Pamoja na kwamba, asilimia kubwa ya wanaume, hudhaniwa ama kuchukuliwa kuwa wamewahi kufanya punyeto wakati fulani katika historia ya maisha yao, lakini lipo kundi la wanaume ambao hawawezi kufanya kabisa punyeto.
Kwa mujibu wa uzoefu wetu, wanaume walio katika kundi hili ni wanaume marijali.
Wanaume marijali , hawawezi kufanya punyeto sio kwa sababu hawajui jinsi punyeto inavyo fanyika, laah!
Wala si kwa sababu labda wana uwezo mkubwa wa kujizuia kufanya punyeto , Hapana..
Mwanaume rijali hawezi kufanya punyeto kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wake.. Sababu ambazo hawezi ku zi control kwa namna yoyote ile hata kama yeye mwenyewe anatamani kufanya punyeto
Ni nini Sababu zipi hizo ?
Kabla sijaeleza sababu zinazo wazuia wanaume marijali kushindwa kufanya punyeto kabisa, ni vema na haki, nikitoa definition ya mwanaume rijali.
Mwanaume Rijali ni Nani ?
Mwanaume rijali ni mwanaume ambaye hana tatizo la ukosefu na/au upungufu wa nguvu za kiume.
Kwanini Mwanaume Rijali Hawezi Kufanya Punyeto ?
Mwanaume rijali hawezi kabisa kufanya punyeto. Sababu ni kama ifuatavyo :
1. MUDA ANAO UTUMIA KUFIKA KILELENI
Kwa kawaida mwanaume rijali anaweza kutumia kati ya dakika thelathini hadi arobaini na tano kufika kileleni kwa tendo la kwanza. Wakati mwingine huweza kutumia hata lisaa limoja.
Muda anao tumia mwanaume rijali kufika kileleni unamzuia vipi kufanya punyeto ?
Kwa kawaida mwanaume anaye fanya punyeto, huwa anatumia muda mchache sana kukamilisha tendo la punyeto kama vile vile anavyo tumia kukamilisha anapokuwa anafanya tendo la ndoa na mwanamke.
Kwa wastani mwanaume anaye jihusisha na punyeto anaweza kutumia dakika moja hadi tatu kukamilisha tendo la punyeto.
Hii ndio sababu inayo wafanya wanaume wanao jihusisha na punyeto kuwa na uwezo wa kufanya punyeto mara kwa mara ( mara 4 hadi 7 kwa siku ) kwa sababu ni tendo wanalo weza kulifanya kwa muda mfupi sana na wanaweza kulifanya katika mazingira yoyote yale.
Inakuwaje kwa mwanaume rijali ?
Mwanaume rijali hata kama akiwa anataka kufanya punyeto, atashindwa kwa sababu ya factor ya muda anao utumia kufika kileleni.
Mwanaume hawezi kufanya tendo moja la punyeto kwa muda wa dakika 30 , 45 au lisaa lizima kwa sababu zifuatazo :
1. MAZINGIRA YA KUFANYA PUNYETO KWA MUDA WA DAKIKA 30 , 45 AU
LISAA LIMOJA HAYATA MRUHUSU KUFANYA HIVYO :
Uzoefu unaonyesha kuwa wanaume wanao fanya punyeto hufanya punyeto katika mazingira yafuatayo :
Moja : Chooni au bafuni wakati wa kuoga asubuhi au usiku. Huwezi kukaa chooni kwa muda wa dakika 30 au 45 ukifanya punyeto.
Harufu au mazingira ya chooni hayata ruhusu ukae mahali humo kwa muda wote huo lakini pili kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga, mazingira hayawezi kuruhusu ukae chooni muda wote huo, bila ya kupata ama kusababisha bugudha kutoka kwa wapangaji wenza.
Mlango wa chooni utakuwa unagongwa mara kwa mara watu wakitaka kutumia choo kujisaidia na hivyo automatically kukufanya ushindwe kupata muda wa kufanya punyeto.
Kama unafanyia bafuni pia bado litakuwa ni tatizo kwa sababu
huwezi kukaa bafuni kwa dakika 30 au 45 ukifanya punyeto.
