Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Watu Wanne Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 30 Na Viboko 12.

0
0
Mahakama  ya Hakimu  Mkazi Kisutu imewahukumu watu wa nne kutumikia kifungo cha mika 30 jela na kuchapwa viboko 12, sita wakati wa kuingia na sita wakati wa kutoka baada ya kupatikana na hatia dhidi ya kosa la wizi wa kutumia silaha.

Hukumu hiyo iliyosomwa na hakimu Mkazi, Respicious Mwijage imewataja waliofungwa kuwa ni Donald Nzweka, Michael Pascal,Ally Akili na Kurwa Mwakagenda.

Akisoma hukumu hiyo jana,  Hakimu Mwijage alisema, upande wa mashtaka umeweza kuthibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka na kuwa washtakiwa walishiriki kutenda kosa na kwamba mahakama ilijiuliza kwamba kosa la kutumia silaha ili lithibitike Jamhuri wana wajibu wa kuthibitisha bila kuacha shaka kwamba mshtakiwa kabla ya kutenda awe na kifaa hatari au wawe zaidi ya mmoja na kwamba baada ya tukio hilo walitumia nguvu kwa mtu waliyepora.

Katika kesi hii, mlalamikaji na mashahidi wengine walieleza kuwa usiku wa julai 7 majambazi walivunja mlango mkuu wa nyumba yao kwa kutumia bomu ambalo lilitambuliwa na polisi kuwa baruti na kisha kuendelea kuvunja milango mingine ambapo baada ya hapo waliingia katika chumba walichokuwa wamekaa, ambacho kilikuwa na mwanga, mshtakiwa mmoja alishika panga na kuanza  kuwapiga kwa kutumia ubapa.

Alisema, kwa kuzingatia ushahidi huo hakuna shaka kwamba mashahidi waliweza kuwatambua  majambazi na kuwa utetezi wa washtakiwa kwamba walikamatwa maeneo tofauti na kupelekwa oysterbay polisi na kupigwa na kunyanyaswa siyo ya kweli.

Kabla ya kusomwa kwa adhabu hiyo, Hakimu Mwijage aliuliza upande wa mashtaka kama walikuwa na lolote na kusema juu ya washtakiwa ambapo wakili wa serikali Gloria Mwenda, alidai washtakiwa ni  wakosaji wa mara ya kwanza na akaomba wapewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa jamii.

“Nimeridhika ushahidi wa mashahidi 11 walioletwa na upande wa mashtaka ambao wameweza kuthibitisha bila ya kuacha shaka kuwa mlitenda kosa, nawahukumu kwenda jela miaka 30 na kuchapwa viboko 12, sita siku mnaingia na sita siku ya kutoka" alisema Mwijage.

Awali ilidaiwa, Julai 7 ,2013 huko maeneo ya Boko Magengeni, jijini Dar es Salaam, washtakiwa hao waliiba simu nne pesa taslimu  150,000 na cheni za dhababu mbili ambapo vitu vyote vina thamani ya  2, 050,000 mali ya Hobokela Mwakijambile.

Mtumbwi Wazama na Kuua Watu Watatu Ziwa Victoria

0
0
Watu watatu wamekufa maji  ndani ya Ziwa Victoria katika Kisiwa cha  Ilamba wilayani Muleba baada ya mtumbwi kuzama.

Watu hao walikuwa wakitoka kuchota maji Kisiwa cha Mazinga. Mwili mmoja umeshaopolewa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustino Olomi amesema watu hao walizama  Jumatatu saa 6:30 mchana.

Amesema miili ambayo haijapatikana ni ya Superius Severine (27) mkazi wa Kijiji cha  Nyakitaba na Evelius Zephrine (22) wa Mubunda Kitoko wilayani Muleba

Kamanda Olomi amesema mwili uliopatikana ni wa Adela Andrea (26),  mkazi wa Kijiji cha Itongo.

Amesema Nelson Boniphace (20), mkazi wa Kisiwa cha Ilamba aliogelea na kuokolewa.

Mtumbwi huo uliokuwa na madumu 33 ya maji amesema unamilikiwa na Rashidi Sabini (33), mkazi wa Kijiji cha Ilamba.

Amesema mtumbwi huo kutokana na upepo ulipigwa na wimbi hivyo ulipinduka na kuzama.

Jambazi Atandikwa Risasi na Wenzake Mbele ya Polisi

0
0
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye polisi wanadai ni mtuhumiwa wa uporaji na mauaji, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wenzake.

Kabla ya kuuawa katika majibizano ya risasi, mtuhumiwa huyo anadaiwa alikamatwa akiwa na SMG yenye risasi 24, simu 19 zilizoporwa maeneo mbalimbali na laini za simu 58.

Taarifa iliyotolewa jana Jumanne na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah imesema mtuhumiwa aliuawa na wenzake saa tisa usiku wa kuamkia jana wilayani Rombo.

Alisema mtuhumiwa pamoja na mkewe walikamatwa jijini Dar es Salaam na baada ya kuhojiwa na polisi inadaiwa alieleza matukio ya ujambazi aliyoshiriki na alikubali kuwaonyesha mahali alipoficha bunduki.

Polisi imesema simu tatu kati ya 19 wamegundua ziliporwa Moshi na moja alikuwa akiitumia mkewe ambaye anashikiliwa Dar es Salaam.

Kamanda Issah alisema aliwaeleza polisi kuhusu mpango wa kufanya tukio la ujambazi katika Kijiji cha Chilio, Kata ya Holili wilayani Rombo jana alfajiri.

Alisema askari walifuatana naye chini ya ulinzi hadi Moshi kwenye dampo lililopo jirani na kiwanda cha ngozi ambako bunduki ilifukiwa ardhini ikiwa na risasi 24.

“Chini ya ulinzi wa askari kanzu, alipowaona wenzake alipiga kelele kuwajulisha polisi walikuwepo eneo hilo,” alisema.

Kamanda Issah alisema kelele ziliwafanya watuhumiwa hao kukimbia huku wakifyatua risasi hovyo na baadhi zilimpiga Massawe mkono wa kushoto, mgongoni na mguuni hivyo kusababisha kifo chake.

Polisi imesema mtuhumiwa alishiriki matukio manane ya uporaji wa fedha na mauaji kwa kutumia silaha na amewahi kufungwa kwa ujambazi lakini aliachiwa baada ya kukata rufaa.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Octoba 11

Pata Tiba ya Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: 
 
FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.
 
NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE

Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.

NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.

MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA. 

MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,

Je unamali yako unauza hupati wateja?Wasiliana nami 0716-263605 

DOKTA MANYANDA ANAPATIKANA KASULU KIGOMA,Kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote pale.

