Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Peter Msigwa: Sitaki Kuviziwa, Wakinihitaji kwa Utaratibu Maalumu Ntaitikia Wito

$
0
0
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa amepata taarifa jeshi la polisi linamtafuta na kusema endapo jeshi la polisi litamwita kwa kufuata utaratibu basi na yeye ataitika wito huo ila si kuviziwa

Mbunge Msigwa ametoa taarifa hii kufuatia kuwepo kwa taarifa toka jana kuwa kiongozi huyo naye anatafutwa na jeshi la polisi akidai kuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wakiratibu mkusanyiko wa maombi ambao ulitakiwa kufanyika jana kumuombea Mbunge Tundu Lissu katika viwanja vya TIP Sinza jambo ambalo yeye mwenyewe alipinga na kusema bado yupo nchini Kenya.

"Nimepata taarifa Kuwa polisi wamenitafuta toka asubuhi (jana) maeneo ya sinza, Wakisisitiza kuwa nipo hotelini hapo , wakati mimi niko Nairobi, nitaitika wito wa polisi ukiletwa rasmi, sihitaji kuviziwa +255754360996 mnaweza kunipigia au kunitumia ujumbe mfupi Whatsaap" alisema Msigwa.

Mbunge Peter Msigwa bado yupo jijini Nairobi nchini Kenya kwenye matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma.

Serikali yalitaka Gazeti la Mwanahalisi kueleza sababu ya kukiuka maadili ya uandishi wa habari.

Godless Lema Ataka Polisi Wawaachie Huru Waliokamatwa Jana Wakiwa na Tshirt za Tundu Lissu

$
0
0
Mbunge wa Arusha Mjini ambaye sasa yupo nchini Kenya amewaomba Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP Sirro wawaachie watu ambao jana walikamatwa na jeshi la polisi wakiwa wamevaa Tshirt za Tundu Lissu na UKUTA na kusema kitendo hicho kinazidi kuleta chuki.

Lema amesema hayo kupitia mitandao yake ya kijamii na kudai kuwa watu ambao wameratibu maombi kwa ajili ya Tundu Lissu hawakupaswa kukamatwa bali walipaswa kulindwa na jeshi la polisi kwani wao wanaratibu watu waweze kumlilia Mungu wao kwa maombi na si vinginevyo.

"Hivi kweli hawa watu wangekuwa wanafanya mkusanyiko wa maombi kwa ajili ya Rais Magufuli au kiongozi mwingine yoyote yule hawa watu wangepata mateso makubwa kama ambavyo wale vijana wamepata

" Mwigulu Nchemba wewe ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Kamanda Sirro tunakuomba sana waachie watu wote waliokamatwa wakiwa wamevaa Tshirt za UKUTA, waachie kwa sababu hiki mnachokifanya kikiendelea kukomaa siku moja hamtawaona na Tshirt wala na kitu chochote wakiacha kuvaa Tshirt mioyo yao ikaendelea kuumia wakiacha kusali maana yake watakuwa wameelekea katika njia nyingine mbaya zaidi" alisisitiza Gobless Lema

Godbless Lema ametoa kauli hii siku moja baada ya jeshi la polisi kuzuia watu kufanya maombi ya kitaifa kwa Mbunge Tundu Lissu maombi ambayo yaliandaliwa na vijana wa CHADEMA (BAVICHA) ambayo yalipaswa kufanyika Septemba 17, 2017 katika viwanja vya TIP Sinza Darajani.

POLISI: Hatukukamata Waliovaa Tshirt za Tundu Lissu, Tulikamata Waliofanya Mkuanyiko Bila Kibali

$
0
0

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum jijini Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema watu waliokamatwa na polisi hapo jana kwa kufanya mkusanyiko usio rasmi, walishaonywa kutofanya hivyo lakini hawakujali hivyo sheria itachukua mkondo wake dhidi yao.

Kamanda Mambosasa amesema hayo leo  na kusema  kitendo cha kufanya mkusanyiko usio rasmi ni kuvunja sheria, hivyo lazima watafikishwa Mahakamani kujibu shtaka lao, huku akikanusha kuwakamata watu hao kwa kutokana na kuvaa  t-shirt zilizoandikwa 'pray for Tundu Lissu'.

