Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mrisho Gambo: Lema anapoteza muda wake bure

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapaswa kutambua kuwa yeye kama Mkuu wa mkoa anajishughulisha na matatizo ya watu hivyo kama hatabadili aina ya siasa azifanyazo basi anapoteza muda wake kwa miaka yote mitano.

Gambo amesema kuwa yeye hana tatizo lolote na Mbunge huyo wa Arusha mjini na kudai kuwa anapaswa kutambua na kubadili aina ya siasa anazofanya kwa kuwa yeye amelenga kutatua matatizo na changamoto za watu wa Arusha Mjini.

“Msuguano na Mbunge haupo lakini anatakiwa tu asome alama za nyakati kwamba Mkuu wa Mkoa wa sasa amedhamiria kuhangaika na shida za watu kama hatalitambua hilo atapoteza muda wake kwa miaka yake yote mitano,”amesema Gambo

Hata hivyo,  Amesema kuwa yeye kama kiongozi kijana anahitaji zaidi kukosolewa kuliko kusifiwa ili aweze kujirekebisha sehemu ambayo ana mapungufu ili aweze kuwa kiongozi madhubuti na mahiri zaidi

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Gazi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Tupo Mbagala

Taarifa muhimu ya TCU kwa wanafunzi waliokosa vyuo

$
0
0
TAARIFA KWA UMMA
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia  Umma kuwa  awamu ya kwanza ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika tarehe 30 Agosti 2017. 

Tume inawaarifu kuwa imekamilisha zoezi la uhakiki wa majina ya waombaji wote walioomba kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo wa 2017/18.
 
Hata hivyo kutokana na  waombaji wengi  kutochaguliwa  kutokana na sababu mbali mbali, Tume inatangaza kuwa itafungua maombi kwa awamu ya pili kuanzia tarehe 4 hadi 10 Octoba 2017 ili kuruhusu makundi yafuatayo kuomba udahili:
 
•  Waombaji watakaokuwa wamekosa nafasi kwenye awamu ya kwanza;
•  Waombaji wa kidato cha Sita walioshindwa kuomba katika  awamu ya kwanza;
•  Waombaji wenye vigezo vya Stashahada  walioshindwa kupata Namba ya Uhakiki wa Tuzo (AVN);
•  Waombaji ambao wamemaliza mitihani ya “Cambridge”  mwaka 2017 na matokeo yao yameshatoka; na
•  Waliokuwa wanafunzi wa vyuo vikuu watakao kuwa na uthibitsho toka vyuo vyao vya awali.
 
Aidha Tume inapenda kusisitiza kuwa utaritibu wa kutuma
maombi ni ule ule uliotumika katika awamu ya kwanza ya Udahili. 
 
Imetolewa na
Prof. Eleuther Mwageni
Kaimu Katibu Mtendaji
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania
4 Oktoba 2017 

Joshua Nassari Apeleka vielelezo vingine Takukuru

$
0
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amewasilisha vielelezo vingine katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuthibitisha tuhuma za rushwa dhidi ya viongozi wa Serikali wanaodaiwa kuwanunua madiwani wa Chadema waliohamia CCM.

Nassari aliwasili katika ofisi hizo jana saa 7:57 mchana na kutoka saa 11:33 jioni.

Wakati Nassari akiendelea na mahojiano hayo, maofisa wa Takukuru waliwafukuza waandishi wa habari waliokuwa katika eneo hilo wakisubiri kufanya mahojiano na mbunge huyo.

Hata alipotoka alikuwa amesindikizwa na maofisa hao waliokuwa wakiwazuia waandishi ambao waliamua kumsubiri nje ya lango la ofisi hizo wasifanye mahojiano.

Mmoja wa maofisa hao alimsindikiza mbunge huyo hadi alipohakikisha ameingia ndani ya gari na kuondoka eneo hilo.

Nassari aliwataka waandishi wamfuate katika eneo jingine kwa ajili ya mahojiano.

Akieleza sababu za mahojiano yake kuchukua muda mrefu, Nassari alisema hilo limesababishwa na wingi na uzito wa vielelezo alivyokuwa navyo.

“Nimewasilisha vielelezo na nimefungua jalada, nikatoa maelezo yangu mengine nimewaachia wao waendelee na uchunguzi.

“Ushahidi nilionao ni mkubwa mno umehusisha viongozi wengi, nami nimetoa kila nilichonacho na kuna nyaraka nyingine zipo Arusha zikifika kwa wakati muafaka nitaziwasilisha,” alisema.

