Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk
Wilbrod Slaa amepokewa kwa mabango katika mkutano wake wa hadhara
wilayani Kakonko, Kigoma lakini akawaambia waliofanya hivyo kuwa chama
chake hakitayumbishwa huku akiwataka wanaosimama na mabango kumtetea
Zitto Kabwe kung’oka naye ndani ya chama.
Dk Slaa yuko mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya
ziara yake ya siku 11
Dk Slaa apokewa kwa mabango ya kumpinga Mkoani Kigoma..Wamtaka yeye na Mbowe wajiuzulu.
↧
↧
Siku ya mazishi ya mzee Nelson Mandela ni tarehe 15 mwezi huu....Obama, Bill Clinton, David Cameron wathibitisha kuhudhuria
Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma ametangaza mazishi ya Nelson
Mandela yatafanyika siku ya Jumapili, Desemba 15 mwaka huu kijijini
kwake Qunu, katika jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini.
Rais Zuma ametangaza siku 5 za maombolezo kitaifa na bendera
zitapeperushwa nusu mlingoti katika muda wote huo. Na ameitangaza siku
ya Jumapili ya Desemba 8, 2013 kuwa siku maalumu ya kitaifa ya
↧
CHADEMA yakerwa na ukweli wa CUF.....
BAADHI ya wafuasi cha Chadema, jana nusura waanzishe fujo kwenye mdahalo wa kujadili demokrasia na migogoro ndani ya vyama vya siasa, baada ya mmoja wa washiriki kutamka kuwa, CCM itaendelea kuongoza nchi endapo vyama vya upinzani vitaendelea kuwa na migogoro hivyo kuzidi kividhoofisha.
Kauli hiyo, licha ya kutaka kusababisha fujo, iliwafanya baadhi ya wafuasi wa Chadema kutoka nje ya
↧
Kamati ya Bunge yadai TAMISEMI ni sehemu ya mtandao wa ufisadi
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (Laac), imeilipua
Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwa madai ya
kuwa sehemu ya Mtandao wa Ufisadi serikalini.
Tamisemi inaongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia anayesaidiana na manaibu waziri
wawili, Aggrey Mwanry na Majaliwa Kassim Majaliwa.
↧
Muswada wa kura ya maoni wa mwaka 2013 wapita
BUNGE limepitisha muswada wa kura ya maoni wa mwaka 2013.
Muswada huo ambao ulikwama kupitishwa juzi kutokana na hitilafu ya
umeme na kusababisha vipaza sauti kugoma, ulipitishwa jana kwa wabunge
kutakiwa kuitikia ndiyo au siyo.
Hata hivyo, muswada huo ulikuwa na mvutano mkali kati ya serikali na
wabunge wa upinzani, huku baadhi ya wabunge wakichafua hali ya hewa kwa
kudai
↧
↧
Kwa staili hii, mahausigeli ( mabinti wa ndani ) wataendelea kulala na waume zenu katika maisha yenu yote ya ndoa.
Siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi ili kusaidia kazi za nyumbani....
Hatukatai, pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,kama kufua nguo za mzee,watoto,kunyoosha, kuandaa chakula nakadhalika.
Lakini kuna wanawake wengine unakuta wako wawili tu, yeye na mumewe, eti nao wanaweka house girl sijui wa nini? Tena wengine sijui ni sifa
↧
Mke asipopewa heshima hawezi kumthamini mumewe hata iwaje....Kwa stori kibao za mapenzi, BOFYA HAPA
Kuna wanaume ambao kwa kutokujua wanadhani mwanamke anachohitaji ni
‘fidia’ baada ya kuvunjiwa heshima, hivyo huwa wanawavunjia heshima wake
zao na baadae kujitoza ‘fidia’ kwa kuwanunulia zawadi kubwakubwa
wanawake hao.
Wanawake huwa wanapokea zawadi hizi, lakini hii haina maana kwamba ndoa
itaendelea kuwa ya amani na upendo. Mwanamke hata kama atapewa dhahabu
yote duniani, kama
↧
NIMEONA UTUPU WA MKE WA MTU..SASA IMEKUWA TABU...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE????
Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe
kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu
nami sikujua kama yumo.
Ile anataka kutoka tu pale mlangoni,kanga yake ikaanguka na akabaki
mtupu Macho hayana pazia niliona utupu wake nae aliona kuwa nimeona.Ile
tu anajizoazoa kujisitiri akateleza akaanguka ikabidi nimsaidie kumuinua
,
↧
Jinsi ya kufuta kila kitu kwenye computer yako zikiwemo picha za uchi ili kuzuia zisivuje na kusambaa...Kumbuka kuformat hakusaii kitu
Kuna watu wamekuwa wakipata hasara katika makampuni yao au hata watu
binafsi kutokana na kuuza kompyuta zao kwa watu wengine .
Uuzaji wa
kompyuta bila kuisafisha umeawafanya watu wengi kuibiwa kumbukumbu zao
za siri bila wao kufahamu na kumbukumbu hizo zinapoangukia kwenye mikono
ya watu wabaya inakuwa hasara kwa aliyeuza kompyuta hiyo.
Je Unataka kuuza kompyuta yako na kununua mpya,
↧
↧
Ufoo Saro arejea kazini akiwa ngangari kiafya.....
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo
Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na
kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, kwa sasa afya yake imeimarika na
kurejea kazini.
Kamera yetu iliweza kumkamata katika mmoja ya mkutano wa waandishi wa habari wakati akiuliza swali.