"Kwanza ifahamike hatujawakamata kwa kosa la kuvaa tshirt, zile ni nguo kama nguo nyingine wanavyovaa mashabiki wa Simba na Yanga, hawa walichofanya mpaka wakamatwe ni kufanya mkusanyiko usio rasmi na kibaya zaidi tulishawaeleza, na wenyewe walipoona polisi wanakuja wakaanza kutukimbia kwamba walijua wamefanya nini", amesema Kamanda Mambosasa.

Kamanda Mambosasa ameendelea kwa kusema  jeshi la polisi linaendelea kuwahoji watu hao na kisha kupelekwa Mahakamani kusomewa mashtaka yao ili sheria ifanye kazi yake.

Ajali Yaua Watanzania 13

$
0
0
Watanzania 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani kilomita 80 kufika kituo cha polisi cha Fika salama karibu na Mto Katonga wilaya ya Mpigi huko Kampala, Uganda.

Ajali hiyo imehusisha  gari aina ya fuso yenye namba za usajili UAH 970P na coaster yenye namba T540 DLC waliokuwa wakitumia watu hao wakiwemo watanzania ambao inasemekana walikuwa wakitoka kwenye  harusi ya binti wa Dkt. Annette Ibingira ambaye ni mke wa mhazini wa shule ya Wazazi ya Kampala nchini Uganda Dkt. Ibingira.

Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Nkozi pamoja na Double Cure Clinic zilizopo nchini Uganda huku miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo imepelekwa hospitali ya Gombe kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi nchini humo.

Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

$
0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.

NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.

MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA. 

MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,

Je unamali yako unauza hupati wateja?Wasiliana nami 0716-263605 

DOKTA MANYANDA ANAPATIKANA KASULU KIGOMA,Kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote pale.

Manji Aomba Msamaha Mahakamani....Kesi yake Kusikilizwa Siku 3 Mfululizo

$
0
0
 Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu Cyprian Mkeha amemuuliza mfanyabiashara Yusufu Manji kwa nini amechelewa mahakamani wakati walipaswa kuanza saa tatu asubuhi.

Kutokana na swali hilo, Manji aliomba msamaha kwa kuchelewa na kwamba alipitia hospitali kabla na aliwasiliana na wakili wake alimueleza kuwa hakimu yupo kwenye kikao.

Swali hilo lilikuja baada ya kesi ya  kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin inayomkabili Manji kushindwa kuendelea na kupelekwa hadi Septemba 25, 2017.

Ni baada ya Wakili  wa Manji, Hajra Mungula leo Jumatatu kueleza kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa upande  wa utetezi na kwamba wapo tayari.

Wakili wa Serikali Mkuu, Timon Vitalis alieleza kuwa yeye anataka kusafiri mchana na kwa kuwa kesi imechelewa kuanza kusikilizwa hawezi kuendelea.

Hakimu Mkeha naye alisema anaenda katika kikao mchana huo, hivyo Wakili Mungula aliomba kesi hiyo ipangiwe siku tatu mfululizo, kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa upande wa utetezi Septemba 25, 26 na 27, 2017.

Upande wa mashtaka katika kesi hiyo awali walidai watawaita mashahidi wasiozidi 10  kutoa ushahidi katika kesi  hiyo lakini wakatoa watatu na kufunga ushahidi wao.

Manji yeye anatarajia kuwaita mashahidi 15 na ametoa mmoja ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

Manji alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Februari 16, 2017 ambapo anadaiwa kuwa ,  kati ya Februari 6 na 9, 2017 katika eneo la Upanga Sea View Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 19


Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi ajali ya Uganda

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi aliyewahi kuwa Naibu Waziri na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mpwapwa Mkoani Dodoma Bw. Gregory Teu kufuatia vifo vya watu 13 ambao ni ndugu wa familia yake waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea nchini Uganda.