Huo ni muda mwingi sana kwa mwanaume kukaa bafuni.
Kama hiyo haitoshi, bafu zetu za uswahilini hazina mazingira rafiki ya kumfanya mtu aweze kukaa humo kwa muda wa dakika 30 au 45 au 60 .
Ili aweze kumudu dakika zote hizo thelathini itambidi amudu kusimama kwa dakika zote hizo 30 au 45 au lisaa lizima akifanya punyeto jambo ambalo ni gumu sana.
Na kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga basi hali itakuwa ngumu zaidi kwa sababu huwezi kukaa bafuni kwa muda wa dakika zote hizo 30, 45 au lisaa zima ukifanya punyeto bila wapangaji wenzako kutaka kutumia bafu hiyo pia .
Ukijaribu kufanya hivyo itakuwa kituko kwa sababu, harakati za kuoga zitakuwa hazisikiki na wewe utakuwa kimya ukishughulika na punyeto.
Jambo hili litawafanya wapangaji wenzako watake kujua kulikoni unakaa bafuni muda wote huo huku na wao wakihitaji kutumia bafu hiyo hiyo.
KWA WANAUME WALIO OA HALI HUWA NGUMU ZAIDI :
Wapo wanaume ambao pamoja na kuwa katika ndoa lakini bado hufanya punyeto.
Mwanaume alie katika kundi hili anaweza kumuacha mke wake ndani amelala au hata akiwa macho na kwenda kufanya punyeto bafuni au chooni na kisha kurudi kuendelea kulala.
Au anaweza kumvizia mke wake akiwa amelala na kufanya punyeto hapo hapo kitandani kisha kukojoa manii kwenye gazeti au kitambaa cha kufutia makamasi.
KUMUACHA MKE AKIWA NDANI NA KWENDA KUPIGA PUNYETO BAFUNI AU CHOONI.
Jambo hili litakuwa gumu sana kwa sababu, kama mwanaume alie katika ndoa ambayo ipo committed hawezi hawezi kumuaga mkewe anaenda chooni au bafuni halafu akakaa huko kwa lisaa lizima.
Ni jambo linalo weza kuleta fikra za uwalakini kwa upande wa mke na hakuna kitu ambacho mwanaume ana jitaidi kuki avoid kama hicho.
Tofauti na mwanaume anaye jihusisha na punyeto, anaweza kukurupuka na kwenda zake chooni au bafuni dakika zake mbili ameshamaliza habari yake then anarudi kitandani kwa mkewe bila wasiwasi wala bila mkewe kuhisi chochote kile, kwa sababu itaonekana kama alienda chooni tu au bafuni.
KUMVIZIA MKE AKIWA AMESINZIA KISHA KUFANYA PUNYETO KITANDANI NA KUMWAGA MANII KWENYE GAZETI AU KITAMBAA CHA KUFUTIA MAKAMASI.
Hili nalo litakuwa suala gumu sana kwa mwanaume rijali kwa sababu , ni jambo gumu sana kufanya punyeto kwa muda wa lisaa lizima bila mke wako kushtuka na kukuuliza unafanya nini.
Hali ni tofauti kwa mwanaume anaye jihusisha na punyeto. Anaweza kufanya jambo hili kwa haraka sana kwa sababu anaweza kutumia muda mfupi sana kufika kileleni.
SABABU YA PILI NI MARA ANAZO RUDIA KUFANYA TENDO LA NDOA
Kwa kawaida mwanaume rijali huweza kurudia tendo la ndoa bila kuchoka kuanzia mara tatu na zaidi kila anapo fanya tendo la ndoa na katika kukamilisha kila tendo, huweza kutumia dakika 30, 45, au lisaa limoja na interval ya tendo huweza kuwa ya muda mfupi kuanzia dakika 10 hadi 15.
Katika mazingira kama haya, huyu mwanaume ataweza vipi kufanya hiyo punyeto ?
Kwa sababu nilizo zieleza hapo juu, Ni vigumu sana kwa mwanaume huyu kuweza kufanya punyeto kwa sababu mazingira ya kufanya hiyo punyeto hayawezi kumruhusu .
