Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mv Magogoni yanusurika kuzama bahari ya Hindi baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi

$
0
0
Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi... Mpaka sasa sababu za injini kushindwa kufanya kazi hazijajulikana.....   Mhanga  mmoja  wa  tukio  hilo ameielezea  kwa  kifupi  ajali  hiyo

Picha tatu za ndege iliyonusurika kuua watu 200 jijini Arusha leo

$
0
0
Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) leo mchana  imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na hitilafu iliyokuwepo Uwanjani hapo na kulazimika kutua kwa dharula kwenye Uwanja  Mdogo wa Arusha, hali iliyopelekea Ndege hiyo   kupitiliza  na kusimama nje kabisa ya uwanja huo huku abiria zaidi ya 200

Ray C anatafuta mwanaume mwaminifu wa kumuoa.....Kama upo single na unapenda awe mkeo basi bofya hapa

$
0
0
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi.    Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi miaka kumi, anayejitambua na asiwe mwanamuziki kwani anaamini akiwa na mtu kama huyo uhusiano wao utakuwa mzuri kuliko ule wa awali

Kituo cha polisi chachomwa moto mkoani Morogoro......Raia wawili na polisi mmoja wauawa wakati wa vurugu hizo.

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema.( PICHA ya MAKTABA) ***** Watu watatu, akiwamo askari polisi wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kuzuka mapambano kati ya polisi na raia katika Kijiji cha Igwati, Tarafa ya Malinyi Wilaya ya Ulanga, Morogoro.    Diwani wa Kata ya Malinyi, Said Kila aliwataja waliofariki dunia kuwa ni Leon Chikwita, Andrew Likomoka na Edson

Mwenyekiti wa CCM aliyeuawa na wananchi mkoani mwanza atazikwa leo

$
0
0
MWILI wa Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina (65) unatarajiwa kuzikwa leo katika eneo la Kanyama, jirani na yalipotokea mauaji yake.  Marehemu Mabina alifariki dunia Jumapili iliyopita baada ya kutokea vurugu kubwa baina yake na wananchi wa kitongoji cha Kanyama kilichopo katika Kata la Ilemela, ambayo alikuwa Diwani wake.   Kabla ya

CHADEMA waikataa Rufaa ya Zitto Kabwe....Wamesema kuwa wanataka waamue kwanza hatima ya Uanachama wake ndo waipitie rufaa yake

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha

Habari njema: Rais Kikwete amesaini Hati ya Dhararua ya kufanya marekebisho kwenye muswada wa fedha ili kuondoa kodi ya laini za simu

$
0
0
Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia suala  hilo.... Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri  kuhusu kodi hii....   Kupita ukurasa wake wa facebook,Makamba  ameposti  huu  ujumbe:  “Mheshimiwa Rais

Rais Kikwete aelekea Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.....

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba 18, 2013, kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. Kwa mujibu wa ratiba ya shughuli za uchunguzi wa afya yake na kwa kutilia maanani siku za kusafiri kwenda Marekani na kurudi nchini, Rais Kikwete anatarajiwa kurejea nchini Alhamisi ya wiki ijayo, Desemba

Waziri Magufuli na Steven Wassira waongoza maelfu ya wananchi katika mazishi ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa mwanza aliyeuawa na wananchi

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa (CCM), Clement Mabina (56), amezikwa mchana huu shambani kwake Kanyamati, Kisesa mkoani Mwanza.  Mazishi hayo yamehudhuriwa na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, viongozi wa serikali, madhehebu ya dini, vyama vya siasa, wananchi

Tume ya Katiba kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Desemba 30 2013 katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam

$
0
0
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Dkt. Ali Mohammed  Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi itafanyika siku

Mtuhumiwa wa mauaji ya padri mushi aachiwa kwa dhamana na mahakama ya Zanzibar

$
0
0
Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.<!-- adsense -->

Amanda ataja sababu zinazowafanya wasanii wa kike wasagane.