Watu hao wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe ya harusi kugongana na lori  tarehe 17 Septemba, 2017 majira ya saa 4:00 Usiku katika barabara ya Masaka nchini Uganda wakiwa njiani kurejea Tanzania.

“Nimepokea taarifa ya vifo hivi kwa mshtuko mkubwa, nimehuzunishwa na kuondokewa na idadi hii kubwa ya watu, nampa pole Ndg. Gregory Teu kwa kufikwa na msiba huu mkubwa, nawapa pole wanafamilia, ndugu na jamaa wote walioguswa na vifo hivi.

“Nawaombea marehemu wote wapumzishwe mahali pema na pia nawaombea majeruhi wote wanaopata matibabu huko nchini Uganda wapone haraka na kurejea nyumbani” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Mhe. Rais Magufuli amewataka wanafamilia wote kuwa na moyo wa subira, uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wapendwa wao na watu muhimu waliowategemea.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

18 Septemba, 2017

Watu 14 watiwa mbaroni kwa kupinga mabadiliko ya ukomo wa umri wa rais

$
0
0
Watu 14 wametiwa mbaroni katika mji mkuu wa Uganda kampala kufuatia maandamano ya kupinga mapendekezo ya muswada wa sheria unaoondoa kikomo cha umri wa mtu anayegombea urais.

Katiba ya sasa ya Uganda inasema kuwa kikomo cha mtu kugombea kiti cha urais ni umri wa miaka 75. hivyo mabadiliko yeyote ya katiba yatakayofanywa yatamruhusu Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni kugombea tena urais mwaka 2021.

Aidha, Umri halisi wa Rais Yoweri Museveni haufahamiki ingawa mitandao mbalimbali ya kijamii imeandika kuwa rais huyo ana umri wa miaka 73 kitu ambacho hakijathibitishwa na mtu yeyote kuhusu ukweli wa umri huo.

Hata hivyo, Wanaharakati vijana wa kundi lijulikanalo kama-The Alternative, ambao waliandaa maandamano ya kupinga muswada huo wa mabadiliko ya katiba wamesema kuwa ofisi yao ilivamiwa na Askari polisi na kunyang’anywa kompyuta na nyaraka mbalimbali.

Serikali yatoa angalizo kuepusha vifo maeneo Yaliyo Karibu na Kambi za Jeshi

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta amewataka wananchi wanaochunga mifugo eneo linalotumika kwa mafunzo ya kijeshi kutoa taarifa kwenye kambi za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ili kuepusha vifo.

Kimanta alitoa kauli hiyo jana katika Kijiji cha Nafco, Kata ya Loksale wakati wa maziko ya watoto watatu waliopoteza maisha wakichunga mifugo ya familia kwenye eneo la mafunzo ya jeshi la Loksale wilayani hapa, Ijumaa iliyopita.

Watoto hao; Johnson Daniel Mollel ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Nafco, Emmanuel Saitabau Mollel wa darasa la kwanza na Samweli Nyangusi walipoteza maisha wakati wakichunga baada ya kulipuliwa na bomu.

Kimata alisema kwa muda mrefu kumekuwa na ushirikiano kati ya kambi za JWTZ zilizopo wilayani humo na vijiji vinavyozunguka maeneo ya mafunzo, hivyo tukio hilo ni la bahati mbaya.

Brigedia Jenerali Rajab Hunt kutoka Kambi ya Monduli alisema tukio hilo halikutarajiwa kwa kuwa Serikali inanunua silaha kwa ajili ya ulinzi na si kuwadhuru wananchi.

Mkuu wa Brigade ya Mbuni, Brigedia Jenerali Athanas Mbonye alisema wananchi wasiwe na wasiwasi kwa sababu jeshi lipo kuwalinda na watoe taarifa wanapoona vifaa wanavyovitilia shaka.

Kiongozi wa mila wa jamii hiyo ya wafugaji, Loibanguti Loondawa alisema tukio hilo limeleta majonzi kwa familia na ni la bahati mbaya kwa kuwa halikuwa limekusudiwa.

