Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hausigeli anaswa AKIKOJOLEA chombo cha kumpikia chakula bosi wake....Hii ni video ya tukio hilo la huzuni

0
0
Binti  mmoja  ambaye  ni  mfanyakazi  wa  ndani ( Housegeli )  amenaswa  live  na  kamera  zilizofungwa  jikoni  na  bosi  wake  akikojoa  ndani  ya  jiko  na  kisha  kuuchukua  mkojo  na  kuuchanganya  na  chakula  cha  bosi  wake..... Kwa  mujibu  wa  maelezo  ya  bosi  huyo (  jina  limehifadhiwa ) , kamera  hizo  za  siri  zilifungwa  jikoni  mwake  siku  chache  baada  ya  kustushwa 

Mwanafunzi wa chuo kikuu apiga picha chafu akitambaa sakafuni huku wenzake wakimshangilia.....

0
0
Mwanafunzi  mmoja  wa  chuo  kikuu  maarufu  nchini   amejikuta  akiuaga  mwaka  vibaya  baada  ya  picha  zake  chafu  kuvuja.... Katika  picha  hizo, mwanafunzi  huyo  anaonekana  kujiachia  uchi  sakafuni  huku  wenzake  wakimshangilia  ndani  ya  chumba  cha  hosteli  chao.... Picha  si  nzuri....una  hiari  ya  kuziangalia  au  kutoziangalia. Kikubwa  hapa  kilikuwa  ni  kufikisha 

Rais Kikwete awataka wananchi kuwekeza zaidi katika kilimo ili kukuza uchumi wa nchi

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amesema endapo jamii itafanikiwa kuwekeza katika kilimo basi uchumi wa Tanzania utakuwa na kufanikiwa kupiga hatua katika maendeleo ya nchini...   Rais Kikwete ametoa msisitizo huo leo hii jijini Dar Es Salaam wakati wa mkutano wa saba wa baraza la Taifa la Biashara TNBC uliokutanisha taasisi binafsi na za umma kwa lengo la

"Kwani Kuna ubaya gani nikitangaza hadharani kwamba natafuta mwanaume wa kunilala??...." Recho aamua kujibu skendo yake

0
0
Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumlala  na kumridhisha kimapenzi. Akizungumza na mwandishi wetu leo  baada  ya  taarifa  hii  kusambaa, Recho

Taarifa ya SUMTRA kwa umma kuhusu kusitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi ya Burudani, Polepole Classic na Osaka Royal Class

0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUSITISHA LESENI ZA USAFIRISHAJI KWA MABASI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI ZA OSAKA ROYAL CLASS, POLEPOLE CLASSIC NA BURHAN BUS SERVICES Hivi karibuni mabasi yanayomilikiwa na kampuni za Osaka Class, Polepole Classic na Burhan Bus Services yalihusika katika ajali zilizotokea katika maeneo na siku tofauti ambapo watu walipoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa. 

Watu saba wakamatwa kwa kosa la kumpiga mawe na kumuua mwenyekiti wa CCM - Mwanza

0
0
Watu saba wanashikiliwa na Polisi Mwanza wakituhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kisesa, Clement Mabina.    Mabina aliuawa na wananchi katika ugomvi wa ardhi baada ya kudaiwa kumuua mmoja wa wakazi hao kwa risasi.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Valentino

Serikali yakiri uwepo wa wanaume nchini ambao siyo Rijali

0
0
Serikali imekiri kuwapo wanaume ambao mbegu zao hazina uwezo wa kuwapa mimba wanawake na kwamba, imekuwa ikiendelea kutoa elimu mara kwa mara.    Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alipojibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Kidawa Saleh (CCM).   Mbunge huyo alitaka kujua iwapo Serikali haioni

Wahitimu wa vyuo vikuu nchini washauriwa kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa

0
0
  SHIRIKA la Maendeleo la Restless limewataka wanafunzi wanaohitimu vyuoni kuwa na mtazamo tofauti ikiwamo wa kujiajiri kuliko kutegemea ajira kupunguza tatizo la ajira nchini. Akizungumza na RAI, Meneja wa Maendeleo Restless, Nicas Ngumba alisema lengo la kuanzisha program hiyo ni katika juhudi za kupunguza tatizo la ajira nchini. Ngumba alisema baada kufanya uchunguzi imebainika kuwa

"Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa"...Liyumbs

0
0
Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kumkomoa.    Liyumba aliyaeleza hayo jana wakati akijitete mbele ya Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando anayetarajia

"Wasanii ni wanafiki ....wakati naumwa sikuwahi kupigiwa simu na msanii mwenzangu"...Ray C

0
0
Rehema Chalamila aka Ray C jana alifunguka kupitia kipindi cha Mkasi jinsi ambavyo wasanii wenzake walimtenga wakati alipokuwa amelazwa hospitali kupatiwa matibabu ya ‘uraibu’ (addiction) wa madawa ya kulevya.   Ray C alisema  japokuwa mama yake alitoa kwa umma mawasiliano yake na maelekezo ya namna ya kumsaidia, simu hiyo iliyokuwa busy saa 24, ilikuwa ikipokea simu na ujumbe