Mahakama Kutoa Uamuzi Novemba 9 kesi ya ‘Dikteta Uchwara’ Inayomkabili Tundu Lissu

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kama ana kesi ya kujibu ama la  katika kesi ya ‘Dikteta Uchwara’ Novemba 16, mwaka huu.

Mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa, ilitoa uamuzi jana baada ya Jamhuri kufunga ushahidi ukiwa na mashahidi watano.

Wakili wa Serikali, Hamis Said, alidai kesi ilikuja kwa ajili ya uamuzi wa mahakama na kwamba mshtakiwa anaumwa amelazwa katika Hospitali ya Chandaria Accident and Emergence iliyopo Nairobi.

Wakili wa utetezi, Peter Kibatala, alidai anatarajia kuwasilisha hoja za maandishi ili kuishawishi mahakama kuwa mteja wake hana kesi ya kujibu Oktoba 9, 2017.

Lissu anakabiliwa na mashtaka ya kutoa kauli za uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

Juni 30, mwaka 2016, Lissu alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi namba 233/2016, ambapo alisomewa shtaka la kutoa maneno ya uchochezi nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Juni 28, mwaka huo, kwa kumuita Rais wa nchi ni dikteta uchwara, kinyume cha kifungu namba 32 cha Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976.

Anadaiwa katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, alitoa kauli za uchochezi kwamba ‘Mamlaka ya Serikali mbovu ni ya kidiktekta uchwara, inahitaji kupingwa na kila Mtanzania kwa nguvu zote, huyu diktekta uchwara lazima apingwe kila sehemu. Kama uongozi utafanywa na utawala wa kijinga nchi inaingia ndani ya giza nene’.

Jamhuri katika kesi hiyo iliita mashahidi watano, akiwamo Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Kimweli na Staff Sajenti Ndege.

DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Kinondini, Ally Hapi amesema atawafutia leseni wamiliki wa hoteli na kampuni binafsi ambao hawajatoa mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao.

Aliwabana wamiliki hao jana alipokuwa katika ziara wilayani humo na kutembelea baadhi ya hoteli na kampuni binafsi kwa lengo la kuzungumza na wafanyakazi.

Awali, wafanyakazi walilalamikia mazingira magumu ya kazi ikiwamo mishahara duni na kufanya kazi bila mikataba.

Mmoja kati ya wafanyakazi 23 wa Hoteli ya Tangren iliyopo Mikocheni, Lilian Semtanda alisema licha ya kufanya kazi kwa miaka mitano, hajapatiwa mkataba huku akinyimwa stahiki ikiwamo likizo na matibabu.

Hata hivyo, mmiliki wa hoteli hiyo, Liu Dengwei alikiri kutotoa mikataba tangu waanze mwaka 2008 lakini wameanza utekelezaji wiki hii.

Pata Tiba ya Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: 
 
FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.
 
NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE

Familia ya Tundu Lissu Yatoa Msimamo mpya

$
0
0
Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo imefunguka na kutoa msimamo wake kuhusu jeshi la polisi na kusema hawaoni jitihada zozote kutoka kwenye jeshi hilo kuchunguza jaribio la mauaji ambalo ndugu yao lilimpata Septemba 7, 2017.

Mdogo wa Tundu Lissu ambaye anafahamika kwa jina la Vicenti Mughwai Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema kuwa wanaona jeshi la polisi halipo 'serious' katika kufanya uchunguzi juu ya shambulio la Lissu.

"Kwa jinsi ambavyo ndugu yetu anamchango mkubwa kwa hili taifa, hata kama yupo upande wa pili lakini sisi tunaona zoezi hili la uchunguzi haliendi vizuri, hivyo tunaona kuna haja sasa labda ya kushirikisha wapelelezi kutoka nje ya nchi ambao wako wengi tu kwa sababu nia si njema, tunakataka kujua nani amefanya hili tukio si ndiyo basi washirikiane na wataalam wa nje kama ambavyo walifanya kwenye kulipuliwa kwa ubalozi wetu ili waweze kupatikana kwa sababu kwenye mitandao huko wengine wanasema CHADEMA wanauana wao kwa wao, wengine wanasema upande wa pili sasa sisi tunasema uchunguzi ufanyike ili ukweli uwe wazi" alisema Vicenti Lissu

Aidha familia hiyo imelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka juu ya sakata la ndugu yao kupigwa risasi na pia wamewaomba Watanzania waendelee kumuombea Tundu Lissu ili aweze kupona.

