Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Penzi la Diamond na Penny lavunjika....Wema Sepetu adaiwa kuwa chanzo.

$
0
0
NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana..... KAMA UTANI, WEMA ATAJWA Kwa sharti la kutotajwa mahali popote, ‘mtonyaji’ wetu ambaye ni mtu wa karibu wa wawili hao aliliambia gazeti la Risasi  kuwa chanzo cha Diamond na Penny kuingia

Mwaliko wa kupendekeza majina ya watakaoteuliwa kuwa wajumbe wa bunge la Katiba

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MWALIKO KWA MAKUNDI MBALIMBALI KUPENDEKEZA MAJINA YA WATAKAOTEULIWA KUWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  anapenda kutoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na waziozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum

Mke amfumania mumewe akingonoka na kimada gesti.....

$
0
0
Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti.  Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti moja  Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe  akijiandaa kuvunja amri ya

Basi la Ally lagongana uso kwa uso na Hiace mkoani Mwanza.....Watu 7 wafariki papo hapo

$
0
0
Watu  saba  wamefariki  dunia  papo  hapo  na  wengine  wengi  inasemekana  wamejeruhiwa  baada  ya  basi  la  Allys linalofanya  safari  zake   kati  ya  Dar  es  Salaam  na  Mwanza  kugongana  uso  kwa  uso  na  Hiace  katika  eneo  la  Buhongwa  mkoani  Mwanza.... Majeruhi  wa  ajali  hiyo  wamekimbizwa    hospitali  ya  Bugando  kwa  ajili  ya  matibabu <!-- adsense -->

HII NDO RIPOTI ILIYOWANG'OA MAWAZIRI 4 JANA BUNGENI ....

$
0
0
TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA 1.0 UTANGULIZI   Mheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013, iliyowasilishwa na Mhe. Said Nkumba, Mbunge wa

Mganga wa Diamond aibuka tena, asema Diamond ameanza kushuka, aapa hatakufa kabla hajamuona akifulia....Bofya hapa umsikilize akiongea kwa uchungu

$
0
0
Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali.   Mtu huyo anayejitambulisha kwa jina la Dr. Yahya Michael ameuambia mtandao wa mamuafrica kuwa kile alichokisema mwanzo kuwa Diamond Platinumz atashuka kimuziki na kurudi pale alipokuwa kimeanza

Picha 10 za mapokezi ya Zitto Kabwe mkoani Kigoma

$
0
0
 Zitto Kabwe  akisalimiana  na  wafuasi  wake...                   <!-- adsense -->

Aibu: Padri wa kanisa Katoliki afikishwa mahakamani mkoani Singida baada ya kushindwa kumtunza mwanae aliyezaaa na mhudumu wa kanisa

$
0
0
  KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini Singida, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.   Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, Ferdinand Njau, ilidaiwa, kuwa Padri Makuri alikuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu na Maria

Zitto Kabwe afunika vibaya mkoani kigoma......Hii ni hotuba yake aliyoitoa leo kwa wanakigoma

$
0
0
HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013 Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia, uadilifu, uzalendo na uwajibikaji. Nawasalimu si kama mbunge bali kama mwana wenu wa Kigoma! Na popote niendapo najivunia kujitambulisha

Ajali yaua watu sita mkoani Tanga na kujeruhi 12

$
0
0
Watu sita wamefariki papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani bila kuonyesha ishara yoyote eneo la Kange jirani na mizani mkoani Tanga... Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Tanga kwa matibabu. <!-- adsense -->

JK kumng’oa Pinda? ....Yasemekana kaandika barua ya kujiuzulu , Mbinu ya Kikwete kumnusuru yabainika

$
0
0
HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kuridhia kutengua uteuzi wa mawaziri wanne, sasa ina kila dalili za kumpa nafasi ya kuchukua uamuzi wenye mwelekeo mpya ndani ya muda mfupi ujao kuanzia sasa... Ni katika mwelekeo huo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye naye alitakiwa na wabunge kujiuzulu, licha ya juzi kutokuwa tayari kulizungumzia jambo hilo wakati akitangaza uamuzi wa Rais kutengua

