Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Gazeti la MAWIO waijibu serikali baada ya kutangaza kulifungia kwa Miaka Miwili

$
0
0
Uongozi wa gazeti la MAWIO umeapa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa serikali kulifungia gazeti hilo kutochapishwa kwa kipindi cha miezi 24.

Uamuzi wa kulifungia gazeti hilo ulitangazwa na serikali kupiti Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo sababu iliyotajwa ni gazeti hilo kukiuka maagizo ya serikali ya kutowahusisha marais wastaafu Mzee Mkapa na Dkt Kikwete katika ripoti za uchunguzi wa mchanga wa madini.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Victoria Media Services Ltd ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la MAWIO, Simon Martha Mkina, aliliambia The Citizen kuwa, amuzi huo si wa haki na utapingwa mahakamani.

“Bodi itakutakana kujadili uamuzi huo kama jambo la dharura, lakini tunachoweza kukwambia kwa sasa, tutakwenda mahakamani,” alisema Mkina.

 Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri Dkt Mwakyembe iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO), Waziri alinukuliwa akisema, “Sina budi kulifungia gazeti lako, na kukutaka usitishe kuchapisha nakala ngumu au ya mtandaoni katika kipindi cha muda wa miezi ishirini na nne (24) tangu tarehe ya barua hii, kwa mamlaka niliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari Na. 12 ya mwaka 2016 kifungu cha 59.”

Gazeti hilo liliandika habari iliyokuwa na ujumbe wa jumla kuwa, marais hao wamelisababishia taifa hasara kubwa sana kutokana na usafirishaji wa mchanga nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 19.

Kwa mujibu wa mamlaka iliyonayo kupitia Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 sura ya 229 kifungu cha 25(1), Januari 15, 2016 Serikali ilitangaza kulifungia kwa muda wote gazeti la MAWIO lakini baada ya mwaka mmoja wa kukaa kifungoni lilirejea mtaani baada ya kushinda rufaa mahakamani.

Uhusiano Kati ya Ugonjwa wa Kisukari na Tatizo la Ukosefu wa Nguvu za Kiume

$
0
0

Ugonjwa  wa  kisukari  ni  miongoni  mwa vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  na upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
 
Asilimia  kubwa  ya  wagonjwa  wa   kisukari wanakabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa nguvu  za  kiume.
 
Unajua  ni  kwa  nini  wanaume  wenye kisukari  wanasumbuliwa  pia  na  tatizo  la ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ?
 
JIBU  NI  RAHISI  SANA, NALO  NI  KWA SABABU  KUNA  UHUSIANO  MKUBWA  SANA KATI  YA  UGONJWA  WA  KISUKARI  NA TATIZO  LA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA KIUME.
 
Kabla  hatuja  fahamu  kuhusu  uhusiano uliopo  kati  ya  ugonjwa  wa   Kisukari  na tatizo   la  ukosefu wa nguvu  za  kiume  ni vyema  tukafahamu  kwanza   kuhusu SAYANSI  YA  NGUVU  ZA  KIUME.
 
Sayansi  ya  nguvu  za  kiume, itatuwezesha kufahamu  kuhusu  mechanism  ya  nguvu  za kiume. Itatusaidia  kujibu  maswali  muhimu kuhusu  nguvu  za  kiume  kama  vile: KITU GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME ?  KITU GANI  KINAFANYA  UUME  USISIMAME  ?
 
 KITU GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME  KWA MUDA  MREFU  ?   KITU  GANI  KINAFANYA UUME  USISIMAME  KWA  MUDA  MREFU ? 

 KITU  GANI  KINAFANYA  UUME  USIMAME UKIWA  IMARA  KAMA  MSUMARI  ? KITU GANI KINAFANYA  UUME  USIMAME  UKIWA LEGELEGE  ?   nakadhalika.
 
Kufahamu  kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA KIUME, tafadhali  tembelea  link  hii  hapa chini :

Baada  ya  kufahamu  kuhusu  SAYANSI  YA NGUVU  ZA  KIUME, sasa  tunaweza kufahamu  kuhusu  UHUSIANO  ULIOPO  KATI YA  UGONJWA  WA  KISUKARI  NA  TATIZO  LA UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
 
Ukisoma  vizuri  kuhusu  SAYANSI  YA  NGUVU ZA  KIUME  utagundua  kuwa  SUALA  LA NGUVU  ZA  KIUME  NI  SUALA  LA  KIMFUMO.
 
Mambo  makuu   muhimu  katika  MFUMO  WA NGUVU  ZA  KIUME  ni
  1. ·Ubongo  imara  na  wenye  afya  njema
  2. ·Mishipa  imara  ya  kusafirishia  damu  mwilini
  3. ·Mfumo  imara  na  wenye  afya  wa usafirishaji  damu  mwilini.
  4. ·Mishipa  na  misuli  ya  uume  iliyo  imara na  yenye  afya  njema
  5. ·Pamoja  na  uhusiano  imara  na  wenye afya  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  iliyo katika  ubongo  ( nerves),mishipa  ya kwenye  uti  wa  mgongo  ( spinal  cords ) pamoja  na  mishipa  & misuli  ya  kwenye uume.
 
Ili  mwanaume  aweze  kuwa  na  nguvu  imara za  kiume  ni  lazima   mfumo  wa  mwili  wake uwe  na  mambo  yote  matano  yaliyo  tajwa hapo  juu .
 
Kukosekana   ama  kuwa  na  hitilafu  katika   lolote  kati  ya  mojawapo  kayi   mambo yaliyo  tajwa  hapo  juu  kutamfanya mwanaume  huyo  apungukiwe  na  nguvu  za kiume.
 
Hitilafu  ama  kukosekana  kwa  zaidi  ya jambo  moja  kati  ya  mambo  yaliyo  tajwa hapo  juu, kutamfanya  mhusika  awe  katika risk  ya  kupungukiwa  nguvu  za  kiume maradufu.