Mbunge Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana mnamo Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma na baadaye kupelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi ambapo mpaka sasa yuko huko kwa matibabu.

Msigwa Amjibu IGP Sirro Sakata la Dereva wa Tundu Lisdu

$
0
0
Baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kumtaka kwa mara nyingine dereva wa Mbunge Tundu Lissu, Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amemjibu Mkuu huyo wa Jeshi kwamba kutangaza hadharani kumtaka dereva huyo ni kinyume na

Msigwa amefunguka hayo ikiwa ni siku moja baada ya IGP Sirro kutangaza akiwa Mtwara kwamba dereva huyo ndiye ambaye anakwamisha upelelezi wa shambulio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Mh. Msigwa amesema kwamba anaamini dereva wa Lissu anastahili kuhojiwa lakini pia kutokana na hali ya usalama wa maisha yake ilikuwa lazima apelekwe nje ya mipaka kutokana na aina ya tukio na siyo kuitwa polisi siku ya pili kwa kutumia vyombo vya habari kwani ni kumuweka pia hatarini dereva huyo.

"Naendelea kuamini dereva wa Tundu Lissu ambae ni 'first physical witness' lazima atahojiwa.., na lazima atatoa ushirikiano wake kama ambavyo alijitahidi kumsaidia Lissu kabla na baada ya kupigwa risasi.. hivyo lazima atatoa ushirikiano wake, kwa uhitaji huu wa polisi, mnaonesha umma kwamba dereva wa Lissu ni mtuhumiwa mkuu kwenye issue hii" - Msigwa.

Ameongeza kwamba "Dereva wa Tundu Antiphas Mughwai Lissu anaitwa Simon Mohammed Bakari yuko Nairobi kwa sasa, porojo za awali kwamba ametoweka na hataki kuonekana ni ujinga wa kupuuzwa, yuko Nairobi akiendelea na huduma za kisaikolojia, yupo kwenye mikono salama. Alishuhudia tukio na kuokoka kimiujiza.., kutokana na hali ya usalama wa maisha yake ilikuwa lazima apelekwe nje ya mipaka...jamaa walitaka kuondoa uhai wa wote wawili..., Mungu ni mwema sana.., siku zote na hata milele.., they survived to tell the tale" alisema Msigwa

Mbali na hayo Mbunge Msigwa ameendelea kufunguka kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba "Tundu Lissu akipata nafuu na kurejea kwenye hali  yake nae atahojiwa.., ndivyo ilivyo.., na ulimwenguni kote kuwa uchunguzi wa matukio ya kihalifu  hatua zinafanana. Lissu yupo hai na atasema yote.. atamtaja kama dereva ni mhusika. Acheni kufinyanga hili suala..

Aidha Msigwa amesema kwamba dereva wa Lissu alistahili kupatiwa ulinzi kutokana na tukio la shambulio la bosi wake aliloshuhudia" Msigwa amefafanua.

"Huyu dereva alipaswa kupewa ulinzi na usalama wa maisha yake.., pia kwa sababu ameshuhudia tukio la mtu wake wa karibu.., hakuna sababu za kwanini aitwe siku ya pili baada ya tukio kubwa la uhalifu wa maisha ya binadamu kwa kupitia vyombo vya habari. Sikutaka kuamini kama angelitoa ushirikiano wa kutosha kwa nyakati zile.., labda sasa anaweza. Tusitumie vyombo vya habari kuitana kwenye upelelezi wa polisi na kutaja yupi anatakiwa na yupi ameachiwa., bado tension ni kubwa sana kwenye jamii" Msigwa.

Godbless Lema Nae Kamjibu IGP Sirro

$
0
0
Mbunge  Godbless Lema amefunguka na kusema maneno aliyosema IGP Sirro jana kuhusu dereva wa Lissu ni dhihaka kubwa kwa ndugu wa Lissu, wanachama wa CHADEMA na hata viongozi wa chama hicho na kusema hakustahili kusema maneno yale kama IGP.

