KIKOSI cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya nchini, kimemkamata
mwanamke mmoja Mtanzania akiwa amebeba kete 63 za dawa za kulevya aina
ya heroine.
Mwanamke huyo, Salama Mzara mkazi wa Mbagala, jijini Dar es
Salaam, alikamatwa juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA), akiwa njiani kuelekea Macau nchini China.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,
Mwanamke wa kitanzania anaswa na Madawa ya Kulevya Uwanja wa Ndege Dar akiyapeleka Macau nchini China
↧
↧
MASOGANGE,,,, NAOGOPA MUME WA MTU SUMU
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’
amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo
baadhi ya watu.
Agnes Jerald ‘Masogange’.
Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza
kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na
mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na
↧
Rais Kikwete atangaza jumatatu januari 13 2014 ni siku ya mapumziko...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni
Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo
ameungana na Watanzania na Wazanzibari
↧
Picha: Sherehe za miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed
Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka
50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume leo
Januari 12, 2014.Vijana
wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha sherehe za
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amani Abeid Karume
leo
↧
CHADEMA yatoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe
Kama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili na usaliti dhidi ya chama, hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe amezushiwa tuhuma zisizokuwa na ukweli wowote zikilenga kumchafua kwa nafasi yake ya uongozi na kuipaka matope taasisi anayoiongoza.
Tuhuma hizo ni pamoja na; 1. Kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA
↧
↧
Taarifa muhimu kuhusu kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea- 2014
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) litaandiksiha vijana wa kujiunga na JKT kwa kujitolea kuanzia Januari 2014.
Nafasi hizo zimetolewa kwa Tanzania Bara na Visiwani.
Usaili utaanzia ngazi za Wialaya hadi Mkoa. Vijana wanaopenda kujiunga na JKT kwa kujitolea kwa kipindi cha miaka miwili wapelekea maombi yao kwenye Wilaya waliko.
Mafunzo yataanza mwezi Machi kwa watakaochaguliwa.
Sifa na
↧
Kauli ya UVCCM kuhusu baadhi ya wana CCM wanaojinadi kugombea nafasi za uongozi
Kwa kipindi kirefu sasa vijana ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tumeshuhudia na kusikia kauli na vitendo vya baadhi ya wanachama wa CCM vinavyoashilia ukiukwaji wa makusudi wa maadili, miiko na kanuni za Chama.
CCM katika uhai wake wa miaka 37 baada ya kuunganisha TANU na ASP, imeendelea kukua na kushamiri kutokana na misingi imara ya kikatiba tuliyojiwekea tangu mwaka 1977, ambayo wana
↧
Wema Sepetu na Diamond wajirekodi wakifanya yao kitandani
Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi
kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu amenaswa akimrekodi
video baby wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Chanzo cha kuvuja kwa scene hiyo mpya ilitokea Ijumaa iliyopita ambapo
bila hiyana, bibie Wema aliamua kuitupia video katika Mtandao wa
Instagram ambayo alimrekodi Diamond aliyekuwa akiandika mashairi
↧
Mbunge Ndesamburo ajitosa kumtetea Lowassa.. Aitaka CCM imwache aendeleze ndoto zake.
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiache kumsakama Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kwa sababu tu ya kutaka kutimiza ndoto yake.
<!--Ads and Related Buttons--><!-- Ads minus related Buttons -->
Ndesamburo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, alisema kama ni kuonyesha nia wapo wanachama wengine wa CCM
↧
↧
Mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto wasababisha mauaji ya watu 13 na majeruhi zaidi ya 50
MZAHA unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na
mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima,
umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa kuamkia jana.
Mbali ya vifo hivyo, vita hiyo iliyaonza majira ya saa 11 alfajiri
kwa kutumia silaha za moto na jadi, imesababisha majeruhi zaidi ya 50
huku wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu.
↧
Mchungaji awaamuru waumini wake wale majani kama mbuzi ili waweze kuwa karibu na Mungu
Umaskini, magonjwa na matatizo mengine yanayowakabili binadamu,
yamewafanya waamini kila kitu wanachoambiwa na viongozi wao wa dini kama
njia ya kuyaondoa.
Muumini akila majani ili kuwa karibu na Mungu
Mchungaji wa nchini Afrika Kusini amewafanya waumini wake wale majani kama mbuzi eti ili waweze kuwa karibu na Mungu.
