Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

HUYU NDO MTOTO MCHANGA WA SIKU 4 ALIYEKAA NDANI YA SHIMO SIKU 6 AKIWA HAI

$
0
0
 Ndugu yangu ukishangaa ya Mussa basi shangaa na ya Filauni, Methali hiii methibitika Songea baada ya Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 toka azaliwe alipo wekwa na mama yake kwenye mfuko wa mbolea na kutumbukizwa kwenye shimo...   Ndani ya shimo hilo amekaa siku 6 bila kula wala kunywa hadi alipo okotwa na wasamalia wema... Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akiwa

RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI AJA KUHUBIRI INJILI TANZANIA

$
0
0
Rais Pierre Nkurunziza. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, anatarajiwa kuja nchini Agosti, kuhubiri Injili katika mkutano mkubwa wa Injili unaoandaliwa na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT), imefahamika. Kwa mujibu wa Askofu Samson Mlawi aliyezungumza na mwandishi wa habari hizi mwishoni mwa wiki, tayari  Kamati ya  Maandalizi imefanya vikao kadhaa ambavyo pamoja

CUF YAKANUSHA KUHUSIKA NA UCHOCHEZI WA VURUGU ZA MTWARA

$
0
0
SIKU chache baada ya Serikali kuahidi kusaka kokote duniani wachochezi wa vurugu za Mtwara, Chama cha Wananchi (CUF) kimeibuka na kudai hakihusiki. Chama hicho kimedai kupata taarifa ya kuwapo mpango wa kukamata viongozi wa CUF na kuuaminisha umma kuwa ndio wahusika wa kuchochea, kupanga na kufanya vurugu za Mtwara. Hayo yalielezwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa

VIKONGWE WATATU WAUAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO HUKO BUNDA

$
0
0
MAUAJI ya kikatili yametokea usiku wa kuamkia leo wilayani Bunda, mkoani Mara baada ya watu wenye hasira wa kijiji cha Kasaula kuwauwa kwa kuwachinja kama Kuku kisha kuwachoma moto vikongwe watatu kwa kuwatuhumu wanajihusisha na vitendo vya kishirikina.   Pia watu hao mbali na kuwaua kikatili vikongwe hao kwa tuhuma kwamba walimuua kijana mmoja aitwaye Sale Ligolo, walichoma moto na

" ANAYEDAI KUOMBWA RUSHWA YA NGONO AJITOKEZE HADHARANI."...HASHIM LUNDENGA

$
0
0
Hashim Lundenga. Baada ya shutuma za rushwa ya ngono kuzidi kwa waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, uongozi unaosimamia shindano hilo umesema kama kuna mrembo yeyote ambae amewahi kuombwa rushwa hiyo ya ngono ajitokeze.   Mkurugenzi Hashim Lundenga amesema “kuna kushutumiwa kwamba tunachukua rushwa ya ngono kutoka kwa Wasichana kitu ambacho sio kweli, hakuna msichana

UPDATE: TRENI YAUA UKONGA- MOSHI BAR MUDA HUU

$
0
0
Muda mfupi auliopita treni imegongana na gari aina ya RAV4 na dereva (mwanaume)amekufa muda huu na abiria(mwanamke) yu mahututi.   <!-- adsense -->

RIHANNA IMEKULA KWAKE..!!!!! ...KARRUECHE TRANS SASA AHAMIMIA NYUMBANI KWA CHRIS BROWN

$
0
0
Siku zote mwenye kiu iliyopitiliza akipewa maji ya kunywa hutamani atumie jagi zaidi ya kikombe anachowekewa maji, ndivyo ilivyomtokea mrembo Karrueche Tran aliyetoswa mwaka jana na Chris Brown aliyemchagua Rihanna dhidi yake wakati mrembo huyo akiwa na moyo uliojaa mapenzi na maumivu ya kulikosa penzi la ‘turn up the music singer’.. Sasa alipopewa nafasi tena ameamua

KESI YA LADY JAYDEE NA LWAKATARE ZITAUNGURUMA LEO MAHAKAMANI

$
0
0
WAKATI kesi ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ikitarajiwa kusikilizwa leo Mei 27 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kesi ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Judith Wambura (Lady JayDee) pia inatarajia kusikilizwa tarehemu hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.    Kesi hizo zinatarajia kuvuta hisia za watanzania kutokana

HII NI NEEMA KWA WALIOFELI KIDATO CHA NNE....UFAULU WAONGEZEKA, MATOKEO NI MUDA WOWOTE

$
0
0
Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu, Mwananchi limebaini. Habari ambazo gazeti hili imezipata zinasema matokeo hayo ambayo yamewezesha kiwango cha ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57, huenda yakatangazwa

JACK WOLPER ALIA NA MATAPELI YANAYOTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA JINA LAKE KUOMBA HELA WATU

$
0
0
Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa matapeli wa mjini kutumia majina ya waigizaji maarufu nchini kutapeli watu kwa njia ya mtandao, dhahama hii sasa imemkuta mwanadada Jacqueline wolper baada ya watu wanaoaminika kuwa ni matapeli kutumia jina lake kujipatia fedha na vitu vingine kiudanganyifu.Akizungumza kwa simu na tovuti ya bongomovies, mwanadada Jacqueline wolper  alisema