Lema amesema hayo baada ya IGP Sirro kusikika katika baadhi ya vyombo vya habari akiwa Mtwara akisema kuwa dereva wa Tundu Lissu ndiyo anachelesha uchunguzi wa sakati hilo hivyo aliomba arudi ili kulisaidia jeshi la polisi kutoa taarifa ili kufanikisha upelelezi wa sakata la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

"Kamanda Sirro amesikika akiwa Mtwara akisema jeshi la polisi linamuhitaji dereva wa Tundu Lissu kwa ajili ya kukamilisha mahojiano ya upelelezi na kwamba tunasema au CHADEMA inasema anaumwa wakati dereva akionekana akipiga picha anang'ara kabisa, hii ni lugha ya mzaa na lugha ya kadhia hasa kwa familia na sisi wanachama wenzake na Tundu Lissu na hasa kwa dereva mwenyewe ambaye alishuhudia na kusikia milio ya risasi zaidi ya 30 na leo si tu kwamba anatatizo la kisaikolojia kwake binafsi lakini amuona boss wake, kaka yake na mzee wake wa siku nyingi akiwa kitandani akisubiri kudra za Mwenyezi Mungu kuweza kuishi hivyo hii ni kauli ya mdhaa ni kauli ambayo haikupaswa kutolewa na IGP" alisema Lema

Mbali na hilo Lema amelitaka jeshi la polisi kukamilisha kwanza upelelezi wa matukio ya kupotea kwa Msaidizi wa Mbowe, Ben Sanane kifo Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ambao wao hawakuwa hata na madereva lakini mpaka sasa jeshi la polisi limeshindwa kutoa ripoti juu ya matukio hayo.

"Leo wanaposema dereva wa Lissu anachelewesha upelelezi kukamilika siyo kweli kwa sababu Ben Sanane hakuwa na dereva na mpaka leo hatujawahi kuona mchakato wa suala lake kukamilika, Mawazo pia hakuwa na dereva lakini mpaka leo tunaushuhuda kwamba waliopo jela walishawahi kugoma barabarani na kusema wao hawakuwa wahusika wa tukio lile, wapo watu wengi wa CHADEMA wameuwawa lakini hawakuwa na madereva kama wameshindwa kukamilisha kwanza upelelezi huo ni mtake kwanza Sirro akamilishe kwa haraka suala la Ben Sanane ambalo kimsingi wamekataa kufanya utafiti wake, tunajua serikali haiwezi kufanya uchunguzi wa tukio la Lissu kwa sababu wanajua nini kimefanyika" alisema Lema

Lowassa Awakaribisha Chadema Wanaokatwa CCM

$
0
0
Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa anawakaribisha Chadema wale wote waliokatwa CCM.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Alhamisi, Lowassa amesema, “nimesoma na kusikia baadhi ya waliokuwa viongozi katika Chama Cha Mapinduzi wamekatwa ama kutetea nafasi zao au kugombea, kwa sababu mbalimbali. Na jina langu limekuwa likiendelea kutajwa tajwa humo,”

“Mimi nawaambia hawa Watanzania wenzetu waliokatwa huko CCM nawakaribisha huku Ukawa wafurahie demokrasia. Huku niliko kuna maisha mazuri ya kisiasa, uhuru wa fikra na demokrasia halisi.”

 Lowassa amesema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alisema ni wakati muafaka kwa Tanzania kuwa na mfumo wa vyama vingi, pamoja na kwamba maoni ya Watanzania wengi wakati ule kupitia tume ya Nyalali(Jaji Francis) kutaka kuendelea na mfumo wa chama kimoja.

“Nataka kuwakumbusha Watanzania wenzangu hawa, uamuzi ule wa Baba wa Taifa, ulilenga kuwapa Watanzania demokrasia ya kuwa na uwanja mpana wa kufanya siasa,”

“Mimi nimetumia fikra hizo za mwalimu na hakika hivi sasa ninafurahia demokrasia halisi huku niliko. Kwa  wote waliokatwa na wanahisi wameonewa waondokane na unyonge wa fikra kudhani kuwa bila CCM hakuna maisha...waje huku tufanye siasa kwa manufaa ya wananchi wetu.”

Lowassa amewaomba wanaChadema wenzake kuwapokea kwa mikono miwili na wale wanaoendelea kubaki huko CCM waendelee kushikamana hadi uchaguzi mkuu ujao 2020 ambapo upinzani utakapoonyesha makucha yao.

“Vitisho na nguvu ya dola inayotumika kujaribu kutunyamazisha sisi wa upinzani isiwatishe wala kuwaongofya hata mara moja.”

Hamisa Mobeto ampeleka Diamond mahakamani

$
0
0
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mobeto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.

Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.

Wakili Zulu amesems leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobeto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.

“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto  (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.

Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Tatizo La Kudumaa, Kusinyaa, Kunywea Na Kurudi Ndani Kwa Maumbile Ya Kiume Pamoja Na Tiba Yake

$
0
0
Kudumaa , kusinyaa  na  kunywea  au kurudi ndani  kwa  uume  ni tatizo  linalo  wakabili wanaume  wengi  duniani.
Dalili  za  tatizo  hili  ni  pamoja  na  kuwa na  maumbile madogo sana yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuyafanya  yaonekane  kama  ya  mtoto  mdogo.

VYANZO  VYA  TATIZO  LA  KUDUMAA  NA  KUSINYAA  KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.
Kwa  mujibu wa  tafiti  mbalimbali  za  kisayansi, tatizo la  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya kiume  huchangiwa na  mambo mengi. 
 
Baadhi  ya  mambo  hayo  ni  pamoja na  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu,  kuugua  chango  la  kiume,  kuugua  ngiri,  kuwa  na  uzito & unene  ulio pitiliza, kufanyiwa  upasuaji  wa  tezi  dume , uzee  na  kuugua  maradhi  yasababishayo  kupinda  kwa  uume.
Katika  makala  haya , tutaangazia  namna  suala  la  upigaji  punyeto  linavyo  sababisha  kudumaa  na  kusinyaa  kwa  maumbile  ya  kiume.



NINI  HUSABABISHA  UUME  KUSINYAA,KUDUMAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUUFANYA  UONEKANE  KAMA  WA  MTOTO ?

Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali za kisayansi, Sababu  kubwa   inayo  sababisha  kudumaa, kusinyaa  na  kurudi  ndani    kwa  uume  ni kupungua  ama  kukosekana kabisa   kwa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu  kama  HGH  ambazo  pamoja  na  mambo mengine , zina  husika  na  kuchochea  ukuaji  wa  seli zinazo  husika na  ukuaji  wa  misuli ya  uume na  uume  kwa ujumla.

MAMBO  YANAYO  SABABISHA  KUPUNGUA  AMA  KUKOSEKANA  KWA  HOMONI  ZINAZO  SAIDIA  KUCHOCHEA  UKUAJI  WA  MISULI  YA  UUME.

Kwa  mujibu  wa  tafiti za  kitaalamu, mambo  yanayo  sababisha  kupungua  na/ ama  kukosekana  kwa  homoni zinazo  saidia kuchochea  ukuaji  wa  misuli ya  uume ni  pamoja  na :
1.   Kujengeka kwa  mafuta kwenye  mishipa  ya ateri ipitishayo  damu kwenda  kwenye  misuli ya  uume  na  hivyo  kuzuia kutiririka  kwa  damu kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.
2.    Kujengeka  kwa  tishu zisizo  vutika ndani ya  mishipa  ya  ateri. Tishu  hizi  huzuia  mishipa ya  ateri kupanuka  na hivyo  kushindwa kuongezeka ukubwa.

KWANINI  PUNYETO HUSABABISHA  UUME KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI  NDANI KIASI CHA  KUONEKANA  KAMA  UUME  WA  MTOTO  MDOGO ?

Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.

Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ya  uume, na hatimaye  hufanya  uume  wa  mhusika  kudumaa, kusinyaa, kunywea  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuufanya  uonekane  kama wa  mtoto.
 Homoni  hizo hujulikana  kama  HGH  na  huzalishwa  kwenye  ini.

Sababu nyingine   inayo  tajwa  na  wataalamu  ni kwamba, mtu  anaye fanya punyeto   hutumia  akili,  nguvu na  nishati  nyingi sana, jambo ambalo  huathiri utendaji  wa  ogani  nyingine  muhimu  katika  mwili , likiwemo  ini.
 
Ini  linapo kosa  nishati   ya kutosha  hushindwa  kufanya kazi  zake  vizuri  na  moja  kati  ya  kazi kubwa  za  ini  ni  pamoja  na  uzalishaji  wa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu kama  HGH  ambazo  kama  ilivyo andikwa  hapo juu, zinahusika na  kuchochea  ukuaji  wa  sehemu mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamu  ikiwemo   misuli  ya  uume.
 