Mmoja
ya wafanyakazi wenzake ambaye hakupenda kuwekwa wazi jina
↧
Msajili wa Vyama Vya Siasa Francis Mutungi awataka wana Arusha kuacha ushabiki wa kisiasa unaohatarisha amani.
Msajili wa vyama
vya siasa nchini Bw Fransis Mutungi amewataka wananchi wa Mkoa
wa Arusha na watanzania kwa ujumla kuepuka kuingiza ushabiki
kwenye siasa kwani kufanya hivyo licha ya kuwa chanzo cha
kuhatarisha amani wanaharibu lengo la fani hiyo ambayo ina
umuhimu na faida kubwa katika jamii kama taratibu na misingi
yake ikifuatwa na
↧
Jacline Wolper anusurika kufa katika ajali ya gari
Muigizaji wa filamu, Jacqueline Wolper ameponea chupuchupu kupoteza uhai baada ya gari lake kugonga ukuta na kubomoa matanki makubwa ya
maji ambayo kama yangeangukia gari yake ingekuwa ni story nyingine.
Wolper ameshare mkasa huo kwa mashabiki wake wa Instagram na kuweka picha inayoonesha mantenki ya maji yaliyobomoka.
“Dah kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando
↧
Upepo mkali waezua paa la shule ya msingi Luganga....
Wanafunzi wa shule ya msingi Luganga
kata ya Ilolompya Tarafa ya Pawaga Mkoa wa Iringa, wakiangalia sehemu ya
paa la chumba cha darasa lililo ezuliwa na upepo mkali...
Nyumba ya Mwalimu
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Luganga wakicheza nje ya Darasa lililo ezuliwa
Wanafunzi Shule ya msingi Luganga wakiendelea na Masomo ndani ya Darasa lililo ezuliwa na Upepo mkali ,(Picha na Said
↧
↧
Picha tano za mikutano ya Dr. Slaa mkoani Kigoma.....Mwenyekiti wa mtaa ajitoa CCM na kuhamia CHADEMA
Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango ya kumpinga Dr. Slaa...
Polisi wakimsulubu kijana aliyeleta vurugu eneo la mkutano....
Polisi wakidumisha ulinzi kwa kukabiliana na waandamanaji....
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa
Community Center mjini Kibondo baada ya waleta
↧
Mizengo Pinda adaiwa kuwa ni mzigo serikalini.....Rais Kikwete ashauriwa amfukuze
SAKATA la mawaziri kuandamwa kwa kutowajibika limezidi kushika kasi
ambapo safari hii, Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kumfukuza kazi Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kwa madai ya kuwa mchawi wa maendeleo ya nchi na
mzigo namba moja.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia naye anadaiwa kuwa mzigo mwingine kwa taifa kutokana
na kubariki ufisadi
↧
Meli ndogo ya mizigo yazama kilwa masoko....mtu mmoja hajulikani aliko
Mtu mmoja aliefahamika kwa Jina la Nice Mtega fundi
mkuu wa Meli ndogo ya mizigo iitwayo MV MERCI II inayomilikiwa na
Semuhungu Shingiro anahofiwa kufa maji baada ya kutoweka toka kuzama kwa meli hiyo katika bandari ya Kilwa masoko.
Akiongea
na mwandishi wetu, meneja wa Bandari ya
Kilwa, Bw. Iddi Omary, alieleza kuwa Meli hiyo iliyofunga gati jana
jioni ikitokea songosongo na
↧
Taarifa kamili ya maandamano yakumpinga Dr Slaa mkoani Kigoma yaliyofanyika jana ambapo bendera na kadi za CHADEMA zilichomwa moto
Ziara ya Katibu
Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa, imekumbwa na vurugu wilayani
Kibondo baada ya vijana kuingilia mkutano wake wa hadhara wakiwa na
mabango.
Vurugu hizo zilisababisha vijana 12 kutiwa mbaroni na polisi.
Mabango hayo
yalikuwa yakipinga hatua iliyochukuliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema
kumsimamisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Vijana hao wakike
↧
↧
Rais Kikwete awasili nchini akitokea ufaransa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni
wakati aliposimama kwa muda katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi akiwa njiani kurejea nyumbani baada ya
kuhudhuria mkutano unaohusu Amani na usalama na ushirikiano wa kiuchumi
kati ya Bara la Africa na Ufaransa.Kulia aliyesimama ni Waziri wa Mambo
ya Nje wa Kenya Balozi Amina Mohamed na kushoto ni
↧
Picha 7 za vurugu kubwa zilizotokea Kasulu Kigoma Kumpinga Dr. Slaa......Mabango yao yanasema Zitto kwanza, CHADEMA baadae.
↧
Mkutano wa CHADEMA mkoani kigoma wasambaratishwa kwa mawe....Polisi watumia mabomu ya machozi kumuokoa Dr. Slaa
Taarifa za kusikitisha ni kwamba mkutano wa Dr.slaa wilayani Kasulu-Kigoma umevunjika baada ya vurugu kubwa kuibuka....
Kwa mujibu wa mtandao wa jamii forums ,Slaa anadaiwa kupigwa mawe na vijana wasiojulikana wakati akiwa
Jukwaani....
Baada ya vurumai hilo, polisi walilazimika kupiga mabomu ya Machozi ili kutawanya
watu ....
Bado haijulikani, Slaa ameumizwa kiasi gani
↧
More Pages to Explore .....