Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu Michael kusomewa mashitaka ya kuua bila kukusudia tarehe 17 ya mwezi huu

0
0
  Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.    Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia, iliyotolewa

Mtu mmoja akutwa amejinyonga maeneo ya ufukwe wa spice motel beach huko Kagera

0
0
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti  maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya saa nane mchana ..   Taarifa za awali  kutoka kwa watu waliokuwa katika tukio hilo zinasema  kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na alikuwa akifua

Vijana wanaswa wakijisaidia katika masinki ya kunawia ndani ya uwanja wetu wa taifa wa mpira.

0
0
Pichani juu ni baadhi ya wadau wa Soka waliokutwa hivi karibuni wakijisaidia kwenye masinki ya kunawia mikono kama waonekanavyo pichani. Hapa baada ya kumaliza shughuli yao haoo wakaondoka,je wahusika wanalichukuliaje jambo hili lisilo la kiungwana kabisa ndani ya uwanja wa wetu wa mpira,ambao umejengwa kwa gharama kubwa,lakini kuna baadhi ya watu kama hawa wamekuwa wakiharibu

Rais Atangaza majina ya wajumbe wa bunge la katiba ....Bofya hapa kuyaona

0
0
UTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia,

Taarifa ya Ofisi ya Lowassa kuhusu kurasa zenye jina lake facebook, twitter na instagram

0
0
Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mhe. Edward Lowassa katika mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram n.k. zinaonekana mmiliki wake ni Mhe. Edward Lowassa. Ukweli ni kwamba hizo zote hazimilikiwi na Mhe. Lowassa. Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo  hazihusiani kwa namna yoyote na Mhe Lowassa.

Mshahara kima cha chini ni 720,000/-

0
0
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limependekeza mshahara wa kima cha chini uwe sh  720,000. TUCTA imekuja na pendekezo hilo huku kukiwa na taarifa kwamba serikali imepandisha kiinua mgongo kwa wabunge kutoka sh milioni 43 za awali hadi sh milioni 160, pamoja na nyongeza ya mishahara na posho zao.   Pendekezo hilo la TUCTA lilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa

"Wanaohoji Lowassa kutengenezewa fulana zenye picha yake na ujumbe wa ‘Friends of Lowassa’ (Marafiki wa Lowassa) ni washamba".. Talib Ali Talib

0
0
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Talib Ali Talib, amesema wanachama na viongozi wanaohoji Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kutengenezewa fulana zenye picha yake na ujumbe wa ‘Friends of Lowassa’ (Marafiki wa Lowassa) ni washamba.  Akizungumza na Tanzania Daima jana, mjumbe huyo alisema haikuwa sahihi kwa Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela kushangaa

Mwalimu wa Shule ya Msingi ajinyonga chooni kwa madai ya msongo wa mawazo.

0
0
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mwang’osha Kata ya Nyamalongo wilayani Shinyanga, Christipian Mafuru (24) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa madai ya msongo wa mawazo.   Mafuru ambaye alitumia kamba ya katani na kujinyonga kwenye choo chake. Ameacha ujumbe uliosomeka ‘Msongo wa mawazo umenilazimu nifanye hivi, poleni sana walimu wenzangu, samahani wazazi wangu, kwa heri mwanangu Ray.’  

Shule Dar taabani, walimu wakalia khanga chini ya miti

0
0
Shule ya Msingi Mtambani  iliyoko Kinondoni jijini  Dar es Saalam, haina  samani  hali inayosababisha wanafunzi kukaa chini, wakati walimu wanalazimika kutandaza khanga wanazokalia chini ya miti. “Shule hii ina upungufu wa madawati,  nusu ya wanafunzi wanakaa chini, hatuna ofisi za kutosha za  walimu  wale wasio na nafasi  wanakaa chini ya miti”, alisema Mwalimu Mkuu Emmanuel Munisi.

Watu tisa watiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya wanawake wawili wanaodaiwa kuzuia mvua kunyesha mkoani Simiyu

0
0
  Na Chibura Makorongo, Simiyu. Jeshi la polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu tisa wakiwemo wanawake wawili wa kijiji cha Mwabulimbu wilayani Maswa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya kina mama wawili kuuawa na kuchomwa moto kwa kudaiwa kuzuia mvua kunyesha.  Mbali  na   wanawake hao polisi pia inawashikilia viongozi wakuu wa jeshi la ulinzi wa jadi "Sungusungu" akiwemo Mtemi  na

Jambazi mkuu aliyekuwa anasakwa na jeshi la polisi kwa mauaji ya watu 8 huko Tarime akamatwa mkoani Tanga

0
0
   Mkuu wa jeshi la polisi nchini ** via Imma Matukio — Jambazi mkuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyang'anyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe 06.02.2014 mkoani Tanga. Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa

Nape alaani vitendo vya kikatili na kinyama vinavyofaywa na CHADEMA.....