Njia Sahihi Ya Kutumia Vimiminika Mbalimbali Katika Kuandaa Na Kutayarisha Dawa Za Asili

0
0
Dawa  za  asili na  lishe  mbalimbali za  asili, huweza  kuandaliwa  na  kutayarishwa  kwa  kutumia  vimiminika  mbalimbali kulingana na  lengo  la  kutumia  dawa  husika.
Dawa  za asili  zinaweza  kuandaliwa  kwa  kutumia vimiminika  mbalimbali  kama  vile :

1.    Maziwa  fresh  ya  n’gombe : Baridi, vuguvugu  au  ya  moto
2.   Maziwa  fresh  ya mbuzi  : Baridi, vuguvugu   au  ya  moto
3.   Maziwa  fresh  ya ngamia : Baridi , vuguvugu  au   ya moto,
4.   Maji ya  baridi, vuguvugu  au ya  moto
5.   Mafuta  ya  nyonyo
6.   Mafuta  ya  habbat soda
7.   Mafuta  ya  mzeituni
8.   Asali mbichi ya  nyuki  wadogo au  nyuki wakubwa
9.   Asali  ya  tende
10.Siki  za  aina  mbalimbali  kama vile, siki ya  Zabibu, Apple  Cidar  Vinegar  nakadhalika.
11. Maji  ya  Rose  ( Rose  Water )
12.Thyme  Water
13.Tui  la  Nazi
14.Ute  wa  mayai  ya kuku  wa  kienyeji
15.Mafuta  ya  n’gombe ( samli )
16.Juisi  za  matunda  mbalimbali kama  vile mananasi, miwa ,maembe, maparachichi, matango nakadhalika
17.Juisi  ya  vitunguu  maji
18.Juisi  ya  vitunguu swaumu
19.Juisi  ya  tangawizi
20.Mvinyo mwekundu
21.Pamoja  na  vimiminika  vingine  ambavyo  havijatawa hapo juu.

Mtumiaji wa  tiba  asilia  anatakiwa  kuzingatia   kutumia  vimiminika sahihi  na kufuata  taratibu  na  njia  sahihi  katika  kutumia vimiminika  hivyo  katika kuandaa  na kutayarisha  dawa  yake kwa ajili ya  matumizi.
 
Hii  ni kwa sababu  kila kimiminika  kinacho  tumika katika  kutayarisha  dawa  za  asili, huwa  na  faida  zake  katika  mwili wa  mwanadamu endapo  kitatumika kwa  kufuata  utaratibu  sahihi.

Unapokuwa  unaandaa  na  kutayarisha  dawa  ya  asili  ambayo  inatumika  kwa  kunywa  kwa  ajili  ya  matumizi  yako  unatakiwa  kuzingatia  yafuatayo:

1.   Aina  ya  kimiminika   kinacho takiwa  kutumika  kuandaa  na  kutayarisha  dawa yako.
2.   Hali  ya  kimiminika  hicho.Hapa  unatakiwa  kujiuliza  hicho kimiminika  chako  kinatakiwa  kuwa  katika  hali gani ?  Kinatakiwa  kuwa  cha  baridi? Vuguvugu ? au  cha  moto ?
3.    Kitu  kingine  unacho  takiwa kuzingatia  ni namna  ya  kuandaa na  kutayarisha  dawa  yako  kwenye  kimiminika  hicho..  Hapa  unatakiwa  kuzingatia   whether  unatakiwa    kuchemsha  dawa  yako  kwenye  moto   mdogo ( moto  unaowaka taratibu  )  au  unatakiwa  kuchemsha dawa  yako  kwenye  moto  mkali .

Hii  ni  kwa  sababu  zipo  baadhi  ya  dawa  hutakiwa  kuchemshwa  kwenye  moto  mdogo  au moto  unaowaka  taratibu   wakati  dawa  zingine  hutakiwa  kuandaliwa kwenye    moto  mkali  ili  ziive kwa  haraka.

Endapo  utashindwa  kuzingatia  taratibu  zilizo tajwa  hapo  juu, basi  unaweza  kushindwa  kupata  virutubisho  vya  dawa  unayo  taka  kuitumia  na  hivyo  kushindwa  kupata  matokeo  unayo  yahitaji.

Hii  ni  kwa  sababu  namna   au  njia unazo  tumia  kuandaa  na  kutayarisha  dawa yako   ya  asili  inaweza  kuimarisha  ama  kuua  virutubisho  au  nguvu  ya  dawa  ya  husika.

Zipo  dawa  za  asili  ambazo  ili zitoe  matokeo  mazuri  ni  lazima  zichemshwe  kwenye  moto mdogo,  nyingine  lazima  zichemshwe  kwenye moto  mkali, wakati  nyingine  zinatakiwa  kulowekwa  tu  kwenye  maji  ya  uvuguvugu  au  ya  baridi,nyingine  zinatakiwa  kukorogwa  kwenye  maji  ya  moto  na  kunywewa  papo hapo, nyingine  zinatakiwa   kulowekwa  kwenye  maji  usiku  kucha  kabla  ya  kuchemshwa  au  kunywewa  bila  kuchemshwa.

Dawa  za  asili  nyingine  zinatumika  kwa  kulamba  tu, nyingine  zinatumika  kunusa  wakati  nyingine  zinatumika  kwa  kutafuna  au  kupaka.

Dawa  nyingine   zinatakiwa  kutumiwa zikiwa  mbichi. Kama  ni  kupikwa  basi  zinatakiwa  kupikwa  zikiwa  mbichi  ( fresh ).

Hizi  mara  nyingi  ni  dawa ambazo  hutumika kwa wengi  kama  chakula.

Wakati  dawa nyingine  hutakiwa  kukaushwa  kwanza  kabla  ya  kuanza  kutumika.

Hapo hapo  kwenye  kukausha , mtumiaji  wa  dawa  unatakiwa  kujua  njia  sahihi  ya  kukausha  dawa  zako.

Kujua  njia  sahihi  kutakuhakikishia  kutumia  dawa  katika  namna  ambayo  itakuwa  na  manufaa  kwako, kwa  sababu   zipo  dawa  ama  vyakula  dawa  vingine, havitakiwi  kukauka  kwa  mwanga  wa jua wakati   dawa  nyingine  ni lazima  zikaushwe ama zianikwe  kwenye  mwanga  wa  jua.

Mfano  ipo dawa  moja  ya  asili  ina  nguvu sana  na  ina  uwezo  wa  kutibu  maradhi  mengi  sana.

Dawa  hii  hutakiwa  kutumika  ikiwa  imekaukau lakini  haitakiwi kukaushwa kwa  kutumia  mwanga  wa jua  kwa sababu  mwanga  wa  jua  huuwa  virutubisho  vilivyomo  ndani  ya  dawa  hiyo.

Ili dawa  hii iweze  kuwa  na  manufaa  inatakiwa  kukauka  kwa joto  tu  bila  kupata mwanga  wa  jua.

Dawa  hii  hukaushiwa  ndani  bila  kupata  mwanga  wa  jua, na pindi  inapokauka, hutoa  matokeo mazuri sana  kwa mtu  anae  itumia.