AIBU: MUME WA MTU ANASWA GESTI AKILAWITIANA NA SHOGA LIITWALO ' AUNT STEVE"

$
0
0
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Ezekiel Malika 'Baba Kulwa' amenaswa gesti na mkewe akiserebuka na shoga aitwaye Aunt Steve na kuibua mtiti mzito.. Tukio hilo lilivuta umati lilijiri Mei 20, mwaka huu kwenye gesti moja  iliyopo Mwananyamala, Dar ambapo mke wa Ezekiel alivamia na kutembeza mkong’oto wa hasira kwa mumewe.   Mei 19, mwaka huu, saa 3:15 asubuhi, mwanamke

PENZI LA WASTARA LAGOMBANIWA.....

$
0
0
TAKRIBAN  wiki moja baada ya kumaliza eda tangu alipofariki mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Januari 2, mwaka huu, staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma anagombewa na midume ikitaka kumuoa. Akizungumza na mwandishi wetu  akiwa nchini Oman, Wastara alifunguka kuwa tangu amalize eda yake hiyo amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa wanaume mitandaoni na wanaomtamkia mwenyewe.

VIDEO YA PROFESA LIPUMBA WA CUF AKIMLAUMU KIKWETE NA KUDAI KUWA WAISLAMU WAMETENGWA...!!!

$
0
0
Iliyopachikwa hapo chini ni video ya Profesa Ibrahiumu H. Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Msikiti wa Idrissa, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, alikokwenda kuswali swala ya Ijumaa, miezi kadhaa iliyopita. Prof. Lipumba alikaribishwa kuzungumza na waumini hao mara baada ya utangulizi uliotolewa na Imamu wa msikiti huo, Sheikh Ali Basaleh, aliyemtaka awaeleze Waislamu

VIDEO YA MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE KWA KUMWAGIA MAJI YA MOTO HUKO MOMBASA

$
0
0
Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe.  Inadaiwa marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali ambayo imepelekea kifo chake.  Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na  kumuua.. VIDEO <!-- adsense -->

LWAKATARE AKWAMA TENA KUPATA DHAMANA, KESI YA JAYDEE YARUSHWA MPAKA JUNE 13.

$
0
0
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare na mwenziye Ludovick Joseph wamekwama tena leo Jumatatu, Mei 27 kupata dhamana baada ya Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Kisutu, Sundi Fimbo kueleza kuwa Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Aloyce Katemana, bado yupo likizo tangu wiki tatu zilizopita.    Watuhumiwa wanakabiliwa na shitaka la kupanga njama za kumnywesha sumu

DIVA WA CLOUDS FM AMPA SUPPORT "MKE MWENZA WA KENYA " ANAYEIWAKILISHA NCHI HIYO KWENYE BIG BROTHER AFRICA

$
0
0
Juzi (May 26) ndio ulifanyika ufunguzi rasmi wa shindano kubwa Africa la Big Brother ambalo mwaka huu limepewa jina la “The Chase”, na tayari washiriki wa nchi zote ikiwemo Tanzania wamekwisha fahamika. Huddah Monroe a.k.a The boss lady ambaye ni model mwaka huu ndio amebeba imani za wakenya za kurudi na kitita cha $300,000 zinazoshindaniwa katika msimu wa 8 wa shindano la Big Brother “The

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KOSA LA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA WA MIAKA 7

$
0
0
MKAZI wa kijiji cha Turiani, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, Athuman Rashid (25) amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela na adhabu ya kuchapwa viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka saba.  Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Korogwe, Arnold Kirekiano. Kwa mujibu wa hati ya

AIBU: KIJANA ANASWA AKIUZA UUJME WA MTU....POLISI WATIA MBARONI

$
0
0
Jeshi la polisi nchini malawi wanamshikilia kijana mmoja baada ya kumkuta akiuza sehemu ya siri ya mwanaume. Kijana huyo mwenye miaka 24 alikamatwa baada ya wananchi kutoa ripoti kituo cha polisi kuwa kunamzee kalala relini huku akiwa anatokwa damu nyingi   Polisi walifika eneo la tukio na kumkuta mzee huyo akiwa hoi na kuamua kumkimbiza hosipitali. Baada ya kufikishwa

AIBU: VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA COLLAGE MOJA ILIYOPO DODOMA YAVUJA....WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA

$
0
0
<!-- adsense --> Baadhi ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ngono.. Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono. Katika uchunguzi wa muda mrefu, mpekuzi

ADAM MCHOVU ATUPIA PICHA ZA UCHI ZA LADY JAYDEE.....WATU WAMSHAMBULIA KWA MATUSI

$
0
0
Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa na  sikuona umuhimu wa kuifungua.  Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake .. Na kama ni  yake sijajua kama  wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe COMMENT ZA WADAU:
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images