Mbali na  kuathiri  utendaji  wa  ogani  nyingine  mwilini, upigaji  punyeto  husababisha  athari nyingine  kwenye  mwili wa  mwanadamu  kama  vile uchovu  sugu  wa mwili  pamoja na kunyonyoka kwa  nywele.
 
Athari nyingine  za  upigaji punyeto  ni  pamoja  na  kupoteza  kumbukumbu, kuwahi  kufika  kileleni  ambako  husababishwa  na  kulegea  kwa  mishipa  ya  ateri, kushindwa  kurudia  tendo  la  ndoa, kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa, uume  kusimama  katika  hali  ya  ulegelege,   maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa  husuani  wakati  wa  kurudia  tendo  la pili na    mara  baada  ya  tendo  la  ndoa  la  kwanza.

KWANINI   WATU WENGI  WANAO  JIHUSISHA  NA  UPIGAJI  PUNYETO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME YALIYO  DUMAA, SINYAA  NA  KURUDI NDANI.
Uzeofu  unaonyesha  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  wanaume  ambao  wamewahi  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu, wanakabiliwa  na  tatizo  la kuwa  na  maumbile  ya  kiume yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani.

SABABU  KUBWA   NI  HII  HAPA
Sababu  kubwa  ni kwamba   vijana wengi  wa  kiume, huanza  kujihusisha  na  punyeto   wakiwa  na  miaka  kumi  na sita , kumi na  saba  au  chini  ya  hapo.
Hiki ni  kipindi  ambacho  vijana  hawa  ndio  wanakuwa  wamebalehe.
 
Na kwa mujibu  wa  tafiti  za kisayansi, katika  kipindi  hiki cha  balehe  ndio  kipindi  ambacho  homoni za  HGH  ambazo huhusika   ukuaji  wa  sehemu  mbalimbali  za  mwili  ikiwemo  maumbile ya  kiume, huzalishwa  kwa wingi.
Kama  tulivyo ona  hapo  juu, upigaji  punyeto  huathiri  uzalishwaji  wa   homoni  hizo.
 
Mwisho wa  siku  maumbile  ya  kiume  ya  wahusika, hushinda  kukua  na  kuishia  kudumaa na  kusinyaa.
Na  hii ndio  sababu  kubwa  wanaume  wanao  kabiliwa  na  tatizo  hili  husalia  kuwa  na  maumbile yenye  ukubwa  ule  ule  wakati wa  kubalehe.

NINI  TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA  NA  KURUDI NDANI KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.

Kama uume wako  umedumaa, umesinyaa, umelegea, umenywea  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ulifanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  na  unataka  kuondokana  na  hali  hiyo.
HII  NI HABARI NJEMA  SANA  KWAKO! 

Yapo  MAFUTA  YA  ASILI  ambayo  HUTIBU  na  KUPONYESHA  KABISA  tatizo la  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI NDANI  KWA MAUMBILE  YA  KIUME.
Ni  mafuta  ya  asili  kabisa  yasiyo  na  kemikali  yoyote ya  kiwandani  ambayo  hutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la kudumaa  na  kusinyaa  kwa  uume  ndani ya siku thelathini.

JINSI   YANAVYO   TUMIKA
Mafuta  haya  hutumika  kwa  kuchua  uume. Na hutumika  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni kwa  muda  wa  siku  thelathini.
MAMBO   YANAYO FANYWA  NA  MAFUTA  HAYA
Mafuta  haya  husaidia  katika  mambo  yafuatayo :
1.    Kuimarisha  na  kuipa  nguvu mishipa  iliyo legea kwa  sababu  ya  punyeto
2.   Hunenepesha  uume  ulio sinyaa  kwa  sababu  ya  punyeto
3.   Hurefusha  uume  ulio dumaa  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ya  punyeto.
4.   Huimarisha  na  kuongeza  nguvu  za  kiume
5.   Hukupa  uwezo wa  kurudia tendo  bila  kuchoka
6.   Hukupa  uwezo  wa  kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  muda  mrefu.
7.   Husaidia  kuongeza  na  kuimarisha  nguvu  na  nishati ya  misuli ya  uume.

JINSI YA  KUYAP ATA
Kuyapata  mafuta  haya, fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA  HERBALIST  lililopo  UBUNGO  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  PLAZA  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.
 
Kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini Dar  Es  Salaam, ambao  hawana  muda  wa  kufika  ofisini kwetu, tunayo huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  ndani ya  jiji la  Dar  Es Salaam  ( HOME & OFFICE  DELIVERY )
Kwa wateja  wetu waliopo  nje  ya mkoa  wa Dar  Es  Salaam na  Zanzibar, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabus  na boti.
 