Mfano  mwingine  ni   dawa  ambazo  lazima  zikaushiwe  kwenye  mwanga  wa  jua kabla  ya  kuanza  kutumika.

Zipo  dawa  za  asili  ambazo  ili  zitumike  kwa  manufaa, lazima  zipikwe  ama kuvundikwa kwenye  wine  nyekundu  tamu  (  Sweet  Red  Wine  )

Zipo  dawa  za  asili  ambazo ni  lazima  zipikwe  kwenye  juisi  ya  miwa.
Zipo dawa  ambazo  hutakiwa  kupikwa  pamoja na  samli, jibini  au  nta.

Zipo  dawa  nyingine za  asili , ili ziweze  kuwa  na  manufaa   kwa mtumiaji  ni  lazima zitwangwe  kwanza  kabla ya   kuchemshwa    au  kulowekwa  kwenye  maji  au  kutengeneza  juisi.

Mfano  mzuri  ni  mchaichai.Huu  ni mmea  wenye  uwezo  wa  kutibu  maradhi  mengi sana lakini  watu wengi  wanashindwa  kunufaika  na  faida  za  mmea  huu  kwa  sababu  ya  kushindwa  kujua  njia  sahihi  za  kuuandaa  mmea  huu.

Mmea  wa  mchaichai   unatakiwa kutwangwa  au kusagwa  kwa  blenda   kwanza  kabla  ya  kuchemshwa  kwenye  maji  kwa  ajili  ya  matumizi  ya  dawa.

Mfano  mwingine  ni  matembele.  Matembele  yanasifika  kuwa  na uwezo  mkubwa sana  wa kuongeza  damu  mwilini  hususani kwa  wanawake  wajawazito, lakini  ili  mmea  huu  huweze  kuwa  na mafuaa  hayo  ni lazima  utwangwe  kwanza    au  usagwe  kwa  blenda  kabla  ya  kuuchemsha.

Kwa  mahitaji  ya  dawa  mbalimbali za  asili fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA HERBALIST.
Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM, jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO NATIONAL  HOUSING, nyuma ya  jengo la UBUNGO PLAZA.

AU  WASILIANA  NASI  KWA  SIMU NAMBA
0766 538384

Je,una Upungufu Wa Nguvu Zakiume,kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa,kufika Kileleni Mapema Na Kushindwa Kurudia ????

0
0
Tatizo la kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya kiume husababishwa na mambo mengi kama,KISUKARI,NGIRI,CHANGO,TUMBO KUUNGURUMA,MAUMIVU YA KIUNO,UNENE KUPITA KIASI,KUJICHUA nk.

Upungufu wa nguvu za kiume husababisha tendo la ndoa kutofanyika kwa kujiami nakwa usahihi nahivyo husababisha ndoa, mahusiano mengi kuvunjika.

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI,
1 KUKOSA HAMU YA TENDOL LA NDOA 
2 UUME KISIMAMA KWA KULEGEA 
3 KUWAHI KUFIKA KILELENI 
4 KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA WAKATI 
5 KUCHOKA SANA BAADA YA ROUND YAKWANZA NAKUKINAI TENDO LA NDOA KABISA.

TUMIA 3 POWER KWA TATIZO LA UKOSEFU(UPUNGUFU)WA NGUVU ZA KIUME NAHAMU YA TENDO LA NDOA.FINA HUBORESHA MAUMBILE YA KIUME KWA KUNENEPESHA KWA SAIZI UIPENDAYO HAIJARISHI UMRI.

PIA KUNA DAWA ZA KURUDISHA MPENZI KWA MUDA MFUPI SANA NAZAKUPATA KAZI,KESI,KUDHULUMIWA,NK 

WASILIANA NA SHEIKH OMARY AKUTATULIE MATATIZO YAKO HATA KAMA UMEHANGAIKA SANA PASIPO MAFANIKIO 

Pia sheikh omary anatibu busha bila opresheni,kisukari,ngiri,presha vidonda vya tumbo,korodani kuvimba,na anatoa dagu za utajiri kwa wanaohitaji bila masharti yoyote magumu.ANAPATIKANA MBAGALA ZAKIEM,NAUTALETEWA POPOTE ULIPO.

 SIMU; NO 0767145357/0629034550.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamii ya Octoba 12

Wakili wa CHADEMA Amvaa IGP Sirro Sakata la Kuzuia Mjadala wa Tundu Lissu

0
0
Wakili wa CHADEMA, John Malya amefunguka na kuzungumzia juu ya kauli ya IGP Sirro kuhusu kuzuia wanasiasa kuzungumzia sakata la Lissu na kusema IGP hana mamlaka hayo kuzuia wananchi kuzungumzia jambo lolote na kufanya hivyo ni kuvunja sheria.

John Malya amesema hayo jana alipokuwa akiongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni na kusema kuwa Sirro anapaswa kukaa kimya sasa na kuendelea na uchunguzi wa sakata hilo ila hana mamlaka ya kuzuia wananchi wasitoe mawazo yao wala kuzungumzia jambo fulani.

"Kamanda Sirro alinukuliwa akiwa Mbeya anasema amepiga marufuku wanasiasa kujadili masuala yanayomuhusu Tundu Lissu na kujadili watu ambao labda wanasadikiwa au wanashukiwa kwamba wameshiriki jaribio la kumuuwa Lissu.Nimefikiri ni muhimu kumkumbusha IGP Sirro  kuwa yeye ni kamanda wa Polisi na si kamanda wa raia hana mamlaka ya kutoa amri wananchi wajadili nini na nini wasijadili mamlaka hayo hana na nitatoa ufafanuzi.

"Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki na fursa ya wananchi kutoa maoni, kuzungumza mawazo yao na kubadilishana habari, ndiyo ibara ambayo inawapa wananchi na nyinyi waandishi wa habari uhuru wa kufanya kazi zenu katika nchi hii pamoja na sheria zingine lakini ibara ya 18 ndiyo msingi haswa wa kwanini wananchi wana uhuru wa kupashana habari na kuwa na uhuru wa mawazo" alisema Malya 

Malya alisema kuwa IGP naye anaongozwa na sheria na kanuni mbalimbali na kusema katika hizo sheria na kanuni ambazo zinamuongoza IGP katika kutenda kazi zake za kila siku hakuna sehemu ambapo anapewa mamlaka ya kuzuia wananchi kujadili jambo fulani na kusema anaweza kufanya hivyo kwa askari lakini si kwa wananchi.

