Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

HALI YA M TO THE P YAIMARIKA...... NGWAIR ATARAJIWA KUAGWA JUMAPILI

0
0
-Msanii M2 the P anaendelea vizuri, leo ameweza kuongea na ametolewa ICU kupelekwa wodini    -Mwili wa Albert Kenneth Mangwair unatarajiwa kuwasili jijini Dar Jumamosi Juni 1, 2013 na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili.   -Ngwair anatarajiwa kuagwa siku ya Jumapili katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar.   -Msanii Bushoke alaani watu wanaotoa taarifa zisizo sahii

K' LYNE AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGINALD MENGI

0
0
Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili.  Hongera Mmiliki  wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali  Jackline Ntuyabaliwe(K'lyne)  .... Hiyo ndo Tweet ya K'lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI <!-- adsense -->

TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA

0
0
TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL – TANGA MEI 30, 2013 UTANGULIZI:Usiku wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi 6, 2013, Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, ambaye pia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda alivamiwa na kujeruhiwa vibaya akiwa nje ya lango la kuingilia nyumbani kwake Mbezi

MABINTI WATOANA MANUNDU WAKIGOMBEA MWANAUME

0
0
 Warembo wawili, wakazi wa Sinza, Dar es Salaam ambao majina yao hayakupatikana, wamenaswa wakizichapa laivu wakidaiwa kugombea bwana. Tukio hilo la kujidhalilisha lilijiri katika baa maarufu ya Corner iliyopo Sinza-Afrikasana, Dar, majira ya asubuhi wakati watu wakiwa kwenye mishemishe za kuwahi kazini.  Katika tukio hilo, mmoja wa warembo hao alikuwa akilalamika kuwa kuna mwanaume

NAIBU SPIKA AAPA KUTOMWADHIBU MBUNGE YEYOTE KWA MADAI KWAMBA AMECHOKA KUITWA ZEZETA

0
0
Naibu Spika wa Bunge,Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kuanzia sasa hatamwadhibu Mbunge yeyote anayeleta vurugu Bungeni kwakuwa amechoka lawama.   Akihojiwa na Redio One Stereo katika kipindi cha Kumepambazuka leo asubuhi ,Ndugai amesema kuwa yeye amechoka kuitwa mzembe,zezeta na goigoi na vyombo vya habari. Ndugai amesema kuwa hata kwa Wabunge waliosababisha tafrani Bungeni jana kiasi

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAKO HEWANI....

0
0
<!-- adsense --> Matokeo  ya  kidato cha sita nayo yapo hewani.....Ukitaka  kuyaangalia  bofya  link  zifuatazo << MATOKEO  YA  FORM 6>> au << MATOKEO YA FORM 6>>

VIDEO YA WASICHANA WALIONASWA WAKISAGANA.....NI AIBU TUPU

0
0
<!-- adsense --> Maadili ya kitanzania yamekuwa yakiporomoka kila kukicha.Hili  limejidhihirisha  tena  baada  ya  kundi  la  akina  dada  kunaswa likiwa  katika  mchakato  wa  kusagana..... Kundi  hili  linaloongozwa  na  mdada  aliyefahamika  kwa  jina moja  la Aziza, lilikuwa  katika  chumba   ambacho  wadada  hao  walikuwa  wakicheza  uchi  huku  wakisifiana  kuwa  ni  watamu (

KIFO CHA NGWEA BADO NI UTATA....PICHA YAKE AKIWA MOCHWARI IMEIBUA MASWALI MENGI YANAYOHITAJI UCHUNGUZI WA KINA

0
0
Kifo cha mwanamuziki wa Tanzania, Albert Mangwea kilichoripotiwa hivi majuzi, kinazidi kuacha maswali mengi kadiri siku zinavyozidi kusogea.Wapo baadhi ya watu ambao wametoa maoni ya kutilia shaka maelezo na sababu za awali za kifo hicho, hali wakitumai kuwa mtu aliyekuwa naye karibu ambaye anaelezwa kuwa hai bado hospitalini, mwanamuziki M2P huenda akawa mtu muhimu wa kutoa maelezo ya

MAANDALIZI YA MSIBA WA NGWEA YAANZA BENZI JIJINI DAR

0
0
            MAOMBOLEZO ya msiba wa aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu Albert Mangwea, yameanza  nyumbanmi kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambako jana jioni ndugu, jamaa na majirani walikutwa wakiwa katika matayarisho ya kuupokea mwili wa marehemu. <!-- adsense -->

HUYU NDO MSHIRIKI WA BBA KUTOKA ZIMBABWE ALIYE CHEZA MKANDA WA NGONO.....WANANCHI WAMEJIPANGA KUMNG'OA

0
0
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa Chase kutoka nchini Zimbabwe Nare Pokello amejikuta katika kashfa kubwa baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja siku chache tu baada ya yeye kuingia ndani ya jumba la BBA. kashfa hiyo ambayo sasa ndio habari ya mjini imezagaa  katika  kurasa kadhaa za Facebook huku mashabiki wengi kutoka nchini kwake wakisistiza watu wampigie kura ya kumng'oa 