$
0
0
Msanii wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa, kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha yote. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Amanda alisema maudhi ambayo baadhi ya mastaa wamekuwa wakiyapata kutoka kwa wapenzi wao waliotokea kuwapenda ndiyo husababisha baadhi yao kuona suluhisho ni

"Comedy haitulipi vizuri, tunadharaulika, waigizaji wenzetu wanatutenga kwa sababu ni masikini"...Kingwendu

$
0
0
Mchekeshaji mkongwe wa Tanzania Rashidi Mwishehe aka Kingwendu amedai kuwa sanaa ya vichekesho Tanzania haiwalipi vizuri wasanii hao.   Akiongea kupitia Hatua Tatu ya 100.5 Times Fm, Kingwendu amesema kutokana na kipato kidogo wanachokipata wasanii hao, hujikuta wakitengwa na wasanii wenzao wa Bongo Movies ambao huingiza kiasi kikubwa cha pesa kwa kucheza movies hizo.   “Kwa kweli

Sakata la Mbowe kuchanganya mapenzi na kazi ( kwa mujibu wa Mwigulu ) limefanya ndoa za wabunge ziyumbe

$
0
0
SAKATA la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Chadema), kutuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake, limeweka ndoa za wabunge shakani.   Mbowe juzi alituhumiwa na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), kubadilisha ziara ya Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Mukya (Chadema), aliyotumwa na Bunge nje ya nchi huku akiwa amechukua posho, asiende alikotumwa badala yake aende

Zitto Kabwe kuanza ziara ya siku tano Mkoani Kigoma kuanzia leo

$
0
0
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma.   Katibu wa mbunge huyo, Alex Kitumo alisema jana kuwa Zitto atawasili mkoani Kigoma leo ambapo atapokewa Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa maandamano ya wanachama na wapenzi wa mbunge huyo.   Kwa mujibu wa taarifa hiyo,

Ripoti tokomeza Majangili yawafanya wabunge washikane mashati....Bunge laahirishwa kwa muda.

$
0
0
Kamati ya Lembeli ambayo  leo  imesoma Taarifa  ya Uchunguzi ya Kamati kwa Bunge  imependekeza Waziri wa Maendeleo na Uvuvi, Dk David Mathayo David , Mkurugezi wa Wanyamapori  na maofisa wengine wajiuzulu mara moja kutokana na kuwapo kwa matukio ya kuchomwa moto kwa nyumba za wananchi  na kuuawa kwa baadhi ya watu wakati wa operesheni tokomeza majangili. Bunge Limeharishwa kwa muda ili

Watanzania waliowekwa dhamana na vigogo nchini Pakstani kwa dawa za kulevya walia kwa mateso.

$
0
0
  via gazeti la MAJIRA -- Sakata la Watanzania wanaoshikiliwa nchini Pakistan na mtandao unaohusika na biashara ya dawa za kulevya ambao wapo mafichoni nchini humo kama dhamana ya vigogo wanaofanya biashara hiyo nchini, limechukua sura mpya. Taarifa zilizolifikia gazeti hili, zinasema idadi ya watanzania wanaopelekwa nchini humo na vigogo wa biashara hiyo nchini inazidi kuongezeka

Msuguano bado unaendelea bungeni....Fomu za kumng'oa waziri Pinda zimeingizwa bungeni....

$
0
0
Hali  bado  ni  tete  bungeni.....Wabunge  wanawataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha kujiuzulu kutokana na maovu yaliyofanywa wakati wa Operesheni Tokomeza wakati wakijadili ripoti iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya

Waziri wa Maliasili na utalii, mh. balozi Khamis Sued Kagasheki atangaza kujiuzulu nafasi yake ya uwaziri.....

$
0
0
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki ametangaza nia ya kujiuzulu wadhifa wake dakika chache zilizopita bungeni  mjini Dodoma.Sababu kubwa ya kujiuzulu ni baada ya kusomwa  ripoti ya kamati ya Bunge ikimtuhumu kuzembea na kukithiri kwa vitendo viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza.   Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira

Breaking News: Mawaziri 4 wavuliwa nafasi zao usiku huu bungeni

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete leo ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia shutuma nzito dhidi yao katika sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili.  Mawaziri waliopoteza ajira zao usiku huu ni pamoja na Khamis Kagasheki (Maliasili na Utalii), David Mathayo (Mifugo na Uvuvi), Emmanuel Nchimbi (Mambo ya Ndani) na Shamsi Vuai Nahodha (Ulinzi na JKT).   Akizungumza Bungeni Dodoma usiku huu,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images