"Kamanda Sirro anaongozwa na sheria kadhaa lakini kubwa anaongozwa na sheria ya jeshi la polisi na huduma saidizi, na msaafu anaotumia unaitwa 'Police General Order' (PGO).  Kwenye jeshi la polisi hii ni sheria maarufu sana wao wenyewe wanaijua ndiyo inasema IGP anamuamuru nani na nani hawezi kumuamuru sasa huko anaweza kuwaamuru askari wake wasijadili au wasifanye kitu fulani, lakini kusema yeye amuru raia mamlaka hayo hana kwenye sheria wala kanuni" alisisitiza Malya

Aidha Malya anasema kuwa wananchi wanasubiri kusikia kauli ya IGP Sirro kuhusu upelelezi wa jambo hilo, au kusikia watu ambao wamekamatwa na kupelekwa mahakamani lakini si kuwazuia watu wasijadili shambulio alilolipata Tundu Lissu na kudai kuendelea kufanya hivyo ndiko kunapelekea hata wananchi pamoja na wao kuwa na mashaka na jeshi la polisi katika kufanya uchunguzi wa jambo hilo.

"Wakati huu ambapo wanasiasa, wapiga kura wanajadili juu ya hali ya Tundu Lissu yeye Sirro anapaswa kunyamaza, hapa yeye ndiyo anapaswa kunyamaza na siyo wanasiasa, yeye anyamaze afanye kazi ya upelelezi kitu cha pili tunachotaka kusikia amepeleka watu mahakamani, hivyo kufanya hicho anachokifanya anazidi kutufanya kukosa imani zaidi na jeshi la polisi" alisisitiza Malya

Maseneta wa Marekani wamemtembelea Rais Magufuli

0
0
Rais John Magufuli wa Tanzania, amefanya mazungumzo na ujumbe wa maseneta wa Baraza la Seneti la Marekani.

Taarifa ya Ikulu ya jana Jumatano imesema  maseneta hao ni wajumbe wa kamati ya mazingira inayoshughulikia hifadhi ya taifa, wanyamapori na misitu ya Marekani.

Maseneta hao wamekuwepo nchini Tanzania kwa siku tatu lengo likiwa ni kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

Mazungumzo hayo pia yamehudhuriwa na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson.

Taarifa ya Ikulu imewataja maseneta hao kuwa ni James Inhofe, Mike Enzi, David Perdue, Luther Strange, Tim Scott na John Thune.

Baada ya mazungumzo, kwa nyakati tofauti maseneta James Inhofe na Mike Enzi wamemshukuru Rais Magufuli kwa kukutana nao.

Pia, wamemshukuru kwa kuwakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani kuja kuwekeza nchini.

Maseneta hao wamesema Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo ni fursa muhimu ya kukuza uchumi.

Wasaliti CHADEMA Kunyofolewa Viungo

0
0

Diwani wa kata ya Sombetini Arusha Ally Bananga (CHADEMA) amewataka madiwani waliopo ndani ya chama chao wanaotaka kuhama ndani ya chama waondoke mapema kwani wakija kuwagundua kipindi cha uchaguzi kwamba ni wasaliti watawatawanya viungo.

Bananga amelazimika kutoa kauli hiyo baada ya wimbi la madiwani Arusha kuhama chama hicho kwa tuhuma za kupokea rushwa, ambapo ameweka wazi kwamba anaamini kwamba hakuna tatizo la madiwani kuhama vyama kwani ni uhuru kama ilivyo kwa mashabiki wa simba kwenda Yanga kwa ajili ya maslahi yao lakini wasiondoke kwa kununuliwa kwani haitakuwa busara na mwisho wa siku itakuwa ni matatizo.

"Sina tatizo kwa madiwani kuhama hata kidogo. Lakini kama ni kuhama kwa kununuliwa kama hivi tunavyoona hili ni tatizo. Kama huna imani  ondoka mapema kwa amani. Tupishe kwa sababu tunaelekea kwenye uchaguzi na tunaamini tutashinda kata zote,  sasa isije ikatokea mbeleleni tukakugundua kwamba wewe ni msaliti maana tutatawanyana viungo kitu ambacho siyo kizuri. Ondokeni kwa amani yote sasa hivi mapema" - Bananga.

Aidha Bananga amesema kwamba amesikia maneno yaliyozungumzwa na aliyekuwa Diwani wa Kimandolu, Mchungaji Rayson Ngowi na kueleza kwamba hawezi kumsemea neno baya kwani ni rafiki yake lakini pia amemtaka  asifanye madhabahu ya Mungu kama kaunta ya 'bar' kwani ni mtu anayemfahamu na wanajuana ni mangapi wamefanya pamoja hivyo asijisahaulishe.

"Namheshimu sana Ngowi. Lakini amekubali kufika bei mimi nilishajua siku nyingi na nilimwambia. Hata watu waliokuwa wakiongea naye waliniambia. Ametafuta laana ya Mungu, yeye anajiita Mchungaji jambo ambalo nina wasiwasi nalo. Lakini kwa maneno aliyoyasema kwenye mkutano Soko kuu lakini ndiyo ameshanunuliwa, Mungu siyo mjomba yake na Madhabahu asiigeuze kama kaunta." Bananga ameongeza

Ameongeza kwamba "Adhabu ya Mungu inamfuata kabla ya adhabu yetu sisi Chadema tutakayompatia wakati atakapogombea. Kama yeye ni mwanaume asogeze pua yake kwenye uchaguzi huu mdogo aone tutakavyomfanya".

Pamoja na hayo Bananga amesema anaamini ushindi katika uchaguzi mdogo lazima watashinda kwani wamekuwa bora chini ya uongozi wa Mbunge Godbless Lema na Meya Calist Lazaro na kutokana na ushahidi wa Nassari kuonyesha wabunge walikuwa wakinunuliwa kama maandazi safari wamejiandaa kupeleka keki kwenye chaguzi.

Aina Kuu Mbili Za Maumbile Madogo Ya Mwanaume

0
0
Maumbile  madogo  ya  kiume  yamegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili:
1.   Maumbile  Madogo  ya  kiume  kwa  kuzaliwa ( Kurithi )
2.   Maumbile  Madogo  ya  kiume  yatokanayo  na  kufanya  punyeto kwa muda  mrefu.

MAUMBILE   MADOGO   YA  KIUME  KWA  KUZALIWA (  Kurithi  )
Tafiti  za  kitaalamu  zinaeleza  kuwa, kama  ilivyo  kwa baadhi  ya  wanaume  wenye  maumbile  makubwa  ya  kiume, baadhi  ya  wanaume  wana  maumbile  madogo  ya  kiume  kwa  sababu  za  kinasaba.
Kwa  lugha  nyingine  ni kwamba, wanaume  hawa  wanakuwa  wamerithi  maumbile  yao  kutoka  kwa  wazazi  au  mababu  zao.
 
Hii  ndio  sababu  kubwa, wanaume  kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  au  jamii, husifika  kwa  kuwa  na  maumbile  makubwa  ya  kiume  ilihali  wanaume   kutoka  kwenye  baadhi  ya  makabila  na  /au jamii  wakisifika  kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume.
Mfano  mzuri  unatolewa  hapa, ni  kuhusu  wanaume  wa  China  ambao  wanatajwa  kuwa  na  maumbile  madogo  ya  kiume.
 