Picha na habari kamili kuhusu vifo vya watu 10 vilivyosababishwa na na ajali ya basi la Allys na Bunda mkoani Mwanza

$
0
0
Watu kumi wamefariki dunia, wanane kati yao papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha mabasi ya kampuni ya Bunda na Ally, mkoani Mwanza. Ajali hizo zilitokea ijumaa usiku katika barabara kuu ya Mwanza-Shinyanga katika maeneo ya Mitindo wilayani Misungwi na eneo la Buhongwa Dampo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza. Ajali mbaya zaidi iliyosisimua na

Picha 5 za muonekano wa kifua cha Loveness Diva

$
0
0
Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tukaangalia  na  upande  wa pili wa shilingi, nikiwa  na  maana  ya  udaku  na  burudani.... Inawezekana  ukawa  hupendi  udaku, lakini  naamini  kuna  wanaopenda, hivyo  si  vizuri  kuwakatili... Hapo  chini  kuna  picha  kadhaa  za  muonekano  wa  mwanadada 

Barua mpya ya mfungwa Hongkong akiwataja wahusika wawili wa madawa ya kulevya nchini Tanzania

$
0
0
Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa  hapo chini … Waraka  huo unataja majina ya Watanzania wawili kuwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya.   Waraka huo wenye   saini ya aliyejiita Jumaa, akiwa jela Hon Kong,  ni wa kurasa mbili zilizojaa maneno ya kujuta kwa kufanya kazi hiyo haramu. Ni waraka  ambao unaeleza mbinu mpya inayotumiwa na wafanyabiashara

Edward Lowassa aongoza tamasha maalum la waendesha bodaboda jijini dar na kuwashauri wanunue pikipiki zao ili waache kunyanyasika

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.Mh. Lowassa alikuwa ni Mgeni Rasmi katika hafla hiyo iliyofana

Serikali yafuta kodi ya line za simu na kuirejesha kwa staili nyingine

$
0
0
Serikali imeondoa kodi ya kadi za simu iliyopitishwa na wabunge katika Mkutano wa 13 wa Bunge ambayo ililalamikiwa na wadau na watumiaji wa simu nchini.    Hata hivyo, kodi hiyo imerejeshwa kwa staili nyingine baada ya kuongezwa katika tozo la kodi ya manunuzi iliyokuwepo kutoka asilimia 14.5 ya awali hadi asilimia 17.   Kauli hiyo ilitolewa juzi na

Mkakati mpya wa kumng'oa Mizengo Pinda....wabunge 26 watia saini fomu maalumu ya kutaka Bunge limng'oe

$
0
0
Baadhi ya wabunge wameanzisha mkakati wa kumwondoa madarakani, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kile wanachodai kuwa hawaridhishwi na utendaji wake serikalini.    Hiyo ni dalili kwamba kung’oka kwa mawaziri wanne kutokana na matokeo ya ripoti ya utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili hakujamnusuru Pinda, kwani baadhi ya wabunge wanaendelea na msimamo kwamba naye ajiuzulu kwa

Waendesha bodaboda jijini Dar wadai kwamba Lowassa ndo Rais mteule wa 2015 na kwamba atapita bila kupingwa

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowasa amewataka waendesha bodaboda na watu wengine wasimwite Rais kwa sababu wanamtengenezea chuki na uhusiano mbaya na watu.    “Mbona mnataka kuniletea uchuro! Mnanitengenezea ugomvi na watu jamani…,” alisema wakati akizindua Shirikisho la Bodaboda Tanzania jana kwenye Viwanja vya Leaders, Dar es Salaam.   Lowassa

Picha za mkutano wa Dr Slaa Igunga mjini

$
0
0
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama, mkoani Tabora. Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora.<!-- adsense -->

Habari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa kocha mkuu wa Yanga.

$
0
0
  MUDA mfupi uliopita klabu ya soka ya Yanga imetangaza kusitisha mkataba na kocha wake Ernest Brandts baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto, mkataba wa Brandts ambaye ni raia wa Uholanzi umesitishwa rasmi leo hii asubuhi na ameshakabidhiwa barua ya kumtaarifu juu ya hali hiyo. “Tumesitisha mkataba na kocha wetu na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images