Kwa watu ambao wamekonda na kudhoofu mwili kwa sababu ya maradhi mbalimbali na wanataka kurejesha afya zao katika hali ya kawaida, wanashauriwa kutumia dawa za asili na vyakula mbalimbali ambavyo husaidia kuurejesha mwili katika hali yake ya kawaida.
Dawa-lishe ya kuongeza, kurutubisha na kunenepesha mwili, ni dawa maalumu kwa watu wenye uzito wa chini ( Under weight ) ambao wanataka kuongeza mwili na uzito.
Dawa hii huwasaidia watu ambao miili yao imedhoofu kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuugua magonjwa na maradhi mbalimbali.
Na kwa wale watu wembamba ambao wanataka kuongeza miili yao, dawa hii huwasaidia vizuri sana.
MAHITAJI YA DAWA –LISHE
i. Dawa –lishe vijiko viwili vikubwa.
ii.Asali ya tende vijiko vitano vikubwa.
iii. Tangawizi ya unga vijiko vikubwa viwili
iv. Unga wa ufuta
v.Maziwa fresh nusu lita
vi.Maji ya moto kiasi cha milimita mia mbili na hamsini ( 250 mills )
MATAYARISHO
i. Chukua vijiko vinne vyenye dawa lishe yako kisha chemsha na nusu lita ya maji hadi mchanganyiko wako utokote halafu ipua, chuja , makapi weka pembeni kisha hifadhi juisi yako.
ii.Tayarisha uji kwa kutumia unga wa ufuta na maziwa fresh
iii.Chukua vijiko viwili vikubwa vya tangawizi ya unga kisha changanya kwenye kikombe cha maji ya moto chenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini ( 250 mills )
MATUMIZI:
i.Tumia kunywa nusu lita ya dawa –lishe yako kisha
ii.Tumia kula vijiko vinne vikubwa vya asali ya tende
iii.Kisha tumia kunywa vikombe vinne vya uji wa ufuta ulio changanywa na maziwa fresh
iv.Halafu kunywa glasi moja ya moto iliyo changanywa na vijiko viwili vikubwa vya tangawizi ya unga.
UTAFANYA HIVYO MARA MBILI KWA SIKU KWA MUDA WA SIKU THELATHINI MFULULIZO.
Baada ya siku thelathini, utaangalia na kujitathmini kiasi ulicho ongezeka. Kama utataka kuendelea kuongezeka zaidi, utaendelea kutumia dozi hii hadi hapo utakapo fikia kiwango utakacho rizika nacho.
SUPU YA ULIMI WA N'GOMBE. N.B : KAMA UTAWEZA UNASHAURIWA PIA, KUWA UNATUMIA SUPU YA ULIMI WA N'GOMBE MARA KWA SIKU KWA KADRI UTAKAVYO WEZA. HII KWA SABABU ULIMI WA N'GOMBE UNATAJWA KUWA NA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI ITOKANAYO NA WANYAMA AMBAYO INATAJWA KUWA MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MISULI YA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI.
JINSI YA KUTUMIA SUPU YA ULIMI WA N'GOMBE KATIKA LISHE YA KUNENEPESHA MWILI
Muhitaji anashauriwa kutumia walau robo kilo au nusu kilo ya supu ya ulimi wa n'gombe kwa siku. Ni nzuri sana kwa mtu anae tumia dawa lishe ya kunenepesha mwili. Hata hivyo unashauriwa kutokutumia supu hii kwa wingi kwani inaweza kuzidisha kiwango cha lehemu (cholestrol) mwilini. Unashauriwa kutumia kwa busara pamoja na vitu vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani Dawa Lishe, Asali ya Tende na Uji wa Ufuta.
=======================================
JINSI YA KUIPATA DAWA LISHE:
Dawa hii inapatikana katiuka duka la dawa asilia la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC lililopo jijini DAR ES SALAAN katika eneo la TABATA MAKOKA karibu na SHULE YA SEKONDARI YA MT. ANNUARITE.
Unaweza kufika moja kwa moja katika ofisi zetu AU unaweza kuletewa mahali popote ulipo jijini Dar Es salaam.
Kwa wakaazi wa ZANZIBAR watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti na kwa wateja wetu wa ughaibuni watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu
0766 53 83 84