Oktoba, 2012 watoto watano wakiwamo watatu wa familia moja walikufa kwa kulipukiwa na bomu wilayani Karagwe mkoani Kagera walipokuwa wakilichezea baada ya kuliokota kwenye vyuma chakavu.

Mkurugenzi mtendaji TANECO Alimwa Barua ya Kujieleza

$
0
0
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani amemtaka Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Dk Tito Mwinuka kuandika barua kujieleza ni kwa nini ameshindwa kuanza ujenzi wa kituo cha kupoozea umeme cha Kigamboni.

Dk Kalemani ametoa agizo hilo baada ya kutembelea vituo vya kupoozea umeme vya Gongo la Mboto, Kurasini na Kigamboni.

Mwezi uliopita naibu waziri alimwagiza Dk Mwinuka kuanza ujenzi haraka lakini baada ya kutembelea jana Jumatatu amekuta eneo hilo bado halijafanyiwa usafi.

“Nataka kesho( leo)  nipate taarifa ya maandishi ni kwa nini hadi sasa hujaanza ujenzi wa kituo cha kupoozea umeme cha Kigamboni licha ya kukuagiza uanze ujenzi,” aliagiza.

Dk Kalemani alisema Agosti alitembelea eneo hilo na kumuagiza mkurugenzi kujenga uzio ili watu wasivamie eneo hilo.

Alisema pia, alimuagiza kuanza ujenzi wa kituo cha kupoozea umeme kwa sababu Sh5 bilioni zimeshatengwa kwa kazi hiyo.

“Nashangaa sasa ni mwezi mmoja lakini hakuna kilichofanyika, umeshindwa hata kufyeka majani ili kuonyesha kuna mradi utafanyika hapa,” alihoji Dk Kalemani.

Naibu waziri aliagiza makandarasi kwenye vituo vya kupoozea umeme kumaliza kazi kwa wakati ili kuondoa matatizo ya umeme kwa wakazi wa Mbagala, Kigamboni na Gongo la Mboto.

“Sitalala nitakuwa natembelea miradi hii kila mara hadi itakapokamilika,” alisema.

Akizungumzia agizo hilo, Dk Mwinuka alisema tangu naibu waziri alipolitoa wamekuwa wakifuatilia kibali cha athari za mazingira ambacho hutolewa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc).

“Tukipata kibali tutaanza ujenzi mara moja na tunakuahidi kazi hiyo itamalizika kwa muda uliopangwa Machi mwakani.

Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile alisema kuchelewa kukamilika kwa vituo vya kupoozea na kusambaza umeme kunasababisha matatizo ya nishati isiyo ya uhakika katika jimbo hilo.

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa alisema mradi huo ukianza atausimamia kwa kuwa tatizo la umeme linaathiri maendeleo na uchumi.

“Kila siku napokea ujumbe wa maandishi wa simu kunijulisha tatizo la umeme, ni aibu kwa kuwa wakati mwingine nashindwa nijibu nini,” alisema.

Uchaguzi wa Rai Kenya huenda ukasogezwa mbele

$
0
0
Uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao. Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imekuwa ikikutana kuangalia uwezekano wa kuahirisha Uchaguzi huu baada ya kampuni ya Ufaransa ya Safran Morpho kuomba muda zaidi kuboresha mitambo inayotumiwa kuwatambua wapiga kura.

Mbali na hilo, Muungano wa Upinzani Nasa, unaoongozwa na Raila Odinga, umesema Uchaguzi hautafanyika iwapo marekebisho hayatafanyika ndani ya Tume ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa Ezra Chiloba Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo.

Chama cha Jubilee cha rais Uhuru Kenyatta kinashutumu shinikizo hilo la upinzani na kusisitiza uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa.

Pata Tiba ya Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: 
 
FUUl POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.
 
NYAMVA:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0783741788,0715741788 -DR MAGISE

Watu 7 Watiwa Mbaroni Kwa Tuhuma Za Kuua Wanawake Wanne Tabora Za Tuhuma Za Kishirikina

$
0
0
Na Tiganya Vincent -RS –TABORA
WATU saba wa kijiji cha Mwambondo wilayani Uyui wanashirikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwauunguza kwa moto wanawake wanne wakiwatuhumu kuwa wachawi na wanahusika na kifo cha mume wa mmoja wao.