ITAENDELEA KESHO
KWA WAATHIRIKA WA PUNYETO
Kama wewe ni mwanaume ambae umeathirika na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu, kiasi kwamba maumbile yako yamedumaa, sinyaa, legea , nywea na kurudi ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo, usikate tamaa kwani bado unayo nafasi kutibiwa tatizo lako na kupona kabisa
SOMA MAELEO HAYA HAPA CHINI :
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME PAMOJA NA TIBA DHIDI YA MAUMBILE YA KIUME YALIYO DUMAA NA KUSINYAA KWA SABABU YA PUNYETO.
Kudumaa , kusinyaa na kunywea au kurudi ndani kwa uume ni tatizo linalo wakabili wanaume wengi duniani.
Dalili za tatizo hili ni pamoja na kuwa na maumbile madogo sana yaliyo dumaa, sinyaa na kurudi ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.
VYANZO VYA TATIZO LA KUDUMAA NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA KIUME.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, tatizo la kudumaa na kusinyaa kwa maumbile ya kiume huchangiwa na mambo mengi.
Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na kufanya punyeto kwa muda mrefu, kuugua chango la kiume, kuugua ngiri, kuwa na uzito & unene ulio pitiliza, kufanyiwa upasuaji wa tezi dume , uzee na kuugua maradhi yasababishayo kupinda kwa uume.
Katika makala haya , tutaangazia namna suala la upigaji punyeto linavyo sababisha kudumaa na kusinyaa kwa maumbile ya kiume.
NINI HUSABABISHA UUME KUSINYAA,KUDUMAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KIASI CHA KUUFANYA UONEKANE KAMA WA MTOTO ?
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi, Sababu kubwa inayo sababisha kudumaa, kusinyaa na kurudi ndani kwa uume ni kupungua ama kukosekana kabisa kwa homoni zijulikanazo kitaalamu kama HGH ambazo pamoja na mambo mengine , zina husika na kuchochea ukuaji wa seli zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume na uume kwa ujumla.
MAMBO YANAYO SABABISHA KUPUNGUA AMA KUKOSEKANA KWA HOMONI ZINAZO SAIDIA KUCHOCHEA UKUAJI WA MISULI YA UUME.
Kwa mujibu wa tafiti za kitaalamu, mambo yanayo sababisha kupungua na/ ama kukosekana kwa homoni zinazo saidia kuchochea ukuaji wa misuli ya uume ni pamoja na :
1. Kujengeka kwa mafuta kwenye mishipa ya ateri ipitishayo damu kwenda kwenye misuli ya uume na hivyo kuzuia kutiririka kwa damu kwenda kwenye misuli ya uume.
2. Kujengeka kwa tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri. Tishu hizi huzuia mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kushindwa kuongezeka ukubwa.
KWANINI PUNYETO HUSABABISHA UUME KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KIASI CHA KUONEKANA KAMA UUME WA MTOTO MDOGO ?
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kufanya punyeto kwa muda mrefu huathiri na kuharibu mishipa na misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri na hivyo kuzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka pamoja na damu kutiririka kwenda kwenye misuli ya uume.
Mambo hayo mawili yanapotokea huathiri uzalishaji wa homoni muhimu zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume, na hatimaye hufanya uume wa mhusika kudumaa, kusinyaa, kunywea na kurudi ndani kiasi cha kuufanya uonekane kama wa mtoto.
Homoni hizo hujulikana kama HGH na huzalishwa kwenye ini.
Sababu nyingine inayo tajwa na wataalamu ni kwamba, mtu anaye fanya punyeto hutumia akili, nguvu na nishati nyingi sana, jambo ambalo huathiri utendaji wa ogani nyingine muhimu katika mwili, likiwemo ini.
Ini linapo kosa nishati ya kutosha hushindwa kufanya kazi zake vizuri na moja kati ya kazi kubwa za ini ni pamoja na uzalishaji wa homoni zijulikanazo kitaalamu kama HGH ambazo kama ilivyo andikwa hapo juu, zinahusika na kuchochea ukuaji wa sehemu mbalimbali katika mwili wa mwanadamu ikiwemo misuli ya uume.
