Uongozi wa Jiji la Mwanza jana ulilazimika kuchukua maamuzi magumu ya kuifunga Shule ya msingi Kiseke iliyoko jijini humo kwa muda usiojulikana baada kubainika kuwa shule hiyo haikuwa na choo, hali iliyokuwa ikihatarisha afya za wanafunzi wa shule hiyo....
Habari kamili itawekwa hivi punde....!
Vyoo vya zamani ambavyo ni vibomu na
Uongozi wa jiji la Mwanza wachukua maamuzi magumu ya kuifunga shule ya msingi ambayo wanafunzi hujisaidia vichakani
↧
↧
Rais Kikwete alipowatembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili
Huu ni moyo wa kipekee wenye kila aina ya huruma aliojaliwa Rais Wetu Mtukufu, Dr. Jakaya Kikwete..
Ilikuwa ni tarehe 28 mwezi uliopita ( Takribani siku 20 zilizopita ) ambapo Rais wetu pamoja na majukumu mengi aliyonayo alifunga safari na kuelekea Muhimbili kuwajulia hali na kuwafariji wagonjwa mbalimbali.....
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
↧
Rais Kikwete amuozesha mwanaye, Miraji Kikwete
Shamra shamra na nderemo zilitawala jana kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Mlimani City wakati Miraji Kikwete, mtoto wa Rais wa
Tanzania, Jakaya Kikwete alipofunga ndoa na Alma Mahmoud.
Sherehe hizo zilianza saa 7:00 mchana baada ya ndoa kufungwa na maharusi hao kuingia ukumbini hapo wakiongozana na Rais Kikwete.
Hali nje
↧
Mume amkata mkono mkewe....Kisa cha unyama huo ni mwanamke kukataa kwenda kuchukua chakula kwa mama yake mzazi
Ni mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha,
unaowafanya wanaume wengi wa siku hizi waonekane ni makatili na
majanga matupu mbele ya jamii.
Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah Benard mkazi wa
Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha
mkono kwa panga na mumewe (jina kapuni).
Kisa cha kufanyiwa unyama
huo kinadaiwa kuwa ni
↧
Nasumbuliwa na tatizo la kujichua....Kwa siku napiga mara 3 mpaka 4 kiasi kwamba hata viungo vyangu vimechubuka...Naombeni msaada
Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa
nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu.
Nimeshafanya tendo
hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4 kiasi kwamba haata viungo vyangu vimechubuka.
Nataka kuachana na tatizo hili. Naomba
mnisaidie ikiwa kuna dawa ya kupambana na tatizo hilo maana nimechoka na
↧
↧
Rais Kikwete afanya uteuzi wa wa makatibu tawala wapya mikoa mitano na kuhamisha wengine wakiwemo wakurugenzi wa majiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumamosi, Januari 18, 2014, amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wapya wa mikoa mitano na kuhamisha makatibu tawala wengine na Wakurugenzi wa Majiji nchini.
Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue iliyotolewa jioni ya leo, Ikulu, Dar Es Salaam inasema kuwa uteuzi na uhamisho huo unaanza leo
↧
Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri .....Hawa ndo mawaziri wapya pamoja na manaibu wao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-
1.0 OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko 2.2 Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb) Waziri wa Nchi (Mazingira). 2.3 Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)
↧
Loveness Diva, B12 na Adam Mchomvu warudishwa kazini Clouds Fm baada ya kuomba msamaha
WATANGAZAJI
maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi
‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini
baada ya kuomba msamaha.
Hamis Mandi ‘B 12’.
Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.
Adam Mchomvu.
>>GPL <!-- adsense -->
↧
Sad News: Ajali yaua watu 13 eneo la Isuna mkoani Singida
Watu 13 wamefariki dunia baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani Singida...
Habari zaidi
zinaarifu kuwa, ajali hiyo imehusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo
namba zake za usajili hazikupatikana mara moja.
Watu 13 waliofariki
walikuwa katika Noah iliyokuwa ikitokea Itigi na maiti zao zimehifadhiwa
katika Hospitali ya Mkoa wa Singida.
↧
↧
Mwanajeshi FEKI atiwa mbaroni Tanga akitaka kumtapeli mkuu wa wilaya
'Koplo feki' akihojiwa wa Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko.
'Koplo feki' wa JWTZ akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya. 'Koplo feki' akijiandaa kupanda kwenye gari kupelekwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.
**
Na Mashaka Mhando, Tanga VIKOSI vya Ulinzi na
Usalama Wilayani hapa, vinamshikilia Edwin John Mponji (31) kufuatia
kwenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya
↧
Wadau wapinga Dk Shukuru Kawambwa kubakizwa Wizara ya Elimu...Wadai kufanya hivyo hakuwezi kuleta mabadiliko yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera
Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta mabadiliko
yoyote kwani Waziri ndiye msimamizi mkuu wa sera.
