilimali
Wakati mwenyekiti wa chama wa Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Freeman Mbowe na katibu mkuu wake, Dr. Wilbroad Slaa wakiwa na mkakati wa kummaliza kisiasa aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho Zitto Zuberi Kabwe kwa gharama yoyote ile, mkakati huo umegeuka na kuwa aibu tupu kwa viongozi hao...
Tathmini ya ujumla iliyofanywa na
↧
↧
Mgomo wa wafungwa waipa changamoto magereza.........
Tishio la mgomo wa wafungwa 17 waliohukumiwa kifo na wa vifungo vya kati
ya miaka mitano hadi 30 katika Gereza Kuu la Lilungu lililopo mkoani
Mtwara, limelitikisa Jeshi la Magereza nchini na kuchukua hatua haraka
kushughulikia malalamiko yao.
Aidha, wafungwa hao walikataa kuvichukua baadhi ya vitu vilivyopelekwa
gerezani hapo na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mtwara, Mussa Kaswaka, wakidai
↧
Mbunge wa CCM Badwel yupo kitanzini tena
Kamati
I ya Uhakiki wa Fedha za Mfuko wa Jimbo la Bahi Mkoani Dodoma
iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi,
imemtia hatiani na kumuweka katika wakati mgumu Mbunge wa jimbo hilo,
Omary Badwel, baada ya kubaini amehusika katika ubadhilifu wa mamilioni
ya fedha za mfuko huo.
Kutokana na hali hiyo, kamati hiyo imependekeza Baraza la Madiwani wa
halmashauri hiyo
↧
Baada ya ajali mbaya ya ndege... Algeria yatangaza siku tatu za maombolezo.....
Ndege aina ya Hercules C-130 baada ya kupata ajali
Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya ndege iliyowaua watu 77 Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
Abiria mmoja alinusurika ajali hiyo iliyohusisha ndege aina ya
Hercules C-130 iliyoanguka katika eneo la milima ya Oum al-Bouaghi,
ikiwa njiani kuelekea mji wa Constantine.
Kikosi cha uokoaji
↧
Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kumuaga Mstaafu IGP Mwema
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi nchini, linapenda kuufahamisha umma kuwa, mnamo tarehe
15/02/2014 siku ya Jumamosi katika viwanja vya Polisi Barracks, barabara
ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, kutakuwa na hafla ya kumuaga IGP
Mstaafu Said Alli Mwema kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa sita mchana.
Katika hafla hiyo, kutakuwa na mambo mbalimbali yaliyoandaliwa
↧
↧
Tume ya Uchaguzi yatoa Taarifa kuhusu uchaguzi wa Ubunge Kalenga
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
Tume ya Tifa ya Uchaguzi imepokea barua kutoka kwa Mhe. Spika wa
BUNGE la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya kuiarifu uwepo wa nafasi wazi
ya Ubunge katika Jimbo la Kalenga lililopo katika Halmashauri ya Wilaya
ya Iringa Vijijini, kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. William
Mgimwa aliyefariki dunia tarehe 1/
↧
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa adaiwa kuwa ni MSALITI baada ya kuishutumu serikali kupitia gazeti la Daily Mail la Uingereza
Umoja wa Wabunge wa Hifadhi ya Wanyamapori na Mazingira (TPGSNRCU),
umemshukia mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa (CHADEMA),
ukidai ni msaliti na mnafiki.
Umoja huo umesema kauli zilizotolewa na Msigwa alipozungumza na
mwandishi wa gazeti la Daily Mail la Uingereza, kuwa serikali haifanyi
juhudi za kulinda rasilimali hazina ukweli.
Pia umemtaka Msigwa kuwa mzalendo na
↧
Vigogo 6 wa CCM kitanzani leo.....Kamati ndogo ya maadili kuwahoji kwa tuhuma za kuanza harakati za urais 2015 kinyume cha utaratibu
KAMATI Ndogo ya
Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inaanza kuwahoji wanachama
sita, wakiwemo viongozi waandamizi kwa tuhuma za kuanza harakati za
urais mwakani kinyume cha utaratibu.