Mwanamke mmoja alidai kuwa kula majani kulimponya koo lake
↧
Sad News: Jambazi laua watu watatu muda huu akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala
Kamanda Zelothe Stephen
**
Habari za hivi punde zinasema kuwa watu
watatu akiwamo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala wameuawa kwa
kupigwa risasi na mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi muda mfupi uliopita.
Kwa
mujibu wa mashuhuda, jambazi huyo aliyekuwa na bunduki aina ya SMG
iliyokatwa kitako, alifika kwenye kituo cha mafuta cha Camel Oil mjini
humo akijifanya anataka kununua mafuta.
↧
Mzee Mwinyi ndo mgeni Rasmi wa sherehe za Maulid katika mkoa wa Dar es Salaam....Kitaifa, sherehe hizo zinafanyika Kigoma ambapo mgeni rasmi ni Rais Kikwete
RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za Maulidi Kimkoa, Dar es Salaam zinazofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Sikukuu ya Maulid inaadhimishwa na waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote, ikiwa na maana ya kumbukumbu kuzaliwa kwa Mtume Muhamad(S.A.W).
Kitaifa, sherehe hizo zinafanyika Kigoma na mgeni rasmi ni Rais Jakaya
↧
↧
Rais Kikwete aomba msaada kwa serikali ya China kusaidia kupanga miji nchini
Rais Kikwete aomba msaada wa China kupanga miji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameiomba Jamhuri ya Watu wa China kusaidia mipangomiji katika baadhi ya maeneo ya kimkakati ya Tanzania na China imekubali kuleta timu ya wataalam kufanya tathmini katika maeneo hayo yote ama baadhi ya maeneo hayo ili kujua mahitaji kamili ya mipangomiji ya
↧
CCM wamteua Mahmoud Thabit Kombo kuwania uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki baada ya aliyekuwa mwakilishi wake, Mansoor Yussuf Himid, kufukuzwa uanachama
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua
Mahmoud Thabit Kombo, kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi katika Jimbo
la Kiembesamaki.
Jimbo hilo limekuwa
wazi baada ya aliyekuwa mwakilishi wake, Mansoor Yussuf Himid, kufukuzwa
uanachama kwa madai ya kwenda kinyume na maadili na sera za CCM.
Akitangaza
uamuzi huo jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
↧
Baada ya Mbowe kutishia kumshitaki Zitto Kabwe mahakamani, Zitto ajibu mapigo kwa kudai kuwa yupo tayari kupambana naye mahakamani
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema anamsubiri
Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli
hiyo siku moja baada ya Mbowe kutangaza kumburuza mahakamani, kutokana
na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo. “Nasema sitaki malumbano
na kiongozi yeyote, nachotambua masuala ya mahakamani yanajibiwa
mahakamani na si vinginevyo,” alisema
↧
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM ) wafunga barabara ya Mandela kwa mawe baada ya TANESCO kuwakatia umeme kwa siku tatu...Polisi yatoa onyo kali
Polisi mkoa wa Kinondoni imetoa onyo kali kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kutokana na kufunga barabara ya Mandela na kurusha mawe wakidai kukatiwa umeme kwa takribani siku tatu....
Wanafunzi hao waliifunga barabara hiyo kati ya saa tatu na saa nne usiku katika hosteli za Mabibo huku wakirusha mawe na wengine kulala
↧
↧
Loveness Diva, B 12 na Adam Mchomvu wapigwa chini Clouds Fm
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam,
Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa
chini na kituo hicho...
Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa
uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya
utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.
Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba
↧
Rais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa Ikulu jijini Dar
Mwakilishi
mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident
Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP)
2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu
jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa
utumishi kumalizika hapa nchini
↧
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aelekea Wilaya ya Kiteto Arusha kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji yaliyoua watu 20 mpaka sasa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anakwenda Wilaya ya Kiteto,
Arusha kutafuta suluhu ya mapigano baina ya wakulima na wafugaji katika
Hifadhi ya Embroi Murtangosi yaliyosababisha vifo vya watu 10.
Mwandishi wa Habari wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Irene
Bwire alisema jana: “Ni kweli Waziri Mkuu atakwenda kutembelea wilayani
Kiteto ili kuongoza juhudi za kupata ufumbuzi wa tatizo hilo.”
↧
More Pages to Explore .....