JINSI  UGONJWA  WA  KISUKARI  UNAVYO SABABISHA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA NGUVU  ZA  KIUME.
Ugonjwa  wa  kisukari, pamoja  na  mambo mengine  mengi, unafanya   mambo  yafuatayo katika  mwili  wa  mwanadamu:
 
1.Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa ya  ubongo.
2.Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa inayo  safirisha  damu  mwilini  ( Blood Vessels )
3.Unashambulia  na  kudhoofisha  mishipa na  misuli mbalimbali  iliyopo  katika sehemu  mbalimbali  za  mwili  wa mwanadamu  ikiwemo  mishipa   na  misuli ya  kwenye  uume.

Mishipa  ya  ubongo  ( nerves ), mishipa  ya damu  ( Blood  Vessels ), pamoja  na  misuli & mishipa  ya  kwenye  uume, ni  vitu  muhimu sana  katika   MFUMO  WA  NGUVU  ZA KIUME.
 
Kudhoofishwa  kwa  vitu  hivi  muhimu, husababisha  ukosefu  na  upungufu  wa nguvu  za  kiume.
 
Hii  ndio  sababu  kuu  inayo  wafanya wagonjwa  wa  kisukari  kusumbuliwa  na tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.

TIBA  YA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME KWA  MGONJWA  WA  KISUKARI.
Ili  mgonjwa  wa  kisukari  aweze  kupata  tiba ya  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume, ni  lazima  apate  pia  tiba   itakayo  saidia  ku- control sukari  kwenye  damu   yake.
 
Hivyo  basi ,  tiba  ya  ukosefu  wa  nguvu  za kiume  kwa  mgonjwa  wa  kisukari  inatakiwa kwenda   sanjari  na  tiba  ya  ku - control sukari  kwenye  damu  ya  mgonjwa.
 
Hii  ina  maana  kuwa,   ili  tiba  ya  nguvu  za kiume  kwa  mgonjwa  wa  kisukari  iweze kufanya  kazi  barabara, ni  lazima  mgonjwa huyo, pamoja  na   kutumia  tiba  ya  nguvu  za kiume , apate  pia  tiba  ya  sukari.
 
TIBA  HII  HAIPONYESHI  TATIZO  LA KISUKARI, ISIPOKUWA  INASAIDIA  KU –CONTROL  SUKARI KATIKA  DAMU  YA MGONJWA  NA  HIVYO   KUISAIDIA  TIBA  YA NGUVU  ZA  KIUME  KUFANYA  KAZI  VIZURI.

Dawa  Ya  Nguvu  Za  Kiume  Kwa  Mgonjwa Wa  Sukari :  Dawa  asilia  ya  JIKO  ni dawa ambayo  inasaidia  kutibu  na  kuponyesha kabisa  tatizo  la  nguvu  za  kiume  kwa  watu wote, ikiwemo  wagonjwa  wa  kisukari.  ( WAGONJWA  WA  KISUKARI  NI LAZIMA WATUMIE  DAWA  YA  JIKO , PAMOJA  NA DAWA  YA  KU-CONTROL  SUKARI  MWILINI  )
 
Kufahamu  zaidi  kuhusu  dawa  ya  JIKO  na namna  inavyo  fanya  kazi. Tafadhali  tembelea :
 

TIBA   YA   KU-CONTROL  SUKARI  MWILINI
Zipo   dawa  mbalimbali  za  asili  zinazoweza kutumika , kutibu  tatizo  la  kisukari. Lakini miongoni  mwa  dawa  hizo, dawa  asilia zifuatazo  zimethibitika  kuwa  na  uwezo mkubwa  sana  wa  ku-control   kiwango  cha sukari  kwenye  damu.
 
Kufahamu  kuhusu  dawa  asilia  zinazo  saidia ku-control  kiwango  cha  sukari  mwilini, tafadhali  tembelea :
 

JINSI  YA  KUPATA  TIBA  YA  NGUVU  ZA KIUME  KWA  WAGONJWA  WA  KISUKARI.
 
Kama  wewe   una tatizo  la  ukosefu/upungufu wa  nguvu  za  kiume   unao  tokana  na ugonjwa  wa  kisukari, unatakiwa  kutumia DAWA  YA  JIKO  pamoja  na  TIBA  YA ASILI INAYO  SAIDIA  KU-CONTROL  KIASI  CHA SUKARI  MWILINI.
 
Kupata  dawa  hizo  wasiliana  na  duka  la NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL FOODS  CLINIC.
 
Tunapatikana  jijini  DAR  ES  SALAAM  katika eneo  la  TABATA  MAKOKA  , karibu  na  Shule ya  Sekondari ya  Mt., Annuarite  .
 
WASILIANA   NASI   KWA  SIMU   NAMBA  0766  53  83  84.
Kwa  wateja  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, tunawapelekea  dawa  mahali  walipo
( DELIVERY )
 
Kwa  wateja  wa  mikoani, tunawatumia  dawa kwa  usafiri  wa  mabasi. Kwa  wateja  waliopo Zanzibar  tunawatumia  dawa  kwa  usafiri  wa boti  na  kwa  wateja  waliopo  ughaibuni, tunawatumia  dawa  kwa   njia  ya  DHL  au POSTA.

Kwa  taarifa  zaidi kuhusu  huduma  zetu, tutembelee :

Kutana na Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania

$
0
0
Kutana Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania
 
Pia anatoa Tiba kwa Njia ya Simu ukiwa popote Pale Tanzania au Nje ya Tanzania..
CHIEF SULTAN ni Mtabibu na Mtafiti wa Dawa za Asili ya Africa, na Duniani Katika utoaji wa Tiba za Asili..
Je unasumbulia na Mapenzi..?


(Umeachwa na Umpendae awe Mume/ Mke au mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine na Bado Unampenda?) Umejaribu sehemu Nyingi bila Mafanikio?Wasiliana na CHIEF SULTAN Akusaidie Kumshika Umpendae Asikusaliti(LIMBWATA) Kumtawala Mpenzi wako kwa sababu Maalum..Anauwezo wa Kusambalatisha Mahusiano yao ndani ya siku Moja tu.