Kauli hiyo imetolewa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu taarifa alizozipata kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa huo Wilbroad Mtafungwa.

Alisema kuwa chanzo cha vitendo hivyo vya kinyama zilianzia baada ya Mtu mmoja aliyekuwa akiitwa Mafumba Jirawisi kufariki  kwa sababu ya maradhi lakini baadhi ya watu walianza kumtuhumu mke wa marehemu anayeitwa Manugwa Lutema kuhusika na kifo cha mume wake na kuamua kumpeleka porini na kuanza kumshambulia huku wakitaka awaeleze watu wanaoshirikiana naye kuwafanya vitendo vya kichawi.

Mwanri alisema kuwa mama huyo baada ya kupiga sana na kuumia aliamua kutaja ovyo majina ya majirani zake na ndipo nao wakaunganishwa naye na kuendelea kupigwa na kuunguzwa katika sehemu za siri.

Kufuatia vitendo hivyo vya kinyama Mkuu huyo wa Mkoa amemwagiza kuwasaka watu waliobaki ambao wamehusika katika kitendo hicho wakiwemo Makamanda wa sungusungu ili hatua kali ziweze kuchukuliwa dhidi yao.

Mmoja wa majeruhi wa tukio hilo la kinyama alisema kuwa alilazimika kutaja majirani zake ili kutaka kunusu roho yake baada ya kuona mashambulizi yanazidi na anasikia maumivu makali.

Kwa upande wa ndugu wa waathiri wameomba wagonjwa wao watibiwe bure kwa sababu tukio hilo limetokea wakati wakiwa hawana kitu na hawajiandaa na kutokuwa na fedha ya kulipia matibabu

Akijibu ombi la ndugu hao Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Gunin Kamba alisema wagonjwa wote waliojeruhiwa na kuuguzwa moto watapewa matibabu kwa mkopo katika Hospitali hiyo ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete ,malipo yatafanyika baadaye.

Alisema kuwa lengo ni kutaka kwanza kuokoa maisha yao kutokana na unyama waliofanyiwa na kundi hilo la watu.

Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Kitete Dkt.Nassor Kaponta alisema kuwa wanaendelea kuwapatia huduma katika Hospitali hiyo na hakuna majeruhi ambaye atahamishiwa kwingine kwa sababu wanauwezo wa kuwasaidia wakiwa katika eneo hilo hilo.

Aliwataja waliojeruhiwa ni Maria Sahani , Elizabeth Kashindye, Manugwa Lutema na Raheli Mikomangwa.

Kabla ya kufariki marehemu ambaye alikuwa mganga wa kienyeji alikwenda kutoa matibabu kijiji cha jirani na baada ya kurejesha akaanza kuumwa na hatimaye usiku wake alifariki kwa sababu ya ugonjwa.

Vitendo vya kinyama ikiwemo mauaji kwa wanawake Mkoani Tabora vinaanza kuonekana kama vya kawaida ambapo mapema mwezi Agosti mwaka huu wilayani Nzega wakinamama watano walipoteza maisha baada ya kushambuliwa na kisha kuchomwa moto na mwezi huo huo wilayani Sikonge mtu mmoja alinusurika kifo baada ya kufungiwa nyumbani kwake na nyuma kuwahwa  moto

Hatimaye Hamisa Mobetto Amuweka Wazi Baba Wa Prince Abdul.

$
0
0
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka mambo hadharani kwa kumtaja baba wa toto wake wa pili AbdulLatif kuwa ni Diamond Platnumz.

Kwa mujibu wa akaunti ya mtandao wa Instagram ya mtoto huyo inaonyesha jina kamili la mtoto kuwa ni “Dully Dangote (AbdulLatif Naseeb Abdul Juma )Lion 🦁 (Leo) -8|8|2017 TanzanianBaby 👑 @hamisamobetto & Diamond Platnumz Son.”