Wanachama hao wanatuhumiwa kufanya kampeni kabla ya wakati, jambo linalodaiwa limekuwa likiwavuruga wanachama.
Ni kutokana na
vitendo hivyo, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM (Bara), John
↧
Serikali yapigilia msumari matumizi ya mashine za EFD kwa wafanyabiashara wanaogoma....Yadai kuwa msimamo wake uko pale pale na kamwe hautabadilika
SERIKALI
imeonya kuwa, mashine za kielektroniki (EFD) zisiwe chanzo cha kuvuruga
amani ya nchi, na zitaendelea kutumika kwa mujibu wa sheria.
Imesema msimamo wake uko pale pale na kamwe hautabadilika.
Kwa mujibu wa serikali, hakuna sababu ya kuendelezwa mjadala huo, kikubwa ni wafanyabiashara kufuata sheria za nchi.
Waziri wa
Fedha, Saada Mkuya Salum, akizungumza kwa simu
↧
↧
Taarifa ya SUMTRA kuhusu kurudishwa kwa usafiri wa mabasi yaendayo Ferry na Mnazi mmoja jijini Dar
YAH: KURUDISHWA KWA USAFIRI WA MABASI KWENDA FERRY NA MNAZI MMOJA
Kutokana na adha wanayopata abiria wanaofanya safari zao kati ya
Kivukoni na Mnazi Mmoja, SUMATRA ikishirikiana na kikosi cha usalama
barabarani (Kanda maalumu) imerudisha usafiri huo ambapo mabasi ya UDA sita (kwa kuanzia) yatakuwa yanafanya safari kila siku katika maeneo hayo.
Usafiri huu umeanza rasmi leo ( jana )
↧
Rais Kikwete azindua mabango ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya tembo na faru...
Moja
ya mabango yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia leo
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kupiga vita mauaji ya Tembo na
Faru nchini. Hafla hii ilifanyika muda mfupi kabla Rais Kikwete
hajapanda ndege kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria mkutano wa
kimataifa wa kupanga mikakati ya kupambana
↧
Miss Tanzania akiri kutembea na kondom kwenye mkoba wake kwa masaa yote 24.....Adai lengo ni kuzuia mimba isikamate
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote
kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’...
Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum na Global Publishers.
Katika mahojiano hayo, Salha
aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine
ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa
↧
Mvurugano Bunge la katiba: CHADEMA yatishia kususia bunge hilo
WAKATI keshokutwa Bunge Maalum la Katiba linaanza kukutana mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema huenda kikasusia Bunge Maalum la Katiba iwapo litaendeshwa kwa kufuata matakwa ya chama cha siasa na siyo ya wananchi.
Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alisema hayo jana wakati akielezea maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu (CC) kilichofanyika jana na kueleza
↧
↧
Rais Kikwete achoshwa na vurugu za wapinzani....Awataka wanaCCM kuacha unyonge na badala yake wajibu mapigo ya vurugu hizo, asema uvumilivu una ukomo wake
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewataka wanachama wake kuacha unyonge na kujibu mapigo ya wapinzani hasa wale ambao wanaendesha siasa za vurugu katika kampeni za chaguzi mbalimbali nchini.
Rais Kikwete amesema kuwa uvumilivu una ukomo, na kwamba sasa wanachama wa CCM hawana budi kuacha unyonge, kutokana na siasa hizo za vurugu zinazoendeshwa na
↧
Mh. Benard Membe naye ahojiwa na kamati ya maadili CCM
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati
Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya
kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili
↧
Wajumbe wa Bunge la Katiba kulipwa sh. 300,000 kwa siku na siyo sh. 700,000/= kama ilivyodaiwa hapo awali
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, amewaambia waandishi wa habari kuwa Bunge Maalumu la Katiba litazinduliwa rasmi Februari 26, 2014 huku kila mjumbe akilipwa posho ya shilingi laki tatu na siyo shilingi laki saba kama ilivyochapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
“Sisi tumesikia kuwa Wabunge wa Bunge la Katiba wanalipwa 700,000 na wala
↧
More Pages to Explore .....