Je Unasumbuliwa na Madeni?
Biashara yako Haina wateja?
Unatatizo la kutokushika Mimba na umehangaika sehemu nyingi bila mafanikio?
Wasiliana na CHIEF SULTAN Kwa Majibu ya Maswali yako..
Anasafisha NYOTA na Kutoa PETE za BAHATI kuendana na NYOTA yako. UTAJIRI USIO NA MASHARTI.(Magic Wallet_Pochi ya Maajabu Isio Isha Hela)


KUWA MAARUFU na KUJULIKANA
Kupandishwa CHEO na HESHIMA Mahala pa KAZI.
Utapewa Nguvu ya Kujilinda na MALI ZAKO zako na Mwili wako.. Huzuia Chuma Ulete katika Biashara.. Hurudisha MALI zilizo Potea au KUDHULUMIWA..
Mvuto wa Biashara na Mwili wako.
Hutibu kabisa Nguvu za Kiume na Kurefusha Uume kwa saizi Unayotaka.

Magonjwa Sugu(Miguu Kufa Ganzi, kisukari, Presha, Pumu nk.)Humaliza Kesi za Muda mrefu ndani ya siku 14 tu.


Anatoa NDAGU Zisizokuwa na Masharti.. Kwa maelezo Zaidi wasilina nae kwa 

 
whatsapp +255 0658 316 976
Call +255 755 911 233

Mapya Yaibuka Tena Kesi ya yule waziri Mstaafu Adam Malima

$
0
0
Upelelezi dhidi ya kesi ya kumshambulia askari polisi inayomkabili aliyekuwa Naibu Waziri wa fedha na mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima umekamilika.

Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Esta Martin amemueleza Hakimu Mkazi, Godfrey Mwambapa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa kesi hiyo jana ilikuja kwa kutajwa.

"Mheshimiwa, kesi hii Leo(jana) imekuja kwa kutajwa lakini upelelezi umekamilika, tu naomba tarehe nyingine kwa ajili ya kuja kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali (PH), alidai Martin.

Hakimu Mwambapa aliiahirisha kesi hiyo kwa niaba ya Hakimu Mkazi Respecious Mwijage ambaye ndio amepangwa kusikiliza kesi hiyo kwa kuwa anaudhuru.

"Hakimu aliyepangwa kusikiliza kesi hii anaudhuru, naiahirisha hadi Julai 10 itakapokuja kwa ajili ya kusomewa PH mbele ya Hakimu husika", alisema Hakimu Mwambapa

Malima anashtakiwa pamoja na dereva wake Ramadhani Mohamed Kigwande anayekabiliwa na tuhuma za kujeruhi.

Katika hati ya mashtaka ilidaiwa kuwa, Mei 15 mwaka huu huko Masaki katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam mshtakiwa Malima alimzuia afisa wa polisi mwenye namba H.7818 PC Abdul kufanya kazi yake ya kumkamata dereva wake Kigwande aliyekuwa amefanya kosa la kumjeruhi Joseph Mwita ambaye ni afisa operation wa Priscane Business Enterprises.

Ilidaiwa kuwa, siku na mahali hapo, mshtakiwa Kigwande kwa nia ya kukataa kukamatwa, alimjeruhi afisa operation hiyo(Joseph Mwita) ambaye alikuwa anakamatwa kwa kosa la kupaki gari vibaya na kumsababishia Mwita Majeraha Mwilini.

Watuhumiwa wote wako nje kwa dhamana na upelelezi bado haujakamilika.

Aidha, Wakili wa utetezi Peter Kibatala alishindwa kuwasilisha pingamizi la awali juu ya mapungufu ya kisheria yaliyopo kwenye shtaka la shambulio linalomkabili Malima Peke yake kwa kuwa Hakimu husika anaudhuru.

Mapema mwezi huu, Kibatala aliitaarifu Mahakama kuwa jana  angewasilisha pingamizi kuwa shtaka linalomkabili Malima, maelezo ya kosa na tuhuma hazifanani.

Kauli ya CCM kuhusu viongozi waliotajwa sakata la mchanga wa madini

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CM) kimewataka viongozi na wote waliotajwa katika sakata la mchanga wa madini kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola baada ya kutuhumiwa kulisababishia Taifa hasara kubwa ya matrilioni ya fedha kutokana na usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi.

Hayo yalielezwa jana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo za chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam.

Aidha, Polepole alisema kuwa, chama hicho hakitasita kuwachukulia hatua kwa wanachama wake iwapo watabainika kuliingizia taifa hasara kupitia njia mbalimbali ikiwamo hii ya sasa ya kupitia mchanga wa madini. 

Polepole amesema kwa sasa chama kinaviachia kwanza vyombo vya dola vifanye kazi yake ya kuwahoji waliotajwa kwenye ripoti hizo mbili.

CCM imepongeza Rais Dkt John Pombe Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho kwa jitihada kubwa anazofanya katika kuhakik

“Rais Magufuli anafanya kazi ya kuweka mifumo ya kusimamaia na kudhibiti shughuli za migodi ili zifanye kazi kwa mujibu wa sheria na kusimamia masilahi ya watanzania na kuhakikisha tunakomesha utoroshhwaji wa madini. Anatekeleza ilani ya CCM kifungu cha 35 kinachotaja kukomesha utoroshwaji madini katika nchi yetu,” alisema na kuongeza.

“Niwahakikishie CCM sio serikali ya kinyonge hasa tunaposimamia masilahi mapana ya watanzania. Huyu John kapanda ndege amekuja kusikiliza shutuma za kampuni yake tanzu na tumeridhidhwa na uamuzi huu wa kampuni yake kukiri makossa.”

Aidha, Polepole alisema CCM haitasita kuchukua hatua kwa watakaothibitishwa na vyombo vya dola kwamba wameshiriki katika sakata hilo, kwani chama hicho kinaongozwa na kanuni ya uongozi na maadili na kwamba kitendo hicho ni kinyume na maadili ya katiba ya chama hicho.

“CCM inaongozwa na katiba, kanuni na sheria. Kanuni yetu ya uongozi na maadili inalenga kuweka msingi wa ujenzi wa jamii ya viongozi wanaosimamia haki, wanaochukia rushwa na kupiga vita ubadhirifu wa mali ya umma, hivyo kitendo hicho ni kinyume na katiba yetu. CCM  ni wadau wa kwanza kusubiri matokeo ya vyombo vyetu mbalimbali vya kiuchunguzi, ikionekana kuna shida tunazo taratibu na chama hakitasita kuchukua hatua,” alisema.