Mfano  mwingine  unatajwa  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  vijana  wa  kiume  walio zaliwa  katika  familia  moja  huwa  na  maumbile  ya  kiume  yenye  size  zinazo  karibiana.
Wanaoamini  katika  nadharia  hii  wanadai  kuwa, ni    nadra  sana  kukuta katika  familia  yenye watoto  wa kiume  mfano  watano, halafu  size  za  maumbile  yao  ya  kiume  zikawa  zinato fautiana  sana.
 
Huwezi  kukuta  katika  familia  moja, mtoto  mmoja  akawa  na  maumbile  madogo   halafu mwenzake  akawa  na  maumbile  makubwa.
 
Katika  familia  moja, kama  kuna  kijana  wa  kiume  ana  maumbile  madogo  ya kiume, basi  kuna  uwezekano  mkubwa , ndugu zake  wa  kiume  wakawa  na  maumbile  madogo  pia.
 
Vivyo  hivyo  kama  kuna kijana  ana  maumbile  makubwa  ya  kiume, basi  kuna  uwezekano  mkubwa, kaka  zake  nao wakawa  na  maumbile  makubwa  ya  kiume.
Hii ni  kwa  sababu  wamerithi  maumbile  yao, kutoka  kwa  wazazi  ama  babu  zao.

HATA  HIVYO  upo  uwezekanao  mkubwa, baba  mwenye  maumbile  madogo  ya  kiume  akawa  na  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  makubwa  ya  kiume  au  kinyume  chake .
Chanzo  cha  hali  hii  kinatajwa  na  wataalamu  kuwa, inawezekana   watoto  wakawa  wamerithi  vinasaba  kutoka  kwa  wazazi ama  mababu  wa  upande  wa  umamani.
Wapo  wazazi  wa  kiume  ambao  wana maumbile  makubwa kupita  kiasi  lakini  wanapata  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  madogo.
 
Vile  vile  wapo  wazazi  wa  kiume  wenye  maumbile  madogo  ya  kiume  kupita  kiasi  lakini wanapata  watoto  wa  kiume  wenye  maumbile  makubwa kupita.
Hii  inatokea  mara nyingi  sana, na  sababu  inayo tolewa  na  wanasayansi  ni kwamba,  watoto  hao  wanakuwa  wamechukua  vinasaba  vya  maumbile  hayo  kutoka  kwa   wazazi   ama  mababu  wa  upande  wa  mama  zao.

NINI TIBA  YA  KUREFUSHA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME   KWA  KUZALIWA ?
Mpaka  sasa, hakuna  tiba  iliyo  thibitishwa  kitaalamu  na  kisayansi  kuwa  na  uwezo  wa  kurefusha  na/ama  kunenepesha  maumbile  madogo   ya  kiume  yatokanayo  na  kuzaliwa  ama  kurithi.
 
Tiba  iliyopo  ni  kama  maumbile  hayo  yamesinyaa  na  kudumaa  kwa  sababu  ya  mhusika  kufanya  punyeto  kwa muda  mrefu . Tiba  hii  ya  asili  huyarudisha  maumbile  hayo  katika  hali yake  ya  kawaida.

( LIPO  KUNDI  LA   WANAUME   WAO  KAMA WANO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  BY NATURE  BUT IN ADDITION TO THAT  MAUMBILE  HAYO HAYO  MADOGO  YAMESINYAA  NA  KUWA  MADOGO  MARADUFU  KWA  SABABU  YA  KUPIGA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU. WANAUME  WALIO  KATIKA  KUNDI  HILI   NDIO  WANAWEZA  KUSAIDIWA  KITABIBU, KWA  KUPEWA  TIBA  AMBAYO  ITAYARUDISHA  MAUMBILE  HAYO  MADOGO  YALIYO SINYAA, KATIKA  HALI  YA  KAWAIDA. YATASALIA  KUWA  KATIKA  UMBO LAKE  LA  ASILI, LAKINI  YAKIWA  IMARA  NA  THABITI )


MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME  YATOKANAYO   NA   KUFANYA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU
Haya  ni  maumbile  ya  kiume  ambayo  yamedumaa, yamesinyaa, yamelegea, yamenywea  na  kurudi  ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  ya  mtoto  mdogo.
 Kwa  ufupi , maumbile  haya  yamesinyaa  na  kuwa  madogo  kwa  sababu  ya  kufanya  punyeto  kwa muda  mrefu.

JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA NA  KURUDI  NDANI  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME PAMOJA  NA  TIBA  DHIDI  YA MAUMBILE  YA  KIUME  YALIYO  DUMAA NA KUSINYAA  KWA  SABABU  YA  PUNYETO.

Kudumaa , kusinyaa  na  kunywea  au kurudi ndani  kwa  uume  ni tatizo  linalo  wakabili wanaume  wengi  duniani.

Dalili  za  tatizo  hili  ni  pamoja  na  kuwa na  maumbile madogo sana yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  kama  ya  mtoto  mdogo.

VYANZO  VYA  TATIZO  LA  KUDUMAA  NA  KUSINYAA  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.
Kwa  mujibu wa  tafiti  mbalimbali  za  kisayansi, tatizo la  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya kiume  huchangiwa na  mambo mengi.


Baadhi  ya  mambo  hayo  ni  pamoja na  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu,  kuugua  chango  la  kiume,  kuugua  ngiri,  kuwa  na  uzito & unene  ulio pitiliza, kufanyiwa  upasuaji  wa  tezi  dume , uzee  na  kuugua  maradhi  yasababishayo  kupinda  kwa  uume.
Katika  makala  haya , tutaangazia  namna  suala  la  upigaji  punyeto  linavyo  sababisha  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya  kiume.

NINI  HUSABABISHA  UUME  KUSINYAA,KUDUMAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUUFANYA  UONEKANE  KAMA  WA  MTOTO ?

Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali za kisayansi, Sababu  kubwa   inayo  sababisha  kudumaa, kusinyaa  na  kurudi  ndani    kwa  uume  ni kupungua  ama  kukosekana kabisa   kwa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu  kama  HGH  ambazo  pamoja  na  mambo mengine , zina  husika  na  kuchochea  ukuaji  wa  seli zinazo  husika na  ukuaji  wa  misuli ya  uume na  uume  kwa ujumla.

MAMBO  YANAYO  SABABISHA  KUPUNGUA  AMA  KUKOSEKANA  KWA  HOMONI  ZINAZO  SAIDIA  KUCHOCHEA  UKUAJI  WA  MISULI  YA  UUME.

Kwa  mujibu  wa  tafiti za  kitaalamu, mambo  yanayo  sababisha  kupungua  na/ ama  kukosekana  kwa  homoni zinazo  saidia kuchochea  ukuaji  wa  misuli ya  uume ni  pamoja  na :
1.   Kujengeka kwa  mafuta kwenye  mishipa  ya ateri ipitishayo  damu kwenda  kwenye  misuli ya  uume  na  hivyo  kuzuia kutiririka  kwa  damu kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.
2.    Kujengeka  kwa  tishu zisizo  vutika ndani ya  mishipa  ya  ateri. Tishu  hizi  huzuia  mishipa ya  ateri kupanuka  na hivyo  kushindwa kuongezeka ukubwa.