"Maneno ya watu ndo yaliyonifanya nikubali kulala na bosi wangu....Walinisema sana, nikaamua kufanya kweli"....Baby Madaha

0
0
Hivi sasa sio siri tena wala Baby Madaha hataki tena kupindisha pindisha maneno kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na meneja wake wa Kenya CEO wa Candy n Candy Joe Kariuki.   Msanii huyo filamu na muziki kutoka Tanzania Baby Joseph Madaha, ameiambia Global  kuwa mwanzoni yeye na Kariuki hawakuwa na uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kazi, ila kutokana na watu kuanza kuongea kitu

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi jijini Mwanza kufuatia vifo vya Mabina ( mwenyekiti wa CCM aliyeuawa na wananchi) na Malimi

0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo kufuatia vifo vya watu wawili vilivyotokea tarehe 15 Desemba, 2013 katika Kitongoji cha Kanyama Kata ya Kisesa Wilaya ya Magu, Mkoani Mwanza.Rais ametuma salamu hizo kwa Mkuu wa Mkoa kufuatia vifo vya BW. Clement Mabina na Tenery Malimi vilivyotokea baada  vurugu zilizosababishwa na

Hizi ni picha mbili za Lulu Michael akiwa kifua wazi ambazo zilimfanya atangaze dau la sh. 800,000 kwa mwanaume anayemtaka

0
0
  Hizi  ni  picha  mbili  za  Lulu  Michael  akiwa  kifua  wazi  ambazo  zilimfanya  atangaze  dau  la  sh. 800,000  kwa  mwanaume  anayemtaka...   <!-- adsense -->

Maiti nyingine yagoma kuzikwa nchini Kenya.....Ndugu wafanya tambiko kumsihi marehemu akubali kuzikwa....Tazama Video hii

0
0
  Hii  ni  maiti  nyingine  iliyozua  kizaa zaa  nchini  Kenya  baada  ya  kugoma  kuzikwa..... Zaidi  ya  magari  10  yalishindwa  kuisafirisha  maiti  hii  na  ndipo  ndugu  wa  marehemu  akiwemo  dada  yake   Kitinda  walipompigia  magoti  marehemu  wakimuomba  afungue  njia  ili  akapumzike  kwa  amani..... Tazama  video  hapo  chino...

Unyama: Majambazi 7 yambaka mama na mabinti zake watatu kwa zamu huko Geita

0
0
Watu  wanaokadiriwa kufikia saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na mapanga na marungu, wamevamia nyumbani kwa mkazi wa kijiji cha Kaduda kata ya Katoro wilayani Geita na kuwabaka kwa zamu mama na wanawe watatu kwa zaidi ya saa mbili. Hali kadhalika, watu hao walimjeruhi mmoja wa watoto wake wa kiume aliyekuwa akishuhudia unyama huo ukifanyika. Tukio hilo lilitokea usiku wa

Wabunge wataka Watanzania waandaliwe kumiliki uchumi wa gesi iliyogunduliwa hapa nchini

0
0
Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara,  imeitaka serikali kuwaandaa Watanzania na miundombinu itakayowawezesha kumiliki uchumi wa gesi. Akiwasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kwa kipindi cha Machi hadi Desemba 15, mwaka huu, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa, alisema maandalizi ya uchumi wa gesi yanatakiwa kuwa makubwa. Alisema hiyo ni pamoja na kumuandaa

Idadi ya waliokamatwa kwa kumpiga mawe na kumuua mwenyeki wa CCM yaongezeka na kufika 10

0
0
Idadi ya watu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza, Clement Mabina imeongezeka kutoka saba hadi 10.  Habari kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza  zimeeleza kuwa watuhumiwa hao walikamatwa kutoka maeneo mbalimbali ya Kata ya Kisesa kwa ajili ya kuhojiwa.   “

Abiria atakayekutwa amesimama ndani ya basi atatozwa faini.....Huu ni utaratibu mpya unaoandaliwa na jeshi la polisi

0
0
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini.   Kauli hiyo ilitolewa jana na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.   Alisema kabla ya sheria hiyo kutungwa na kutekelezwa,

Wema Sepetu afulia baada ya kigogo wa ikulu aliyekuwa akimwagia manoti kufilisika.

0
0
  NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa imefikia nchani.... Kwa mujibu wa chanzo makini, hali ya kifedha ya staa huyo si nzuri kiasi kwamba kwa sasa amekuwa mtu wa kushinda ndani kwa kuwa hana mpunga unaomuwezesha kwenda kujirusha

Mwigulu Nchemba akerwa na kitendo cha Freeman Mbowe kuchanganya kazi na Mapenzi bungeni.....Amelitaka bunge kuchunguza posho zilizoliwa na hawara yake

0
0
Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba  leo  asubuhi  aliomba  mwongozo  wa  Spika  wa  bunge  akimtuhumu Mh. Mbowe  kwamba  amekuwa  akitumia  madaraka  yake  vibaya  kwa  kuchanganya  mapenzi  na  kazi, hali  inayolichafua  bunge  la  Tanzania  katika  tawsira  za  kimataifa..... Mwigulu  ameliambia  bunge  kuwa ,  Mbowe alipiga  simu  kutaka  kusitishwa   kwa  safari ya mbunge
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images