Aliongeza kuwa “CCM inatoa rai, kwa baadhi yetu ambao wanataka kuugeuza mjadala huu muhimu kwa taifa letu kuwa siasa, kwa kutoa hukumu kwa viongozi wetu, wakuu wa nchi wa serikali na maamiri jeshi wetu wakuu wastaafu ambao wamefanya kazi kubwa ya ujenzi wa taifa hili,tuwaache hawa viongozi wapumzike, tusonge mbele kusimamia haki ya watanzania.”

Waziri Mkuu akerwa na utendaji wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maaafisa mifugo wote wa wilaya na mikoa wabadilike ili sekta hiyo iweze kuongeza mchango wake kwenye pato la Taifa.

“Katika ziara zangu za mikoani nimekuwa nikionesha kutoridhishwa kwangu na utendaji kazi wenu, na hasa jinsi tunavyoendesha ufugaji hapa nchini. Mmeacha kazi ya kuwaongoza wafugaji, wanafanya wanavyotaka. Tunahitaji kuona mabadiliko makubwa katika sekta hii,” alisema.

Alioa agizo hilo jana mchana (Alhamisi, Juni 15, 2017) wakati akizungumza na maafisa mifugo kutoka wilaya zote na mikoa yote wanaohudhuria kikao alichokiitisha ili wajadili namna wanavyoweza kubadili uchungaji na kufanya uwe ufugaji. Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango, nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Waziri Mkuu alisema takwimu za mwaka 2016 zinaonyesha Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika na ya 11 duniani kwa ufugaji, ikiwa na ng’ombe takriban milioni 24, nyuma ya Ethiopia yenye ng’ombe milioni 54 na Sudan yenye ng’ombe 41.

“Wakati sekta ya mifugo inatoa mchango usiozidi asilimia 10 kwenye Pato la Taifa, wenzetu Ethiopia sekta hiyo hiyo inachangia asilimia 14 kwenye pato lake na asilimia 16 ya fedha za kigeni. Nchi kama Botswana na Namibia, nazo zinafanya vizuri kwenye sekta ya mifugo, pamoja na kwamba wana mifugo michache, na eneo dogo la ardhi,” alisema.

“Ni lazima tuanze kufikiri tofauti na kujitathmini kama kweli tunawatendea haki Watanzania waliogharamia elimu yetu na wanaoendelea kutulipa mishahara. Ningependa kupata ufahamu wenu wa kitaalam mna mipango gani kuinua sekta hii kwa kuwafanya wafugaji wa Kitanzania wawe wafugaji wanaotumia utaalam na hatimaye wao wenyewe na Taifa zima linufaike kwa kupunguza umaskini,” alisisitiza.

Waziri Mkuu aliwataka maafisa hao wabadili mitazamo yao na waache kufanya kazi kwa mazoea. “Ni lazima mtafute ufumbuzi wa kudumu kuhusu utatuzi wa migogoro baina ya wakulima na wafugaji; na wafugaji na wahifadhi wa mapori tengefu au mapori ya akiba.”

Amewataka wajipange kuongeza uzalishaji wa mitambo na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kuendelea kuzalisha mitamba ili kuhamasisha ufugaji wa kisasa. Na pia watenge, wapime na kuwamilikisha wafugaji maeneo ya ufugaji.

Alisema ili kukuza sekta hiyo hawana budi kutoa elimu ya matumizi ya teknoljia ya uhamilishaji, kuendeleza na kukuza masoko ya mifugo na mazao yake kwa kujenga viwanda. 

“Afisa mifugo ni lazima ujue kwenye Halmashauri yako kuna minada mingapi na inafanyika wapi. Kwenye bajeti hii, tumeondoa kodi ya makanyagio, naamini hii itaongeza chachu ya wafugaji kupelekea mifugo yao minadani,” alisema.

Aliwataka pia waendelee kuimarisha huduma za ugani katika ngazi za kata na vijiji na kuhakikiasha wanaanzisha mashamba darasa ya mifugo. 

“Jipangeni kuanzisha mashamba darasa ya malisho katika kila Halmashauri. Kila eneo mnaweza kuwa na shamba darasa kwa kuchagua mfugaji mmoja au wawili ili wawe ndiyo mashamba darasa kwa wenzao,” alisema.

Mkutano huo ambao umehudhuriwa na maafisa mifugo wa wilaya 185 na Maafisa Tawala Wasaidizi wa Mikoa (wanaoshughulikia masuala la mifugo) zaidi ya 20, umehudhuriwa na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba, na Naibu Waziri wake, Bw. Willian Tate Ole Nasha, Makatibu Wakuu wa Wizara za Kilimo na TAMISEMI, Wakuu wa Mapori ya Akiba, Wakurugenzi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na taasisi zinashughulika na maliasili; na wakuu wa vyuo vya wanyamapori.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuhutubia maafisa hao, Waziri wa Nchi (OR – TAMISEMI), Bw. George Simbachawene alisema migogoro na chuki vinatokea kwa sababu wahusika hawajaoa​​nisha mifugo kama rasilmali na kuzifungamanisha na uchumi wa watu wengine.

"Tuchukue mfano, mtu akiwa na ng’ombe 1,000 katika eneo fulani. Kama uzalishaji wake ukioanishwa na uchumi wa eneo husika, mafanikio lazima yatakuwa ni ya eneo lile na siyo ya mtu binafsi,” alisema.

CCM, ACT- Wazalendo Wavutana Kuhusu Katiba mpya

$
0
0
Kutokana na mambo mbalimbali ambayo yanaendelea nchini ikiwepo mikataba mibovu ya madini viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa wamekuwa wakisema njia pekee ya kuweza kusaidia nchi kulinda maliasili zake ni kuwa na Katiba mpya.

Jambo hili limewaibua Wenezi wawili wa vyama vya siasa akiwepo Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kutoka Chama Cha Mapinduzi na Katibu mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Bwana Ado Shaibu ambao walinyukana  kwa hoja juu ya Katiba mpya huku Humphery Pole Pole yeye akisema kuwa waliofanya katiba ikwame ni viongozi wa upinzani pamoja na viongozi wa CCM ambao waliweka maslahi binafsi mbele kuliko maslahi ya wananchi.