MZUMBE SECONDARY YAFUNGWA...WANAFUNZI WAPEWA SIKU MBILI WAPOTEE KATIKA MAZINGIRA YA SHULE

0
0
Popout Wananfunzi wakidato cha kwanza hadi cha sita katika shule ya sekondari Mzumbe Morogoro wamelazimika kuandamana kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa wa huo wakishinikiza kuboreshewa huduma muhimu. Maboresha wanayodai kuboreshewa shuleni hapo ni pamoja na miundombinu, kuondoa ubadhirifu, uongozi mbovu na kukomeshwa vitendo vya lugha chafu zinazo tolewa na baadhi ya walimu. Maandamano hayo

MABADILIKO KUHUSU MAZISHI YA NGWEA

0
0
Habari kutoka kwa wanakamati wa mipango ya mazishi ya marehem Albert Mangwea zinasema kuwa mwili wa marehem Ngwea utafika Dar siku ya jumapili saa nane mchana na sio jumamosi kama ilivyoarifiwa hapo awali… Mwili huo utaagwa siku ya jumatatu saa mbili mpaka saa sita machana ambapo safari itaanza kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi <!-- adsense -->

TAARIFA YA TBC MCHANA: WABUNGE WA CHADEMA NA CUF WAOMBA RADHI BUNGENI

0
0
Dondoo za taarifa (audio imepachikwa hapo chini): Baraza la Mitihani la Taifa latangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita Kitaifa Serikali mkoani Morogoro imeifunga shule ya Sekondari ya vipaji maalumu, Mzumbe kwa muda usiofahamika na kuwapa wanafunzi siku mbili, kuanzia leo, kuondoka shuleni hapo Wabunge wa CHADEMA, CUF waomba radhi Bungeni kutokana na utovu wa nidhamu uliojitokeza

VIDEO: HUU NDO UCHAFU UNAOTENDEKA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA

0
0
Hii ni video inayoonesha  uchafu  unaotendeka  ndani ya jumba la Big Brother Africa....   Nashindwa  kuusimulia, ila jionee mwenywe  katika  video  hiyo..... <!-- adsense -->

ZANZIBAR YAPIGA MARUFUKU NDOA ZA JINSIA MOJA.....UKINASWA IMEKULA KWAKO ( MIAKA 30 JELA )

0
0
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetunga sheria ya kupiga marufuku ndoa za watu wa jinsia moja.Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Bwana Abubakar Khamis Bakar, aliyasema hayo kwenye Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nassor Juma kutoka Chama cha Wananchi (CUF). Katika swali lake, Bw. Saleh Nassor Juma alitaka kujua

KIJANA ANUSURIKA KUFA BAADA YA VIBAKA KUMCHOMA MOTO HUKO MKOANI LINDI

0
0
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ismai Mayoba(31) anayefanya kazi Bar ya Mangrove,Mkazi wa Manispaa ya Lindi amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae kumchoma moto.  Kwa sasa kijana huyo amelazwa katika Hospital ya Sokoine Mjini humo. Kufuatia tukio hilo,Jeshi la Polisi wilayani Lindi limefanikiwa kumkamata mtu  mmoja kati ya watuhumiwa

PREZZO AMPIGANIA HUDDAH ABAKI MJENGONI..... VIDEO FUPI AKIWA BAFUNI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

0
0
<!-- adsense --> The Prezidaa CMB Prezzo ambae alikuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa msimu uliopita amejiunga na project ya watu wanaompigia debe the boss Lady toka Kenya Huddah Monroe ambae alikuwa mpenzi wake ili asitoke kwenye jumba hilo wiki hii. Prezzo ameitumia akaunti yake ya twitter kujiunga na kile kinachofahamika kama #ProjectSaveHuddahMonroe na yeye ameandika

BABY MADAHA NA WOLPER WAMALIZA BIFU LAO......KISA KILIKUWA NI NYUMBA YA KUPANGA

0
0
WASANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na Jacqueline Wolper Massawe ‘Wolper’ wamemaliza bifu lao lililokuwa likifukuta kama moto wa kifuu mwishoni mwa wiki mbili zilizopita. Akizungumza na mwandishi  wetu katikati ya wiki hii, Baby alisema alikuwa Mkoani Geita kwa ziara ya kikazi lakini alipigiwa simu na Wolper akimuomba msamaha kutokana na tofauti zao

WAUMINI WAUKIMBIA MSIKITI WA DODOMA BAADA YA KAULI YA MBUNGE KUDAI KUWA UNAFUNDISHA UGAIDI

0
0
Kauli iliyotolewa na mbunge wa kilindi Beatrice Shelukindo ya kuwa msikiti wa barabara ya saba uliopo katika manispaa ya Dodoma unafundisha mafunzo ya ugaidi na kareti kwa waumini wake imeuathiri msikiti huo. Akizungumza na Jombo Shekhe Mohamed Awadhi wa msikiti huo alisema kauli yake hiyo Imewaathiri waumini wake kutokana kuukimbia na baadhi ya wanafunzi waliokuwa wakisoma masomo kuhamishwa

FACEBOOK WAMEKUJA NA "VERIFIED ACCOUNT " NA RAIS UHURU AWA WA KWANZA.

0
0
Facebook imefuata mkondo Twitter kwa kuanzisha akaunti na kurasa zilizothibitishwa (verified pages/accounts) ili kuwawezesha watu mashughuli kuthibitisha akaunti akaunti na fan page zao. Facebook wamesema wamefanya hivyo ili kusaidia watumiaji wa Facebook kuzitambua akaunti za kweli za mastaa na watu wengine mashughuli wanaotumia mtandao huo, pia ikiwemo biashara zenye majina
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images