Chama cha mapinduzi ( CCM) manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kimeendelea kusisitiza kuwa chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA hakitaweza kushika dola kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa mbovu....
Kauli hiyo ilitolewa jana na mwenyekiti wa CCM manispaa ya Moshi, Elizabeth Minde wakati alipokuwa akimnada mgombea wa udiwani wa kata ya
"CHADEMA haina uwezo wa kushika dola kutokana na mfumo wake wa utawala kuwa mbovu unaotokana na udikteta, udini na ukabila "....Elizabeth Minde
↧
↧
Rose Ndauka amwanika binti yake "Naveen" hadharani.
Rose Ndauka ambaye ni mama anayetamba ndani ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naveen.
Upekuzi wa mtandao huu umefanikiwa kuinasa picha ya Naveen ikiwa mtandaoni kama inavyoonekana hapo chini....
Siku chache baada ya kujifungua, Rose Ndauka aliwaonya wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba kwani ni
↧
Dkt. Emmanuel Nchimbi akabidhi ofisi rasimi kwa waziri mpya wa wizara ya mambo ya ndani Mhe. Mathias Chikawe
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa
neno fupi wakati wa hafla fupi ya Makabidhiano rasmi ya Ofisi kwa Waziri
Mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mhe. Mathias Chikawe(wa pili kulia).
Hafla hiyo imefanyika leo Januari 27, 2014 katika Ukumbi wa Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi, Jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
↧
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na mnadhimu mkuu wa majeshi.....
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert
Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa
↧
Serikali yapunguza gharama za kuunganisha umeme majumbani
SERIKALI
imeamua kupunguza kwa kiasi kikubwa bei ya kuunganisha umeme majumbani
na kufikia sh. 27,000/ kwa wanavijiji wanaoishi kwenye maeneo ambayo
bomba la gesi linapita.
Hatua
hiyo imetangazwa jana (Jumapili, Januari 26, 2014), na Waziri wa Nishati
na Madini, Prof. Sospeter Muhongo wakati akizungumza na wanakijiji wa
Mangaka wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara kabla ya
↧
↧
Picha za mkutano wa CHADEMA mkoani Iringa leo ambapo Dr. Slaa amevuna mmoja toka CCM na mwingine toka TLP
Hii ndio Helbopta iliyowakusanya wana Iringa leo uwanja wa Mwembetogwa
Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa leo
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa leo
Mbunge Halima Mdea akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini leo
Katibu
mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Dr Slaa akimpokea
kada wa
↧
"Deni la Taifa wanafaidi wezi wachache, tunalipa wote."...Zitto Kabwe
Leo nimeandika kuhusu
Deni la Taifa kukua kwa kasi na kufikia tshs 27 trilioni mpaka Desemba
2013 kutoka tshs 10 trilioni mwaka 2005. Baadhi ya Watalaamu wanajenga
hoja kuwa kukopa sio shida, bali kukopa kwa ajili ya nini.
Nikakumbuka
mzigo wa madeni ambao Taifa lilibeba miaka ya sabini na themanini kiasi
cha Tanzania kukoswa koswa kuwa nchi ya Kwanza duniani kushindwa
kuhudumia
↧
Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia
↧
Rais Kikwete awatembele wananchi walioathirika na mafuriko katika Mkoa wa Morogoro....Haya ni maagizo aliyoyatoa wakati akiongea na wananchi hao
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na
Usalama, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) kuanza mara moja kazi ya kusimamia utoaji huduma kwa
watu walioathiriwa na mafuriko katika Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni pamoja
na kusimamia ujenzi wa nyumba za muda wa waathirika hao.Rais pia
ameliamuru Jeshi kupeleka
↧
↧
Tuhuma za Zitto Kabwe ( CHADEMA ) kutoka kimapenzi na mbunge Catherine Magige ( CCM ) ni za uongo na zimepikwa kwa lengo la kumchafua.
KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile,
wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha,
Catherine Magige.
Zitto, baada ya msululu wa tuhuma ambazo nyingi zilibainika kupikwa
makusudi ili kuichafua taswira yake mbele ya jamii, sasa hivi
anahusishwa kutoka kimapenzi na
↧
CHADEMA kususia uchaguzi mkuu wa 2015 iwapo Serikali haitaboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa sharti ambalo kama halitatekelezwa chama hicho hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wala hakitapiga kura ya kupitisha rasimu ya katiba.
Sharti hilo lilitolewa mjini Bukoba juzi na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakati akihutubia katika mkutano wa hadhara ikiwa ni mwendelezo mikutano ya Operesheni ya M4C Pamoja Daima uliofanyika katika
↧
Lowassa aipinga sheria ya kuyafungia magazeti....Amtaka Naibu Waziri wa Habari, Juma Nkamia amalize vifungo visivyo na mwisho vya baadhi ya vyombo vya habari nchini.
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward
Lowassa, amesema anakerwa na tabia ya serikali kufungia magazeti na
amemfunda Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma
Nkamia na kumtaka amalize vifungo visivyo na mwisho vya baadhi ya vyombo
vya habari nchini.