Humphery Pole pole alidai kuwa wao kama Chama Cha Mapinduzi saizi wanajisafisha ili wawe wasafi ndiyo baadaye waje kuzungumzia suala la Katiba Mpya wakiwa ni wasafi na kusema anaamini pia vyama vya upinzani ndiyo vitachelewesha tena kwani wao mikono yao ni michafu lakini haoni dalili za wapinzani hao kujisafisha.

"Katiba hatukufanikiwa kwa sababu wengi wa sisi viongozi tena kutoka upinzani na Chama Cha Mapinduzi tuliweka maslahi yetu mbele tukaweka mbali maslahi ya wananchi kwa sababu za ubinafsi lakini serikali ya CCM saizi tunarekebisha hayo. Mimi nilitegemea na vyama vingine vikianza kuosha mikono yao michafu mno halafu ndiyo tuzungumze katiba, ukizungumza katiba na una mikono michafu haina tofauti na chakula kipo mezani una mikono michafu na bado unataka kula haiwezekani" alisema Pole Pole

Kwa upande wa pili Katibu mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Bwana Ado Shaibu alipingana na hoja ya Pole pole na kusema kuwa analeta hoja nyepesi kwenye jambo la msingi na kusema kuwa katiba ya nchi ni mali ya wananchi na si mali ya chama fulani cha siasa, hivyo kusema CCM saizi inajisafisha ikimaliza kujisafisha ndiyo izungumzie katiba si sawa.

"Ndugu Pole Pole anasema mchakato wa katiba ni sharti tusubiri CCM inawe mikono, kanuni ya wapi hii? Taratibu za wapi hizi za kidunia za kutengeneza katiba zinazosema tunasubiri chama tawala kijisafishe, kinawe mikono kiwe safi ndipo turejee mchakato wetu, taratibu za wapi hizo zinazosema mpaka vyama vya siasa vinawe mikono ndipo virejee mchakato wa katiba. Katiba ni mali ya wananchi na wanasiasa wakizungumza wanazungumza kama sehemu katika jamii, wanasiasa watasema lakini haiondoi ukweli kwamba katiba ni zao la wananchi, kwa hiyo kusema mpaka CCM iwe safi ni kurejea katika propaganda" alisema Ado Shaibu

Mbali na hilo Ado Shaibu alimtaka Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi kutoka CCM ndugu, Humphery Pole Pole kuwa wazi kwamba kwa CCM ya sasa katiba siyo kipaumbele chao hivyo wananchi wajue kuliko kufanya propaganda ili hali anatambua wazi kuwa hata Rais John Pombe Magufuli katiba si ajenda yake kwa sasa.

"Rais Magufuli yeye alishaweka wazi kuwa katiba siyo ajenda yake, sasa kuna dhambi gani wapishi wa propaganda wa CCM kusema kwamba hatutaki katiba siyo vipaumbele vyetu, wanyooshe tu maelezo na si kupindisha pindisha ili watu wajue namna ya kupigania katiba yao" alisisitiza Ado Shaibu

Humphery Pole Pole alikuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba ambayo iliwasilisha kwenye Bunge rasmi la Katiba.

Zitto Kabwe Apinga Gazeti la Mawio Kufungiwa

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto kabwe amepinga vikali hatua ya kufungiwa kwa gazeti la MAWIO na kudai kuwa hatua hiyo inawanyima Wananchi mawazo mbadala.

==>Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zitto ameandika yafuatayo;

“Uamuzi wa kufungia gazeti la Mawio unapaswa kulaaniwa na kila mwanademokrasia. Uhusika wa Marais wastaafu kwenye mikataba ya madini umesemwa na Rais Magufuli Mwenyewe sio Mawio.

"Hakuna mkataba ulioingiwa bila Baraza la Mawaziri kuidhinisha. Kitendo cha Kamati ya Rais kutuhumu Mawaziri wa zamani mbele ya Rais Magufuli na yeye Mwenyewe Rais Magufuli kusema hatapona mtu ilikuwa ni dhahiri kuwa Rais anawachimba watangulizi wake.

"Kwa sisi tuliofundishwa lugha ya Uongozi tuling’amua mapema kuwa Rais Magufuli alikuwa anawatuhumu wenzake. Hivyo Gazeti la Mawio lilitafsiri tu maelezo ya Rais. Kitendo cha Rais kuonya kuwa Marais wastaafu waachwe ilikuwa ni KUJISEMESHA tu na kufungia gazeti la Mawio ni ‘ panick ‘ ya Rais Magufuli baada ya kuwasema watangulizi wake.

"Kila wakati Rais analia kuhujumiwa na kutaka kuombewa; Adui wa Magufuli ni Magufuli mwenyewe.

"Serikali ifungulie Gazeti la Mawio mara moja bila masharti kwani kulifungia ni kuwanyima Watanzania mawazo mbadala kuhusu mambo ya hovyo yanayoendelea nchini kwetu.
na kumalizia kwa hashtag ya #PressFreedom #UhuruWaHabari.”

Waziri Tamisemi aonya wakuu wa mikoa, wilaya wanaoweka watu kizuizini

$
0
0
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amewaonya wakuu wa mikoa na wilaya kutotumia vibaya madaraka yao ya kukamata watu walio kwenye himaya zao.

Ametoa onyo hilo leo (Ijumaa) alipojibu maswali ya wabunge waliotaka kufanyika marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka wakuu hao ya kuwakamata na kuwaweka ndani wananchi wanaowatuhumu kwa lolote.

Licha ya kubainisha kwamba sheria hiyo haina tatizo, waziri amesisitiza: "Ukamataji unatakiwa ufanywe kwa mtu aliyetenda kosa la jinai au anayehatarisha usalama. Isiwe kwa show-off tu. Na mhusika anatakiwa kufikishwa mahakamani mara moja, asishikiliwe tu."

Amesisitiza kwamba wakuu hao ni wawakilishi wa Serikali kwenye maeneo yao, hivyo hawatakiwi kutumia vibaya madaraka waliyokasimiwa.

Katika siku za karibuni wakuu wa mikoa na wilaya wamekuwa wakilalamikiwa kuwaweka watu kizuizini pasipo kuwa na sababu za msingi, miongoni mwao wakiwamo waandishi wa habari.

Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

$
0
0
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amemtembelea Mhadhama Polycarp Kardinali Pengo, nchini Dubai leo.

Kikwete ameandika katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter leo(Ijumaa) na kueleza kuwa amemkuta Kardinali Pengo akiwa mwenye siha njema.

Ingawa hajaeleza amemkuta Kardinali Pengo nyumbani au Hospitali lakini askofu huyo mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, amewahi kuripotiwa kuwa yupo nje ya nchi kwa matibabu.
“Nikiwa Dubai safarini kwenda Canada, nimemtembelea asubuhi hii Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo na nimefarijika kumkuta akiwa na siha njema.” Ameandika Kikwete

Kikwete amesema amemtembelea Kardinali Pengo wakati akiwa safarini kuelekea Canada.


CHADEMA Watoa Ushauri kwa Rais Magufuli Sakata la Madini......Wasema Wapo Tayari Kushirikiana Nae

$
0
0
Na Regina Mkonde
 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa kipo tayari kumuongoza Rais John Magufuli katika kulinda rasilimali za Taifa ikiwemo madini, huku kikiwataka wananchi kuishauri serikali kuchukua hatua kwanza badala ya kuipongeza kuhusu sakata la Makinikia.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Chadema, Dkt. Vincent Mashinji amedai kuwa, hatua anazochukua Rais Magufuli kuhusu Makinikia ziko kinyume na Ilani ya CCM ambapo katika ukurasa wake wa 26-28 haikuzungumzia kurekebisha sheria na mikataba ya madini, na kwamba ilani ya Chadema kwenye ukurasa wake wa 57-59 inaonyesha namna ya kuiongoza vizuri sekta ya madini.

“Rais hatafaulu vita hii kama serikali yake itaendelea kutubagua au kutosikiliza sauti ya upande wa pili. Pia watu wasiwe wa kutoa pongezi kabla kazi haijaisha. Kama tunatakiwa kulipwa trilioni mia, wajue kwamba za kwetu ni asilimia 4 tu, na hii ndiyo matokeo ya mikataba tuliyoilaani kila siku. mrabaha wetu ni asilimia 4 huku wawekezaji kwenye pesa hizo za kwao ni  96%,” amesema.

Hata hivyo, Dkt. Mashinji ametaja hatua kadhaa ambazo amedai kuwa kama Rais Magufuli atazichukua, zitamuwezesha kushinda vita aliyoianzisha ikiwemo, kuleta katiba mpya, kurudisha ‘Bunge Live’ ili watanzania wawaone wabunge ambao ni mawakala wa uporaji rasilimali za nchi, ili wawahuku katika chaguzi zijazo.

“Kama anataka kulifanikisha hili kwa uwazi arudishe bunge live, arudishe mikutano ya hadhara sisi tusimame tuwaambie watanzia, tuwataje mafisadi wako wapi ili twende kupambana nao,” amesema.

Hatua nyingine alizotaja, ni kuzitoa hadharani ripoti zote mbili za makinikia, kuweka wazi mikataba ya siri iliyopitishwa na Bunge, kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa rasilimali, pamoja na kuyafanyia kazi maoni ya wapinzani.

Mhandisi FAKE ( James Edward Mwasemela) akamatwa Jijini Mwanza

$
0
0
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ‘TAKUKURU’ imemkamata mtu aliyekuwa anajifanya Mhandisi wa Jiji kisha kuomba rushwa.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza, Erenst Makale amesema mtu mmoja anayefahamika kwa jina la James Edward ambaye ni Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtakuja amekamatwa na Taasisi hiyo kwa kujifanya Mhandisi wa Jiji kisha kuomba rushwa ya Tsh. 200,000 kwa Mfanyabiashara.

"Mtumishi huyu aliomba kwa Mfanyabiashara wa Zana za Kilimo ambaye Zana zake aliweka kwenye eneo ambalo ni Hifadhi ya Barabara…huyu mtu aka-take advantage (faida) akaenda kwake akijitambulisha kama Mhandisi wa Jiji. Akamtaka aondoe Zana zake za Kilimo au ampe Shilingi Milioni Moja. Katika kujadiliana, wakajadiliana wakashusha mpaka kwenye Laki Mbili.

"Mwananchi huyu akawa Muungwana akaja Ofisini kwetu. Tukafanya mtego tarehe 13, mtego huo ukafanikiwa lakini hela ilienda kupokelewa na Bwana Godfrey Joseph Mwangonda ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Mkolani. Mtu ambaye aliomba fedha ni Bwana James Edward Mwasemela ambaye ndiye Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtakuja.

"Baada ya kumkamata tulikuja kubaini vitu vingine vya zaida kwamba mtu huyu James Edward Mwasemela ni sugu pamoja kwamba ni Mtumishi wa Umma lakini ameshiriki tena kwenye makosa mengine ya utapeli na kufunguliwa kesi mbili katika mwaka 2013 na 2016 na baadaye kesi hizo ziliondolewa…”  Amesema Erenst Makale.
James

Jipatie Dawa za Asili za Kupunguza Maziwa, Kupunguza tumbo, Kuongeza nguvu za Kiume na Mvi