0
0
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.Nape alisema kitendo cha wana CCM kushambuliwa ni kitendo cha kinyama na kinatakiwa kikemewe na kila mtu,pia alisisitiza Vijana wa CCM kuwalinda wapigaji kura wao siku ya kupiga kura.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa mkutano

Shilole ayazungumzia MADONGO aliyorushiwa na Baby Madaha, "najua kuna vitu vingi nimekuzidi.." .. ampa ushauri

0
0
Baada ya msanii wa Candy n Candy, Baby Madaha kufunguka akimchana wazi msanii mwenzake wa kike, Shilole  kwa kudai kuwa nyimbo zake haziwezi kulinganishwa na nyimbo anazofanya Shilole, Shilole nae kakikalia kiti kile kile na kuyajibu makavu hayo.   Shilole amedai kuwa hawezi kupoteza muda kumzungumzia Baby Madaha, na kwamba yeye anaamini hana tatizo naye lakini anashangaa kuona

Jose Chameleone amuonesha mkewe 'Danniella' anavyompenda kwa kuchora tattoo ya jina lake shingoni

0
0
Wakati tunaelekea katika ile siku inayoaminika kuwa siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’, mkali wa Valuvalu Jose Mayanja Chameleone ameamua kumuonesha mkewe Daniella na dunia nzima jinsi anavyompenda, kwa kujichora tattoo yenye jina lake shingoni.   Chameleone ambaye yuko nchini Afrika Kusini kwa shughuli za kimuziki, alipost picha hizo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook, picha

DK Cheni adai filamu yake ya 'Nimekubali Kuolewa' haichochei USHOGA kama bodi ya filamu ilivyoichukulia na kuamua kuizuia

0
0
Uamuzi wa bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kuizuia filamu ya muigizaji wa kiume na mkongwe, Dk Cheni ‘Nimekubali Kuolewa’, kwa madai ya kukiuka maadili na kuchochea tabia za ushoga, umepingwa na msanii huyo ambaye anaamini kabisa kuwa maudhui ya filamu hiyo yangeelimisha jamii zaidi ya picha katika cover yake.   Dk Cheni ameiambia Global Publishers kuwa picha iliyoko kwenye bango la

Video ya wimbo wa Shakira na Rihanna yadaiwa kuchochea USAGAJI na uvutaji sigara, Colombia yaombwa kuipiga marufuku

0
0
  Video ya wimbo wa Shakira ‘Cant Remember to Forget You’ aliyompa shavu mwimbaji mwenzake wa Caribbean, Rihanna imekosolewa vikali na mwanasiasa mmoja nchini Colombia anayefahamika kwa jina la Marco Fidel Ramirez, akidai kuwa kinyume cha maadili na hivyo kuwaharibu watoto wadogo.   Marco Fidel, ameiomba serikali ya Colombia kuipiga marufuku video hiyo ama vipande vya video hiyo

Askari wa usalama barabarani ajikuta katika wakati mgumu baada ya kulipiga mkono na kulizuia gari alilokuwa amepanda mheshimiwa Rais.

0
0
Tukio hili limetokea kwenye mji mkuu  wa  Kenya  ambao ni Nairobi pale Rais Uhuru Kenyatta wa  nchi  hiyo  alipotumia gari moja tu bila msafara akitokea Ikulu kwenda kwenye hoteli moja kwa ajili ya kukutana  na Wanafamilia.    Toka amechukua madaraka, Rais Uhuru Kenyatta  amekuwa na tabia ya  kutumia  gari  moja  tu  bila  msafara, tofauti na Rais Kibaki ambaye kila sehemu aliyotia mguu

Maaskofu, Masheikh waeleza uhusiano wao na wanaowania urais 2015

0
0
VIONGOZI wa dini nchini wamesema kuwa uhusiano wao na watu wanaoutaka urais mwaka 2015 si wa kisiasa, bali ni wa kiimani zaidi. Kauli hiyo ya viongozi wa dini imekuja wakati ambao baadhi ya wanasiasa wamewaelekezea lawama kuwa wanatumiwa vibaya na watu wanaoutaka urais mwaka 2015. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti la Mtanzania  viongozi hao walisema uhusiano wao na wanasiasa,

CHADEMA na CCM kupambana leo katika uchaguzi wa madiwani

0
0
Uchaguzi wa madiwani katika Kata za Malindo wilayani Rungwe na Santiliya katika Wilaya ya Mbeya Vijijini  mkoani  Mbeya , unafanyika leo.   Msimamizi wa Uchaguzi wa Kata ya Malindo, Stephen Mwakingwe alisema maandalizi yote muhimu yamekamilika. Mwakingwe alisema “CCM imesimamisha Nelson Mwaitembo, wakati Chadema mgombea

Mtoto wa aliyekuwa waziri wa fedha ( marehemu Dr. Mgimwa ) ashinda kura za maoni kugombea ubunge wa jimbo hilo la Kalenga

0
0
  Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi ya baba yake kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa.  -- Na Francis Godwin, Iringa ** Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo  huku mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images