Mbali na kuathiri utendaji wa ogani nyingine mwilini, upigaji punyeto husababisha athari nyingine kwenye mwili wa mwanadamu kama vile uchovu sugu wa mwili pamoja na kunyonyoka kwa nywele.
Athari nyingine za upigaji punyeto ni pamoja na kupoteza
kumbukumbu, kuwahi kufika kileleni ambako husababishwa na kulegea kwa mishipa ya ateri, kushindwa kurudia tendo la ndoa, kukosa hamu ya tendo la ndoa, uume kusimama katika hali ya ulegelege, maumivu wakati wa tendo la ndoa husuani wakati wa
kurudia tendo la pili na mara baada ya tendo la ndoa la kwanza.
KWANINI WATU WENGI WANAO JIHUSISHA NA UPIGAJI PUNYETO WANA MAUMBILE MADOGO YA KIUME YALIYO DUMAA, SINYAA NA KURUDI NDANI.
Uzeofu unaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume ambao wamewahi kufanya punyeto kwa muda mrefu, wanakabiliwa na tatizo la kuwa na maumbile ya kiume yaliyo dumaa, sinyaa na kurudi ndani.
SABABU KUBWA NI HII HAPA
Sababu kubwa ni kwamba vijana wengi wa kiume, huanza kujihusisha na punyeto wakiwa na miaka kumi na sita , kumi na saba au chini ya hapo.
Hiki ni kipindi ambacho vijana hawa ndio wanakuwa wamebalehe.
Na kwa mujibu wa tafiti za kisayansi, katika kipindi hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH ambazo huhusika ukuaji wa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo maumbile ya kiume, huzalishwa kwa wingi.
Kama tulivyo ona hapo juu, upigaji punyeto huathiri uzalishwaji wa homoni hizo.
Mwisho wa siku maumbile ya kiume ya wahusika, hushinda kukua na kuishia kudumaa na kusinyaa.
Na hii ndio sababu kubwa wanaume wanao kabiliwa na tatizo hili husalia kuwa na maumbile yenye ukubwa ule ule wakati wa kubalehe.
NINI TIBA ASILIA YA TATIZO LA KUDUMAA, KUSINYAA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA KIUME.
Kama uume wako umedumaa, umesinyaa, umelegea, umenywea na kurudi ndani kwa sababu ulifanya punyeto kwa muda mrefu na unataka kuondokana na hali hiyo.
HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO!
Ipo DAWA YA ASILI ambayo HUTIBU na KUPONYESHA KABISA tatizo la KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA KURUDI NDANI KWA MAUMBILE YA
KIUME.
Ni dawa ya asili kabisa isiyo na kemikali yoyote ya kiwandani ambayo hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la kudumaa na kusinyaa kwa uume ndani ya siku thelathini.
JINSI YANAVYO TUMIKA
Dawa hii ya asili hutumika kwa kuchua uume. Na hutumika mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
MAMBO YANAYO FANYWA NA DAWA HII YA ASILI.
Dawa hii ya asili husaidia katika mambo yafuatayo :
1. Kuimarisha na kuipa nguvu mishipa iliyo legea kwa sababu ya punyeto
2. Hunenepesha uume ulio sinyaa kwa sababu ya punyeto
3. Hurefusha uume ulio dumaa na kurudi ndani kwa sababu ya punyeto.
4. Huimarisha na kuongeza nguvu za kiume
5. Hukupa uwezo wa kurudia tendo bila kuchoka
6. Hukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
7. Husaidia kuongeza na kuimarisha nguvu na nishati ya misuli ya uume.
JINSI YA KUPATA DAWA HII
Kupata dawa hii, fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST lililopo UBUNGO jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO PLAZA nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wetu waliopo jijini Dar Es Salaam, ambao hawana muda wa kufika ofisini kwetu, tunayo huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam ( HOME & OFFICE DELIVERY )
Kwa wateja wetu waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam na Zanzibar, tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri wa mabus na boti.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84
Na kufahamu kuhusu tiba asilia ya magonjwa na matatizo
mbalimbali ya kiafya, tutembelee kila siku :
www.neemaherbalist.blogspot.com