Wakitoa maoni yao jana kuhusu mabadiliko kwenye
wizara hiyo, baadhi yao walisema hakutakuwa na miujiza kutoka kwa
Jenista Mhagama
↧
Watu 12 wa jamii ya Kimasai wafikishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji Wilayani Kiteto wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji
Wafugaji 12 wa jamii ya Kimasai
wilayani Kiteto, katika Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani
wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya wakulima tisa.
Mwendesha Mashtaka Sajenti wa Polisi, Oscar
Munisi, alidai kuwa watuhumiwa walitenda makosa hayo Januari 12 mwaka
huu, katika Vitongoji cha Laitime na Mtanzania wilayani Kiteto.
↧
Lettie Matabane ambaye ni Muigizaji maarufu wa Tamthilia ya Isidingo afariki dunia.....Alikuwa akiishi na Virusi Vya Ukimwi kwa zaidi ya miaka 15
Aliyekuwa muigizaji maarufu katika Tamthilia ya Isidingo The Need ya
Afrika Kusini, Lesego Motsepe maarufu zaidi kwa jina la Lettie Matabane,
amefariki dunia nchini mwake jana.
Lettie, ambaye alijipatia umaarufu mkubwa katika tamthilia hiyo
kuanzia mwaka 1998 hadi 2008 alipoamua kuondoka, alikuwa akiishi na
virusi vya Ulimwi kwa zaidi ya miaka 15. Mwaka 2011, aliwashitua
↧
↧
Nimetokea kumpenda baba mwenye nyumba nilipopanga, Ni mume wa mtu na ana watoto lakini nimeshindwa kabisa kuficha hisia zangu....Naombeni msaada
Ndugu zangu, naombeni nisieleke vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri
wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada
ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko maeneo ya Mbezi.
Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda sana baba mwenye nyumba wangu
ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.
Nimefanya kila mbinu kuzificha
↧
"Baba yangu aliuawa nikiona kwa macho yangu....Nilipotaka kumsaidia, walinikata panga kichwani" ...Mtoto
MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani)
amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni
wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara.
Baba mdogo wa mtoto huyo Amos Njelu aliwasimulia waandishi wetu akiwa
katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi) amesema kuwa mtoto
huyo alijeruhiwa Jumamosi ya Januari 12, 2014
↧
Mwigulu Nchemba awajibu watanzania wanaomponda baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu
Nchemba, ambaye juzi alikuwa miongozi mwa manaibu waziri walioapishwa
na Rais Jakaya Kikwete kushika nyadhifa zao amewaambia watu wanaoponda
uteuzi wake kuwa hana haja ya kubishana nao kwani hawamjui.
Katika maelezo yake, Mwigulu alisema
anamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kumwamini kuwa anaweza kumsaidia katika
kusimamaia sera na mipango ya
↧
Sad News: Ajali yaua wanafunzi wanne na kujeruhi wengine 20 asubuhi hii mkoani Mtwara....
Taarifa tuliyoipata hivi punde ni kuhusu ajali ambayo imetokea
asubuhi majira ya sa 12 huko Mtwara ambayo imehusisha
wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Mustapha Sabodo ambao walikua
wanakimbia mchaka mchaka.
Chanzo cha ajali hiyo kinasema kuwa kuna Gari ndogo aina ya Benzi
ilimgonga mwanafunzi mmoja aliyekuepo kwenye mchamchaka huo .Baada ya
wanafunzi kuona hali hiyo katika
↧
↧
Rais Kagame anusurika kufa....Atangaza kuacha Urais, Uingereza yatakiwa kukata misaada
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amenusurika kifo baada ya msafara wake
nchini Kenya kupata ajali na kusababisha watu wawili kujeruhiwa vibaya.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la Uingereza
(BBC), imeelezwa kuwa ajali hiyo ilihusisha mojawapo ya magari ya
msafara wake nchini Kenya, alipokuwa kwenye ziara za kikazi.
Hata
hivyo, Rais Kagame hakujeruhiwa katika ajali
↧
"Mbwa Mwitu" sita wafikishwa mahakamani jijini Dar
Wakazi sita wa Dar es Salaam maarufu Mbwa Mwitu au waanzilishi
wa kundi la Watoto wa Mbwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya
Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga aliwataja
washtakiwa hao kuwa ni Sijali Abdallah (19), Sadick Mpambe (25) maarufu
Chitemo na Balozi Inasio (19) wote wakazi wa Kiwalani.
↧
Sad News: Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo ( CCM ) afariki dunia
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb),
anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.
Saidi Ramadhani Bwanamdogo Kilichotokea leo Jumatano asubuhi tarehe
22.1.2014 Katika hospitali ya MOI DSM alipokuwa amelazwa kwa Matibabu.
Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya Marehemu.
Inna
↧
More Pages to Explore .....