Pia waziri mkuu huyo wa zamani, amemtaka Nkamia ahakikishe katika
majukumu yake mapya ya
↧
Mwandishi wa habari wa BBC Ann Waithera afariki dunia
marehemu Ann enzi za uhai wake
Ann alikuwa anafanya kazi na BBC katika ofisi za Nairobi na amekuwa akiugua Saratani ya Ubongo kwa karibu miaka miwili.
Ann aliwahi kuwa ripota wa BBC mjini Addis Ababa Ethiopia.
Kabla ya kujiunga na BBC Ann alifanya kazi na
shirika la habari la Nation Media Group nchini Kenya na Citizen TV. Ann
alikuwa na umri wa miaka 39.
Waandishi wenza
↧
↧
CHADEMA yauchokonoa Usalama wa Taifa....Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) atamba kuwa maofisa wake hutoa siri kwao
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mafanikio
kinayopata yanatokana na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kutoa siri
kwao.
Kauli hiyo imetolewa juzi mjini hapa na Mbunge wa Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), wakati akihutubia mkutano wa hadhara
kwenye Viwanja vya Ruanda, Nzovwe.
Alisema hatua ya nchi kuyumba, inatokana na Serikali kutowajali maofisa wa Idara
↧
"Najaribu kutafuta mwanaume aliye mkamilifu japo kidogo....Si kwamba sitongozwi, wanaume wanakuja wengi tu lakini najaribu kujipanga ili nisirudie kosa"...Penny
Penniel Mwingila aka VJ Penny ambaye wengi wanamfahamu kama
mpenzi wa mkali wa Bongo Flava, Diamond Platinumz ambao hivi sasa hawako
pamoja, anaamini kuwa ingawa hakuna mwanaume mkamilifu, kuna sehemu
yupo mkamilifu japo kwa kiasi kidogo.
Penny amefunguka katika mahojiano aliyofanya na mtandao wa Bongo5
kuhusu maisha yake kwa ujumla na uhusiano wake na Diamond Platinumz
ambaye hivi
↧
Kaburi lafukuliwa na maiti kunyofolewa uti wa mgongo
WATU wasiofahamika wamefukua kaburi la Rosa Kikwe, aliyefariki dunia
mwaka 2005 na kuchukua mfupa wake wa uti wa mgongo, kwa kile
kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Jeshi la Polisi Wilaya ya
Bunda, limethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea juzi, katika
Kijiji cha Kihumbu, Kata ya Hunyari.Ilielezwa usiku wa tukio hilo, watu hao walifukua kaburi alimozikwa
mwanamke huyo,
↧
Dr Sheni afunguka ...... Tunataka serikali mbili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaunga mkono muundo wa
Serikali mbili. Dk. Shein alitoa kauli hiyo juzi, wakati akizindua
kampeni za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki, mjini hapa,
sambamba na kumnadi mgombea wa jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo (CCM).
Alisema CCM itaendelea kuunga mkono
↧
↧
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama akamatwa na polisi baada ya kuzungumza kiswahili ndani ya ndege ya Precision Air
ALIYEKUWA Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama,
amejikuta akipelekwa polisi baada ya kutokuwa tayari kuzungumza lugha
ya Kiingereza ndani ya ndege ya Precision Air. Dk. Lwaitama
alikutana na dhahama hilo juzi alipokuwa safarini akitokea Dar es Salaam
kwenda mkoani Kagera, kabla ya kufika Bukoba ndege aliyopanda msomi
huyo ilitua jijini Mwanza.
Akiwa
↧
Nguvu za Edward Lowassa zaitesa UVCCM...Mmoja wa viongozi wake atoa taarifa iliyojaa maneno makali akimshambulia Lowassa, Wenzake wamkana
Ushawishi
wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ndani ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM), umeipasua Jumuiya ya Vijana ya chama hicho (UVCCM).
Mmoja wa viongozi wake ametoa taarifa iliyojaa maneno makali
akimshambulia Lowassa na baadhi ya viongozi wa dini akiwahusisha na
kampeni za uchaguzi wa urais mwakani.
Bila kutaja jina la kiongozi yeyote wa dini, ila tu kurejea kwa ujumla
wao
↧
Mauaji yaitikisa nchi...Jambazi laendesha mauaji ya watu 8 kwa siku tatu mfululizo, IGP Mangu ashtushwa, apeleka wapelelezi kumsaka
Mauaji
ya kutisha yametikisha wilaya ya Tarime kiasi cha kumfanya Mkuu wa
Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu, kutuma timu maalum kutoka makao
makuu ya jeshi hilo inayohusisha kamisheni ya Operesheni kufanya
uchunguzi.
Hatua ya kupelekwa kwa timu hiyo inatokana na mauaji ya mfululizo katika
mji wa Tarime ambayo ipo kwenye himaya ya Kanda Maalum ya Polisi ya
Tarime na Rorya ambayo
↧