$
0
0
NATURAL BEAUTY COSMETICS inatoa OFFER SPECIAL kwa ajili ya SIKUKUU YA EADY kwa kila bidhaa. Bidhaa zetu zote zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina kemiko wala madhara yoyote pia matokeo ni GUARANTEE. Pata bidhaa hizi kwa punguzo la %10 uweze kufulahia matokeo mazuri. Bidhaa tulizonazo ni kama zifuatavyo÷
🍉🍓🍇🍅🍊🍒🍍🌴🍐🧀🧀🧀🧀🍅🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍐🍍🌳🍏🍐🌶🍉🍆🍆🍒.
1. YODI PILLS _ Ni vidonge vya kuongeza hips na makalio @170,000/=
2. BOTCHO CREAM_ Ni dawa ya kupaka ya kuongeza shepu (hips na makalio) @150,000/=
3. BOTCHO MULT PLUS_ Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza shepu (hips makalio na mapaja) @200,000/=
4. PANNAMAS BREAST_ Ni dawa ya kupunguza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walio nyonyesha. Inapatikana kwa Tsh @120,000/=
5. DISCREET_Hii ni kwa ajili ya kuondoa mvi milele na zisiludi tena. @130,000/=
6. BODY BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza mwili mzima na kukupa hamu ya kula vizuri. Inapatikana kwa Tsh @130,000/=
7. LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu kuwa (Chupa ya bia) @120,000/=
8. HAIR GROWTH STIMULATOR_ Ni mafuta ya kulefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo. Yanapatikana kwa Tsh @100,000/=
9. MICRO COMPUTER_ Ni mkanda wa kupunguza tumbo na manyama uzembe. @170,000/=
10.HANDSOME UP ni kifaa kinachoongeza maumbile ya kiume  kwa 99% kwa size uipendayo wewe na kuimarisha misuli ya uume kwa @170,000/= tuu.
11.MEN GELY YA KUPAKA. Hii inaongeza kwa wastani wa inch 6.5 na inapatikana kwa @120,000/=. 
12. SHARK POWER. Hii pia ni kwa ajili ya kuongeza maumbile  wastani wa inch 7.5 inapatikana kwa @135,000/=.
15. MAX MAN 2. Ni vidonge kwa ajili ya nguvu ambavyo vinasaidia sana hata kwa watu wenye kisukari na waliokua wakifanya sana master blashion. Pia huongeza hamu ya tendo la ndoa inapatikana kwa @130,000/=🌙💫🌟⭐
🌳🍉🍌🍅🍍🍐🍓🍆🍐🍒🍒🍓🍓🍑🍍🍍🍓🍓🍓🍍🍐🍐🍈🍉
 
Tupo DAR ES SALAAM  kariakoo na kinondoni kanisani. 
 
Kwa mawasiliano zaidi piga  0759029968 au 0659618585.
Popote ulipo utapata huduma zetu.
                 Follow us
@natural2162
@natural2162
@natural2162
@natural2162
     Bidhaa zetu zote ni garantii na unapewa risiti
              Karibu

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 17

Kutana na Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania

$
0
0
Kutana Maajabu ya Mtabibu CHIEF SULTAN(MAKATA WA MAKATANI) Mganga wa Waganga Sasa Yupo Mikoa Yote Tanzania
 
Pia anatoa Tiba kwa Njia ya Simu ukiwa popote Pale Tanzania au Nje ya Tanzania..
CHIEF SULTAN ni Mtabibu na Mtafiti wa Dawa za Asili ya Africa, na Duniani Katika utoaji wa Tiba za Asili..
Je unasumbulia na Mapenzi..?


(Umeachwa na Umpendae awe Mume/ Mke au mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine na Bado Unampenda?) Umejaribu sehemu Nyingi bila Mafanikio?Wasiliana na CHIEF SULTAN Akusaidie Kumshika Umpendae Asikusaliti(LIMBWATA) Kumtawala Mpenzi wako kwa sababu Maalum..Anauwezo wa Kusambalatisha Mahusiano yao ndani ya siku Moja tu.


Je Unasumbuliwa na Madeni?
Biashara yako Haina wateja?
Unatatizo la kutokushika Mimba na umehangaika sehemu nyingi bila mafanikio?
Wasiliana na CHIEF SULTAN Kwa Majibu ya Maswali yako..
Anasafisha NYOTA na Kutoa PETE za BAHATI kuendana na NYOTA yako. UTAJIRI USIO NA MASHARTI.(Magic Wallet_Pochi ya Maajabu Isio Isha Hela)


KUWA MAARUFU na KUJULIKANA
Kupandishwa CHEO na HESHIMA Mahala pa KAZI.
Utapewa Nguvu ya Kujilinda na MALI ZAKO zako na Mwili wako.. Huzuia Chuma Ulete katika Biashara.. Hurudisha MALI zilizo Potea au KUDHULUMIWA..
Mvuto wa Biashara na Mwili wako.
Hutibu kabisa Nguvu za Kiume na Kurefusha Uume kwa saizi Unayotaka.

Magonjwa Sugu(Miguu Kufa Ganzi, kisukari, Presha, Pumu nk.)Humaliza Kesi za Muda mrefu ndani ya siku 14 tu.


Anatoa NDAGU Zisizokuwa na Masharti.. Kwa maelezo Zaidi wasilina nae kwa 

 
whatsapp +255 0658 316 976
Call +255 755 911 233

Makamu wa Rais awatangazia kiama wanaodhalilisha waototo kijinsia

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kote nchi kuwafichua watu wanaonyanyasa na kudhalilisha watoto kijinsia ili waweze kukamatwa na kuchukua hatua za kisheria kama hatua ya kukomesha vitendo hivyo ambayo vimeanza kushamiri katika baadhi ya jamii nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa agizo hilo katika hotuba yake ya kuhitimisha kampeni ya kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza ambayo ilitoa huduma bure za vipimo na matibabu kwa watoto na vijana zaidi ya 1500 kampeni ambayo iliambatana na maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika katika viwanja vya Shule ya msingi Kinyerezi mkoani Dar es Salaam.

Makamu wa Rais amesema kuwa watenda maovu hao lazima vifichuliwe na wananchi, walezi pamoja na wazazi kwa kuwa watu wanaofanya vitendo hivyo vya udhalilishaji wa watoto wapo miongoni mwa jamii.

Katika kukabiliana na hali hiyo, Makamu wa Rais ameviagiza vyombo vya dola kutofumbua macho vitendo hivyo bali pindi wanapopata taarifa za matukio ya udhalilishaji wa watoto wachukue hatua za haraka za kuwakamata na kuwachukulia hatua stahiki watu wanaofanya vitendo hivyo vibaya.

Makamu wa Rais pia ametoa wito maalum kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kote nchini waache kuwaficha watu wanaotendea vitendo hivyo vibaya bali wawapatie taarifa walimu wao na polisi ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Amesema kwa kufanya hivyo watoto watakuwa salama katika mazingira ya nyumbani na wakiwa mashuleni kwani watu wabaya wanaofanya vitendo hivyo watawajibishwa kulingana na matendo maovu waliyokuwa wanawafanyia watoto hao.