Miezi kadhaa nyuma Diamond Platnumz alikuwa akikana kuhusika kutoka kimapenzi na mwanamitindo huyo na pia kukana mimba aliyokuwa nayo mrembo huyo.

Hamisa ambaye alianza kutaja majina ya baba wa mtoto huyo miezi kadhaa nyuma kwa herufi za mwanzo, hatimaye ameweka jina lote la baba huyo katika akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram.

Abdullatif ni mtoto wa pili wa mrembo huyo ambapo mtoto wa kwanza Fantasy alizaa na Mkurugenzi wa EFM, Majay.

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH....Anatoa Pete za Bahati, Anasafisha Nyota, Anazuia Chuma Ulete na Mengine

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH CHIEF SULTAN MAKATA Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika
Anatibu kwa Njia ya Simu Ukiwa Nchi Yoyote / Mkoa wowote
 
..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Chief Sultan Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU(LIMBWATA). Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine?Una Mpenzi wako ana Pesa na Unataka kumkamata? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
 
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Chief Sultan Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
 
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA,Hutoa PETE ZA BAHATI inayoendana na NYOTA YAKO. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.HUZUIA CHUMA ULETE NA KUKUPA DAWA YA KUONGEZA FAIDA KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA AU KUDHULUMIWA.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. 

Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI.Humaliza Kabisa Tatizo la Nguvu za KIUME na Kurefusha Uume kwa Saizi Unayotaka,HUMALIZA KESI YA AINA YOYOTE NDANI YA SIKU 14. na mengi zaidi

Whatsapp/Calls 0658316976
0755911233
 
Tiba ni kwa Watu wenye Imani na Dini zote

Je,una Upungufu Wa Nguvu Zakiume,kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa,kufika Kileleni Mapema Na Kushindwa Kurudia ????

$
0
0

Tatizo la kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya kiume husababishwa na mambo mengi kama,KISUKARI,NGIRI,CHANGO,TUMBO KUUNGURUMA,MAUMIVU YA KIUNO,UNENE KUPITA KIASI,KUJICHUA nk.

Upungufu wa nguvu za kiume husababisha tendo la ndoa kutofanyika kwa kujiami nakwa usahihi nahivyo husababisha ndoa, mahusiano mengi kuvunjika.

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI,
1 KUKOSA HAMU YA TENDOL LA NDOA 
2 UUME KISIMAMA KWA KULEGEA 
3 KUWAHI KUFIKA KILELENI 
4 KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA WAKATI 
5 KUCHOKA SANA BAADA YA ROUND YAKWANZA NAKUKINAI TENDO LA NDOA KABISA.

TUMIA 3 POWER KWA TATIZO LA UKOSEFU(UPUNGUFU)WA NGUVU ZA KIUME NAHAMU YA TENDO LA NDOA.FINA HUBORESHA MAUMBILE YA KIUME KWA KUNENEPESHA KWA SAIZI UIPENDAYO HAIJARISHI UMRI.

PIA KUNA DAWA ZA KURUDISHA MPENZI KWA MUDA MFUPI SANA NAZAKUPATA KAZI,KESI,KUDHULUMIWA,NK 

WASILIANA NA SHEIKH OMARY AKUTATULIE MATATIZO YAKO HATA KAMA UMEHANGAIKA SANA PASIPO MAFANIKIO 

Pia sheikh omary anatibu busha bila opresheni,kisukari,ngiri,presha vidonda vya tumbo,korodani kuvimba,na anatoa dagu za utajiri kwa wanaohitaji bila masharti yoyote magumu.ANAPATIKANA MBAGALA ZAKIEM,NAUTALETEWA POPOTE ULIPO.

 SIMU; NO 0767145357/0629034550.

Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

$
0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.

NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.

MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA. 

MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,

Je unamali yako unauza hupati wateja?Wasiliana nami 0716-263605 

DOKTA MANYANDA ANAPATIKANA KASULU KIGOMA,Kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote pale.

Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu

$
0
0
Mwanamuziki Diamond Platnumz  amemkubali  mtoto  aliyezaa  na  na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo  ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.
Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.

"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.

"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.

"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.

"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.

"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu

"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.

“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond

Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.

“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images