WASILIANA NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84
Na kufahamu  kuhusu  tiba  asilia ya  magonjwa  na  matatizo mbalimbali  ya  kiafya, tutembelee  kila  siku :
 

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya October 6

Mahakama Yamwachia HURU Yusuf Manji Sakata la Madawa ya Kulevya

$
0
0
Mfanya biashara Yusuf Manji leo Oktoba 6 2017 amefutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya kutumia dawa za kulevya.

Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cyprian Mkeha baada ya upande wa mashtaka na wa utetezi kufunga ushahidi.

Sababu ambayo imepelekea kufutwa kwa kesi hiyo imetajwa kuwa ni upande wa mashtaka ambao ni serikali kushindwa kuthibitisha kosa la mtuhumiwa, Yusuf Manji.

Katika kesi hiyo, Manji anadaiwa kati ya Februari 6 na 9, eneo la Sea View, Upanga wilayani Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya heroine

Mahakama imemuachia huru Manji ikiwa ni siku chache tangu shauri lake jingine la Uhujumu uchumi liondolewe Mahakani hapo na Mkurugenzi wa mashitaka (DPP) ambaye alieleza kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Manji amewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga ambapo alijiuzulu wadhifa huo mapema mwaka huu. Pia Manji alikuwa Diwani wa Kata ya Mbagala kabla ya kuvuliwa nafasi hiyo baada ya kupoteza sifa.

Kiwanda cha Super doll Chateketea kwa Moto

$
0
0
Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha Super doll kilichopo barabara ya Nyerere Dar es Salaam mchana wa leo, na kuteketeza mali za kiwanda hicho.

Kamanda wa polisi mkoa wa Temeke, Gilles Muroto, amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

Katika tukio hilo la kuzima moto huo kulijitokeza changamoto kubwa ya magari ya kuzima moto, ambapo kati ya magari 10 ya zimamoto moja ndilo lenye uwezo wa kuzima moto katika kiwanda hicho.

IGP Sirro Atoa Onyo kwa Wanasiasa

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amefunguka na kuwataka wanasiasa nchini kuacha kuingilia kazi ya jeshi la polisi ikiwepo upelelezi wa tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

Kauli hiyo inatolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akiwa Njombe katika ziara yake ya siku moja baada ya kukagua jeshi la polisi mkoani humo na kuzungumza na waandishi wa habari.

IGP Sirro amesema hayo siku moja baada ya viongozi mbalimbali wa upinzani kutoa kauli kuhusu jeshi hilo la polisi na kusema kuwa hawana imani na uchunguzi ambao unafanywa na jeshi hilo dhidi ya tukio la kupigwa risasi kwa Mbunge Tundu Lissu Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma.

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa, Godbless Lema wa Arusha pamoja na Mbunge wa Rombo Mhe. Joseph Selasini ni kati ya wabunge ambao walionyesha kusikitishwa na kauli ambayo aliitoa IGP Sirro akiwa mkoani Mtwara kuhusu uchunguzi wa sakata la Tundu Lissu na kusema kuwa dereva wa Lissu anachelewesha upelelezi wa sakata hilo.

Wabunge hao walikwenda mbali zaidi na kusema wao wanaona jeshi la polisi halihitaji kufanya uchunguzi wa kina juu ya sakata hilo kwa kuwa jeshi hilo linafahamu nini kipo nyuma ya tukio la kupigwa risasi kwa Tundu Lissu akiwa mjini Dodoma. Kufuatia kauli hizo IGP ndipo amefunguka na kuwataka wanasiasa kuacha kuingilia kazi ya jeshi la polisi ikiwa pamoja na uchunguzi wa sakati hilo.

Watano wafariki katika majibizano ya risasi Dar

$
0
0
Watu watano wanaodaiwa kuwa ni wahalifu wameuawa katika eneo la Toangoma jijini Dar es Salaam, katika  majibizano ya risasi na Polisi yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Emmanuel Lukula amesema walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuwa kuna njama za uhalifu zimepangwa kufanyika maeneo hayo usiku wa jana, hivyo wakajipanga kwa ajili ya kudhibiti.

Amesema ilipofika muda  walioambiwa kweli wahalifu hao ambao idadi yao haikuweza kupatikana, lakini walikuwa wengi, wakafika eneo la tukio na kupambana na polisi.