“Mtoto anaweza kufaidika na fursa sawa iwapo tu atalindwa kwa kuwezeshwa kuwa afya bora”, Amesisitiza Makamu wa Rais.

Kuhusu kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema magonjwa yasiyo ya kuambukiza yameendelea kuua watu kwa kasi katika nchi zinazoendelea Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania.

Amesema ipo haja ya kuimarisha juhudi za kukabiliana na tatizo hilo kwa ushirikiano wa wadau wote kwani janga hilo linagharimu taifa na wananchi wake wakiwemo watu wazima, watoto na vijana.

“Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yasipodhibitiwa yatapunguza uzalishaji mali,ufanisi mahali pa kazi na hata shughuli za ulinzi na usalama nchini mwetu na hivyo pato la taifa litapungua na taifa kuwa watu maskini kutokana na magonjwa hayo”, Alifafanua Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amesema kuwa katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza Serikali imeweza kupanua maeneo ya kutolea huduma kwa wagonjwa wa saratani nchini kwa kujenga jengo jipya katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road na kuongeza majengo mapya ya huduma za saratani kwenye Hospitali za Rufaa ya kanda ya Bugando mkoani Mwanza.

Amesema Serikali pia imejenga Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambayo ni taasisi ya mfano ya kutibu maradhi ya moyo ambapo kutokana na kujengwa kwa taasisi hiyo Serikali imefanikiwa kuokoa mabilioni ya fedha ambayo yangetumika kuwagharamia wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Hamisi Kingwangala amemhakikishia Makamu wa Raia kuwa Wizara hiyo itaendelea kuweka mipango na mikakati imara ya kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza nchini.

Dkt Kingwangala ameomba wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za kidini na wadau wengine kushirikiana na Wizara ya Afya katika kuongeza kasi ya kukabiliana na magonjwa hayo ili yasiendelee kuteketeza maisha ya watu nchini

Makomando 7 wa Marekani wapotea baada ya meli ya kivita kugongwa Japan

$
0
0
Makomando saba wa kikosi cha maji cha jeshi la Marekani wameripotiwa kupotea baada ya meli yao kugongana na meli ya wafanyabiashara karibu na pwani ya Japan.

Kamanda wa meli hiyo maalum za kuwaharibu maadui inayofahamika kama USS Fitzgerald aka Destroyer, aliokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa chopa (helicopter).

Meli hiyo iligongana na meli ya wafanyabiashara iliyokuwa na makontena umbali wa kilometa 104 Kusini-Magharibi mwa Yokosuka. Picha zilizopigwa kutoka juu zilionesha uharibifu mkubwa kwa meli hiyo kutokana na tukio hilo lililotokea majira ya saa nane na nusu usiku wa kuamkia leo, kwa muda wa Japan.

Kwa mujibu wa BBC kamanda mwingine wa meli hiyo, Cdr Bryce Benson ameokolewa na anaendelea kupata matibabu hospitalini lakini hali yake imezidi kuimarika baada ya kuhamishiwa katika hospitali ya jeshi la Marekani iliyoko Yokosuka.

Hadi kufikia majira ya asubuhi, taarifa zilizotolewa na maafisa wa jeshi la maji la Marekani zimeeleza kuwa ingawa ‘Destroyer’ ilikuwa katika hatari ya kuzama, maeneo yote ya kuingilia maji ndani ya meli hiyo tayari yameshadhibitiwa kitaalam.

Mtanzania Ahukumiwa Jela Kwa Kutupia Picha za Marehemu Facebook

$
0
0
Mwanaume mmoja anayedaiwa kuwa ni Mtanzania amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela nchini Uingereza kwa kosa la kurusha katika ukurasa wake wa Facebook, picha za mtu aliyefariki dunia kutokana na moto uliounguza jengo la ghorofa la Mnara wa Grenfell lililopo nchini humo.

Pia, mtu huyo ametakiwa kulipa faini ya Sh579,880 kwa mwathirika wa tukio hilo.

 Mtanzania huyo, Omega Mwaikambo (43) alituma video na picha za mwili wa marehemu uliokuwa kwenye begi  na baadaye picha nyingine tano zikionyesha uso wa  marehemu huyo.

Gazeti la mtandaoni la The Telegraph limeandika kuwa Mwaikambo amekiri makosa ya kutuma mara mbili picha zisizopendeza kwa umma katika mitandao ya kijamii mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Westminster jana.

Mwaikambo ambaye anaishi hatua chache kutoka lilipo jengo la Grenfell akifanya shughuli za upishi, alishuhudia jinsi jengo hilo lilivyoungua moto usiku na alikuwa ni miongoni mwa wapishi waliowapikia chai wafanyakazi wa zimamoto walipokuwa wakizima moto huo.

“Lakini juzi Jumatano asubuhi alipoangalia miili hiyo nje ya nyumba yake alichukua picha kwa kutumia simu yake aina ya iPad na kuzipakia kwenye mtandao wake wa Facebook,” liliandika gazeti hilo.

Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Tom Little amesema; “Anaishi karibu zaidi na mnara wa Grenfell, kama ambavyo mahakama inajua janga hilo lilitokea Juni 14.”

Akitoa hukumu, Jaji wa mahakama hiyo, Tanweer Ikram amesema; “Dunia nzima imeshtushwa na yaliyotokea hapa kutokana na janga la moto, ni hali ya kutisha isiyostahimilika, wafu ni lazima waheshimiwe.”

Ameongeza; “Ulichokifanya kupakia hizo picha kwenye Facebook ni dhahiri kuwa hujaonyesha heshima kwa waathirika wa tukio hilo, kuonyesha uso wake  hadharani ni kosa kubwa na halielezeki.”

Mpaka sasa watu zaidi ya 17 wanadaiwa kufariki dunia kutokana na moto uliounguza jengo hilo refu na maarufu Magharibi mwa Uingereza.

Orodha ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF

$
0
0
Ifuatayo ni orodha kamili ya Wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma.

Wanafamilia hao ni wale waliojitokeza jana Ijumaa na leo Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.

URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa

MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange

WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI
Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul

IMETOLEWA NA LEO
Alfred Lucas
Ofisa Habari TFF

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 18

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images