KWANINI  PUNYETO HUSABABISHA  UUME KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUONEKANA  KAMA  UUME  WA  MTOTO  MDOGO ?

Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.

Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ya  uume, na hatimaye  hufanya  uume  wa  mhusika  kudumaa, kusinyaa, kunywea  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuufanya  uonekane  kama wa  mtoto.

 Homoni  hizo hujulikana  kama  HGH  na  huzalishwa  kwenye  ini.

Sababu nyingine   inayo  tajwa  na  wataalamu  ni kwamba, mtu  anaye fanya punyeto   hutumia  akili,  nguvu na  nishati  nyingi sana, jambo ambalo  huathiri utendaji  wa  ogani  nyingine  muhimu  katika  mwili , likiwemo  ini.

Ini  linapo kosa  nishati   ya kutosha  hushindwa  kufanya kazi  zake  vizuri  na  moja  kati  ya  kazi kubwa  za  ini  ni  pamoja  na  uzalishaji  wa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu kama  HGH  ambazo  kama  ilivyo andikwa  hapo juu, zinahusika na  kuchochea  ukuaji  wa  sehemu mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamu  ikiwemo   misuli  ya  uume.

Mbali na  kuathiri  utendaji  wa  ogani  nyingine  mwilini, upigaji  punyeto  husababisha  athari nyingine  kwenye  mwili wa  mwanadamu  kama  vile uchovu  sugu  wa mwili  pamoja na kunyonyoka kwa  nywele.

Athari nyingine  za  upigaji punyeto  ni  pamoja  na  kupoteza  kumbukumbu, kuwahi  kufika  kileleni  ambako  husababishwa  na  kulegea  kwa  mishipa  ya  ateri, kushindwa  kurudia  tendo  la  ndoa, kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa, uume  kusimama  katika  hali  ya  ulegelege,   maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa  husuani  wakati  wa  kurudia  tendo  la pili na    mara  baada  ya  tendo  la  ndoa  la  kwanza.

KWANINI   WATU WENGI  WANAO  JIHUSISHA  NA  UPIGAJI  PUNYETO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME YALIYO  DUMAA, SINYAA  NA  KURUDI NDANI.

Uzeofu  unaonyesha  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  wanaume  ambao  wamewahi  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu, wanakabiliwa  na  tatizo  la kuwa  na  maumbile  ya  kiume yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani.

SABABU  KUBWA   NI  HII  HAPA
Sababu  kubwa  ni kwamba   vijana wengi  wa  kiume, huanza  kujihusisha  na  punyeto   wakiwa  na  miaka  kumi  na sita , kumi na  saba  au  chini  ya  hapo.
Hiki ni  kipindi  ambacho  vijana  hawa  ndio  wanakuwa  wamebalehe.
Na kwa mujibu  wa  tafiti  za kisayansi, katika  kipindi  hiki cha  balehe  ndio  kipindi  ambacho  homoni za  HGH  ambazo huhusika   ukuaji  wa  sehemu  mbalimbali  za  mwili  ikiwemo  maumbile ya  kiume, huzalishwa  kwa wingi.
Kama  tulivyo ona  hapo  juu, upigaji  punyeto  huathiri  uzalishwaji  wa   homoni  hizo.
Mwisho wa  siku  maumbile  ya  kiume  ya  wahusika, hushinda  kukua  na  kuishia  kudumaa na  kusinyaa.
Na  hii ndio  sababu  kubwa  wanaume  wanao  kabiliwa  na  tatizo  hili  husalia  kuwa  na  maumbile yenye  ukubwa  ule  ule  wakati wa  kubalehe.

NINI  TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA  NA  KURUDI NDANI KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.

Kama uume wako  umedumaa, umesinyaa, umelegea, umenywea  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ulifanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  na  unataka  kuondokana  na  hali  hiyo.
HII  NI HABARI NJEMA  SANA  KWAKO!

Ipo  DAWA  YA  ASILI  ambayo  HUTIBU  na  KUPONYESHA  KABISA  tatizo la  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI NDANI  KWA MAUMBILE  YA  KIUME.
Ni  dawa  ya  asili  kabisa  isiyo  na  kemikali  yoyote ya  kiwandani  ambayo  hutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la kudumaa  na  kusinyaa  kwa  uume  ndani ya siku thelathini.

JINSI   YANAVYO   TUMIKA
Dawa  hii  ya  asili  hutumika  kwa  kuchua  uume. Na hutumika  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni kwa  muda  wa  siku  thelathini.

MAMBO   YANAYO FANYWA  NA  DAWA  HII YA  ASILI.

Dawa  hii  ya  asili  husaidia  katika  mambo  yafuatayo :
1.    Kuimarisha  na  kuipa  nguvu mishipa  iliyo legea kwa  sababu  ya  punyeto
2.   Hunenepesha  uume  ulio sinyaa  kwa  sababu  ya  punyeto
3.   Hurefusha  uume  ulio dumaa  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ya  punyeto.
4.   Huimarisha  na  kuongeza  nguvu  za  kiume
5.   Hukupa  uwezo wa  kurudia tendo  bila  kuchoka
6.   Hukupa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  muda  mrefu.
7.   Husaidia  kuongeza  na  kuimarisha  nguvu  na  nishati ya  misuli ya  uume.

JINSI YA  KUPATA  DAWA  HII

Kupata  dawa  hii, fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA  HERBALIST  lililopo  UBUNGO  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  PLAZA  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

Kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini Dar  Es  Salaam, ambao  hawana  muda  wa  kufika  ofisini kwetu, tunayo huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  ndani ya  jiji la  Dar  Es Salaam  ( HOME & OFFICE  DELIVERY )
Kwa wateja  wetu waliopo  nje  ya mkoa  wa Dar  Es  Salaam na  Zanzibar, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabus  na boti.

WASILIANA NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84

Polepole Ataja Sababu Zilizokwamiha Mchakato wa Katiba Mpya

0
0
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Hamphrey Polepole amesema mchakato wa Katiba ulikwama kwa sababu hakukuwa na uelewa wa pamoja nini wananchi wanataka jambo ambalo, tayari limeshaeleweka ndani ya chama hicho.

Akizungumza leo Alhamisi katika kipindi cha Maisha Mseto kinachorushwa na redio Times FM, Polepole amesema yeye ni muumini wa maoni ya wananchi kwenye mchakato wa Katiba mpya.

Amesema wakati ya mchakato wa Katiba mpya alikuwa miongoni mwa wajumbe waliokusanya maoni ya wananchi ataendelea kuunga mkono maoni yao.

“Nilikusanya maoni ya wananchi nchi nzima ya Tanzania na ninajua nini Watanzania wanasema kwa hiyo, mimi ni muumini wa maoni ya wananchi,” amesema.