“Majibizano ya silaha yalikuwa makubwa kwa sababu walikuwa na silaha nzito, lakini Jeshi la Polisi lilijipanga imara kuwadhibiti na kufanikiwa kuua watano na wengine wakatokomea kusikojulikana,” amesema.

Amesema wananchi wasiwe na hofu na waendelee kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kunusuru usalama wao na mali zao.

“Tumejipanga na tunapopata taarifa za uhalifu, pamoja na askari wetu kuwa doria maeneo hayo, lakini hujipanga upya kwa ajili ya kupambana na tukio husika.” 

Kijana ameahidi kummaliza Tundu Lissu atakaporudi Tanzania

$
0
0
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda, Benson Kigaila amefunguka na kulilamikia jeshi la polisi kushindwa kumkamata kijana ambaye anaendelea kuandika vitisho kwenye mtandao wa jamii juu ya Tundu Lissu.

Kigaila amesema kuwa kabla ya Mbunge wa Singida Mashariki kupigwa risasi Septemba 7, 2017 mjini Dodoma huyo kijana kupitia mitandao ya kijamii aliomba apewe ruhusa ya kumuuwa Lissu kwa mikono yake mwenyewe. Kigaila amedai kuwa kijana huyo hivi sasa ameendelea kuandika ujumbe mbaya zaidi kupitia mitandao hiyo hiyo ya jamii bila ya polisi kumchukulia hatua zozote zile.

"Sasa huyo kijana anaandika vibaya zaidi.Anasema 'Anasikitika sana kwa mtu aliyefanya hilo tukio la kumpiga Lissu...anasema alitegemea asikie Lissu amekufa siyo kwamba Lissu amejeruhiwa na anasema wanamsubiri Lissu atakaporudi Tanzania mara hii hawatafanya kosa, wanasema walifanya kosa Dodoma sasa huyu mtu awe ni yeye kweli au si yeye aliyefanya tukio hilo, awe ni mwendawazimu au si mwendawazimu tulitegemea polisi wawe wameshamkamata wapo naye wanamuuliza haya anayosema ni kwa sababu gani lakini polisi halimuoni huyo kijana" alisema Kigaila

Aidha Kigaila amesema kuwa kitendo cha polisi kutomchukulia hatua kijana huyo kinazidi kuwapa mashaka kuwa huenda wanamtambua huyo kijana lakini hawataki kumkamata kwa sababu zao binafsi.

Lawrence Masha Ampa Ushauri Rai Magufuli Sakata la Lissu

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha amemshauri Rais John Magufuli kuwashauri makamanda wake wakubali msaada wa kusaidiwa uchunguzi wa matukio ya kihalifu yanayotokea nchini kwa sasa kwani msaada siyo fedheha.

Masha amesema hayo akiwa kwenye mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na wanahabari, leo mchana na kusema kwamba  kwa sasa Watanzania wana hofu pamoja na hisia tofauti juu ya usalama wao hivyo ni vyema kukubali vyombo vya nje kufanya uchunguzi ili kupunguza hisia hizo.

"Kuomba msaada siyo fedheha. Msaada siyo jambo geni, kwa uzoefu wangu nilipokuwa Waziri  askari wengi walikuwa wanafanya 'training' nje naamini hata mpaka sasa. Tunapoomba msaada siyo kwamba haina uwezo bali inasaidia kuondoa hofu kwa wananchi. Ninachokuomba Rais waagize makamanda wako kuomba msaada ili Watanzania wasiishi kwa hofu" Masha.

Ameongeza kwa kusema kwamba "Tusikatae misaada, kwani hakuna aliyesema askari wa Watanzania siyo waadilifu japo wachache siyo. Siyo maisha yetu kukuta watu wamekufa ufukweni hofu kwa Watanzania hatujaizoea.

Pamoja na hayo Mh. Masha amekiri wazi kumshangaa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba pamoja na Inspekta Jenerali wa Tanzania Simon Sirro kwa kukataa msada wa kutoka nje wa kiuchunguzi ili kusaidia kupunguza hisia na hofu kwa Watanzania kwani ndiyo kazi ya jeshi la polisi.

Hata hivyo ameongeza na kutoa rai kwa serikali kwamba matukio hayo hayaathiri Watanzania tu kwani hata mataifa ya nje wanajiuliza kuhusu usalama wa Tanzania.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images