Amesema mchakato huo ulikwama kwa sababu hakukuwepo na uelewa wa nini Watanzania wanataka.

Hata hivyo alidai kuwa mabadiliko makubwa yanayofanywa ndani ya chama hicho yanaakisi kushughulikia kero za wananchi.

“Siasa safi ni kushughulika na kero za wananchi wetu, chama kimejitathmini na kujisahihisha kwa sababu tumepata usahidi kwamba kuna mahali tulikosea kwa hiyo, tunao utaratibu wa kujikosoa,” amesema.

Polepole amesema uongozi wa  Rais John Magufuli umejikita zaidi katika kushughulikia kero za wananchi kwa kuhakikisha watumishi wa umma wanafanya kazi kwa uadilifu huku wakiweka mbele maslahi ya Taifa.

Walichoongea Mtukufu Aga Khan na Rais Magufuli Ikulu

0
0
Kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia, Mtukufu Aga Khan amesema  wamedhamiria kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kupanua hospitali.

Amesema Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam itapanuliwa na pia watajenga chuo kikuu kikubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki mkoani Arusha.

Mtukufu Aga Khan amesema hayo jana Jumatano Ikulu jijini Dar es Salaam, alipofanya mazungumzo na Rais John Magufuli.

Alisema upanuzi wa hospitali utahusisha kuongeza idadi ya vitanda vya wagonjwa kutoka 72 vya sasa hadi 172, kuimarisha matibabu ya moyo na saratani.

Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari imesema upanuzi wa hospitali pia utahusisha ufundishaji wa madaktari na wataalamu wengine wa afya.

Kuhusu chuo kikuu, Mtukufu Aga Khan alisema jumuiya imedhamiria kujenga kikubwa ambacho kitafundisha viongozi si tu wa Tanzania na Afrika Mashariki, bali Afrika nzima ili wawe chachu ya mabadiliko na maendeleo.

Rais John Magufuli katika taarifa hiyo alimshukuru Mtukufu Aga Khan kwa taasisi zake kutoa huduma za kijamii nchini Tanzania.

Alitoa wito kwa taasisi hizo kupunguza gharama za huduma ili wananchi wamudu na hasa ikizingatiwa kuwa zimekuwa zikipata msamaha wa kodi kutoka serikalini.

Rais Magufuli alisema Serikali ipo tayari kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Aga Khan na amemuomba kiongozi huyo wa dini kuendelea kupanua wigo wa huduma za taasisi zake ikiwa ni pamoja na kuwekeza mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Serikali.

Walionusurika Ajali Ziwa Victoria Wamtupia Lawama Dereva

0
0
Walionusurika ajali ya daladala iliyotumbukia Ziwa Victoria, wamesema iwapo dereva angesikiliza ushauri madhara yasingekuwa makubwa.

Akizungumza katika Hospitali ya Bukumbi Mission wilayani Misungwi alikolazwa, Yohana Ngabula (28) mkazi wa Kijiji cha Buyagu wilayani Sengerema amesema amepoteza mama na dada katika ajali hiyo.

Ngabula amesema walikuwa wakitoka jijini Mwanza kufuatilia mafao ya baba yao katika ofisi za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

“Nilimshauri dereva agonge hata gari lililokuwa mbele yake badala ya kulielekeza ziwani lakini hakusikia mwisho wake ndiyo hayo yaliyotokea,” amesema.

Amesema baada ya gari kutumbukia ziwani alipasua kioo na kutoka ndipo walipofika vijana wakamuokoa.

Majeruhi mwingine mkazi wa Ibisabageni, Paulo Lazaro ambaye ni mwalimu wilayani Sengerema amesema, “Tulimshauri dereva agonge vitu nchi kavu kuliko kuipeleka gari majini lakini hakusikiliza ushauri wetu, pengine tungepona wengi zaidi.”

Mwalimu huyo amesema alipita dirishani baada ya gari kutumbukia ziwani na kwamba, ana maumivu mabegani na mgongoni.

Mwingine aliyenusurika katika ajali hiyo, Sophia Biambina (32) amesema amepoteza watoto wawili katika ajali hiyo.

Amesema walikuwa wakitoka kwenye msiba wa baba yake wilayani Magu na alikuwa akielekea nyumbani kwake Nyapande wilayani Sengerema.

“Baada ya ajali nilijikuta nimeshatoka nje sikujua nimetokaje, najihisi maumivu makali kwa sababu nilikunywa maji mengi. Kinachoniuma ni kuwapoteza watoto wangu, tulitoka msibani kumzika baba yangu,” amesema.

Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Bukumbi, Dk Robert Shija amesema walipokea maiti 12 na majeruhi hao watatu.

Amesema walipokea miili ya Joseph Paulo, Rehema Makalanga, Mariamu Kagosha, Pendo Msafiri, Salome Msafiri, Joyce Hamadi, Martha Makenzi, Gwanchele Mswagi na Kazungu Lukuba wote wakazi wa Wilaya ya Sengerema.

Wengine ni Martine Kamlamo mkazi wa Bukumbi, Hamadi Zahalaki wa Bukoba na Ally Abdul wa Kayenze wilayani Ilemela.

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Juma Sweda ameuagiza uongozi wa hospitali kuwa, ndugu watakaoshindwa kusafirisha miili wawasiliane na ofisi ya wilaya kwa ajili ya kupata msaada.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Emmanuel Kipole amesema walipanga kuisafirisha miili hiyo lakini tayari ndugu wameshaichukua.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema hakuna miili mingine ambayo imeopolewa lakini Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kimerudi eneo la tukio.

Msangi alisema jana Jumatatu kuwa hawajapata idadi kamili ya watu waliokuwemo kwenye gari hilo.

Kwa Nini Wanaume Wengi Wana Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

0
0
Asilimia 85 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vema wake au wapenzi wao na kuwasababishia waweze kuwasaliti na kutoka nnje ya ndoa 

NI NINI CHAZO CHAKE ; upiga punyeto, ngiri, vidonda vya tumbo, magonjwa ya moyo, presha, kisukari, korodani moja kuvimba, utumiaji hovyo madawa ya kizungu, msongo wa mawazo, kufanyiwa tohara ukubwani nk 

DOKTA HAMISI SASA KAPATA TIBA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO :

MAPRO POWER  ndio dawa tosha kwa sasa. Hutibu na kuponesha kabisa tatizo la NGUVU za kiume, utarudisha heshima ya ndoa yako 

1 itakufanya uchelewe kufika kileleni 
2 itakupa hamu ya kurudia tendo 
3 Huhimalisha moduli iliyoregea na kusinyaa

 OKOA NDOA YAKO SASA : MANGUNGU MIX ni tiba kwa wanaume wenye uume mfupi kwa msemo wa Dada zetu wanaita vibamia. Dawa hiyo huboresha uume saizi upendayo ich 1-8 na unene cm 1-5.

Dawa zipo za kupaka na kunywa na ni tofauti na ulizowai kutumia na hazina madhara.

Pia tunato Pete, mkufu au saa kwa mfanya biashara,mkulima mchimba madini 

Pete ya mapenzi nayo IPO NATOA GARANTII YA MIEZI SITA kama umepata tiba na ukafanikiwa na tatizo kujirudi utakuja kupewa bure tiba yako OFISI IPO MBAGALA ZAKHEMU UKISHUKA TU SITENDI . Pia utaipata popote huduma kama hauna nafasi ya kuja ofisini 

Mawasiliano; 0686980006

Sheikh Issa Ponda Afunguka Walichoongea na Tundu Lissu Nairobi

0
0
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameelezea jinsi mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anavyopanga mikakati ya kurejea katika siasa baada ya kupona.

Ponda amesema hayo baada ya kumtembelea Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya alikopelekwa baada ya kushambuliwa kwa takriban risasi 30 akiwa ndani ya gari, nje ya makazi yake mjini Dodoma katika tukio lililotokea mchana Septemba 7.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari jana jijini Dar  ulioishia kwa baadhi ya waandishi wa habari kukamatwa na Jeshi la Polisi, Sheikh Ponda alisema safari yake ya Nairobi ilikuwa na malengo manne.

Aliyataja madhumuni hayo kuwa ni kumjulia hali Lissu, kumuombea dua na kumjengea matumaini ya afya yake, kumjengea matumaini endelevu ya harakati zake za umma na kujenga mazingira ya kutosha kuzungumzia tukio hili.

“Katika kipengele cha tatu, tulipokuwa tunapeana na kubadilishana hoja, nilipata hisia nzito kwake,” alisema Sheikh Ponda.

“Maana yeye aliye kitandani alinipa mimi matumaini makubwa. Alisema anaamini yuko karibu kurudi jukwaani na ataanzia pale atakapokuta kasi ya mabadiliko imefikia.

“Alinieleza kazi muhimu za kuwajenga watu anazofanya akiwa pale kitandani. Alinieleza anaamini damu yake na yangu na nyingine zitakazomwagika kwa namna hii, zitawafanya Watanzania kupata uhuru wa kweli wenye thamani.”

Sheikh Ponda alisema tukio hilo na mengine ambayo yamekuwa yakitokea nchini yawe funzo na kuifanya jamii kujenga umoja na ushirikiano katika kulirudisha Taifa katika njia sahihi.

“Izingatiwe kwamba ikiwa tatizo lipo na watu hawasemi kama lipo, basi litaendelea kuwepo na wasababishaji pia wataendelea kudumu,” alisema.

“Na wale wanaoamini hali iliyopo ni kwa Serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake, tuunganishe nguvu kuhakikisha Serikali inatekeleza wajibu huo.

“Masheikh, maaskofu, mapadri, wana vyuo, viongozi wa upinzani na hata viongozi wazuri walioko CCM waiambie ukweli Serikali. Kimya chao ni hasara na kitawanyima hadhi ya anuwani yao.”

Sheikh Ponda alisema kwa kipindi cha hivi karibuni kumekuwapo na matukio ambayo kwa namna moja au nyingine yanalichafua Taifa katika uso wa kimataifa.

Aliyataja matukio hayo kuwa ni mauaji ya kutisha, maiti za watu kuokotwa kwa wingi na zinaendelea kuokotwa, raia na viongozi kadhaa wametekwa na kupotea, viongozi mashuhuri wa vyama vya siasa vya upinzani na wa taasisi za kidini wanashambuliwa kwa silaha nzito kwa lengo la kuuawa.

Alisema kwa kuwa roho za Watanzania hivi sasa ziko juu na baadhi wamepoteza matumaini ya usalama wao, ni jukumu la Serikali kuhakikisha usalama wa raia wake unakuwapo wakati wote.

Mara baada ya mkutano huo uliofanyikia Hoteli ya Iris iliyopo Mtaa wa Livingstone Kariakoo kumalizika, na waandishi kadhaa kuondoka, askari wa Jeshi la Polisi walifika kumfuata Sheikh Ponda.

Askari hao waliokuwa wamevalia kiraia na wengine sare, walikuwa kwenye gari mbili na kuzuia mtu yeyote kutoka huku wakitaka kujua alipo Sheikh Ponda na walipoelezwa kwamba ameshaondoka, walianza kumsaka.

Sheikh Issa Ponda Atakiwa Kujisalimisha Polisi

0
0

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limempa siku 3 tu Sheikh Issa Ponda, ili kujisalimisha na kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazomkabili, na iwapo hatafanya hivyo watamchukulia sheria stahiki.

Tarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, na kusema kwamba ndani ya siku hizo 3 lazima awe amekwenda kujisalimisha, la sivyo hatakuwa salama.

“Ametenda makosa ya jinai kama uchochezi, lakini pia amekuwa anatoa lugha ambazo ni za kejeli, dhidi ya serikali, anatufutwa na kama unamjua mwambie ajisalimishe ili tuweze kumhoji, kukimbia hakutomsaidia, tukiona kuna kosa la jinai tutampeleka mahakamani kama hana tutamwachia, mimi nampa siku tatu lakini akija leo ni nzuri zaidi, nampa siku 3 ajitokeze mwenyewe aweze kuhojiwa, vinginevyo hatakuwa salama”, amesema Kamanda Mambosasa.

Hapo jana Jeshi la polisi lilivamia mkutano wa Sheikh Ponda aliokuwa nafanya na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, na kufanikiwa kukamata baadhi ya watu wakiwemo waandishi wa habari ambao walikuwepo kwenye mkutano huo.

Mtukufu Aga Khan aondoka nchini

0
0
Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan ameondoka nchini leo Alhamisi saa 7:25 mchana baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku mbili kwa mwaliko Rais John Magufuli.

Kiongozi huyo ameagwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) na jumuiya ya ismailia hapa nchini pamoja na viongozi wa Serikali ambao ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Kikundi cha ngoma kilitoa burudani kwa kiongozi huyo kabla hajapanda ndege yake aina ya LX - PAK na kuanza safari.

Mtukufu Aga Khan aliwasili nchini jana Jumatano saa 4 asubuhi akitokea Uganda alikokwenda kuhudhuria sherehe za uhuru wa nchi hiyo kwa mwaliko wa Rais Yoweri Museveni.

Akiwa hapa nchini, Mtukufu Aga Khan alikutana na Rais Magufuli na kuzungumzia mambo matatu ambayo ni afya, elimu na vyombo vya habari.

Katika mazungumzo yao, Aga Khan aliahidi kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na mkakati wa taasisi zake kupanua Hospitali ya Aga Khan na kujenga Chuo Kikuu cha Aga Khan huko Arusha ambacho kitakuwa kikubwa.

Mtukufu Aga Khan ndiyo mwasisi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) ambao unatoa huduma mbalimbali nchini na sehemu nyingine duniani katika sekta za afya, elimu, kilimo, fedha na bima.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images