VERA SIDIKA: Miongoni mwa wakenya maarufu wanao daiwa kutumia mafuta ya mchekanambingu kwa ajili ya kungarisha nyota zao
*****Mchungaji Lewis Njoroge wa kanisa la New Tongue Faith lililopo jijini Nairobi hapa Kenya, ameibuka na kujibu tuhuma zinazo mkabili za kukutwa na mafuta ya MCHEKANAMBINGU.
Pastor Njoroge ambae kwa muda mrefu sasa amekuwa akiwatahadharisha waumini wake na wakenya kwa ujumla kuhusu kutotumia MAFUTA YA MCHEKANAMBINGU kwa madai kuwa ni MAFUTA YA KUZIMU , wiki iliyopita aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini Kenya, akidaiwa kujipata matatani baada ya Mafuta ya MCHEKANAMBINGU kukutwa ofisini kwake.
Mara kadhaa Pastor Njoroge maarufu kama Pastor Njoroo,. Amekuwa akiwakemea waumini wake pamoja na wakenya kwa ujumla, kutothubutu kutumia MAFUTA YA MCHEKANAMBINGU kwa sababu ni mafuta kutoka kuzimu, yanayo tolewa na mganga wa jadi kutoka Tanzania, ajulikanae kama mungu wa kabili, ambae kwa mujibu wa PASTOR Njoroge , ni wakala wa kuzimu.
Pia Pastor Njoroge amekuwa akiwatuhumu baadhi ya wachungaji, wasanii wakubwa na wafanyabiashara maarufu kujihusisha na matumizi ya mafuta ya mchekanambingu.
Aidha Pastor Njoroge amewahi kunukuliwa akitoa shutuma zake kwa baadhi ya magazeti ya Kenya, akivitumuhu ku wahamasisha vijana kutumia mafuta ya mchekanambingu.
“ Sasa hivi, kila mtu akiwa maarufu na kupata mafanikio hapa Kenya, magazeti yana muhusisha mtu huyo na mafuta ya mchekanambingu. Matokeo yake sasa hivi kila kijana, anafikiri hawezi kufanikiwa katika jambo lake bila kutumia mafuta ya mchekanambingu “….
Pastor Njoroge aliongeza kwa kusema kuwa mafuta ya mchekanambingu ni mafuta kutoka kuzimu, na yoyote atake jipaka mafuta hayo anakuwa amejiunganisha moja kwa moja na utawala wa kuzimu. Mafanikio atakayo yapata yatakuwa ya muda mfupi tu na malipo yake yatakuwa makubwa kuliko mafanikio aliyo yapata.
Wiki mbili zilizopita vyombo mbalimbali vya habari nchini Kenya, viliripoti kuhusu tuhuma za kukutwa kwa mafuta ya mchekanambingu kwenye ofisi za Pastor Njoroge, jambo ambalo lilizua mtafaruku mkubwa kati ya Pastor Njoroge na waumini wake.
Inaelezwa kuwa, mmoja kati ya wazee wa kanisa la New Tongue Faith, aliingia ofisini kwa Pastor Njoroge kwa ajili ya kuchukua documents. Sasa wakati anapekua makabrasha katika ofisi hiyo alishangaa kukuta kibox chenye vichupa vinne kikiwa sambamba na karatasi yenye maelekezo ya jinsi ya kutumia mafuta ya mchekanambingu.
Ikadaiwa kuwa, baada ya kuulizwa kuhusu mafuta hayo yamefikaje ofisini kwake, Pastor Njoroge hakuwa na majibu yenye kueleweka.
Suala hili lilifika kwa wazee na viongozi wa kanisa kwa ajili ya kulijadili na baadae likavuja kwa waumini.
Akifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio nchini Kenya, Pastor Njoroge alisema “ Mafuta hayo yalipandikizwa ofisini kwake, kwa lengo la kumchafulia jina lake “.
“ Ndugu mwandishi, vita vyetu si kwa jinsi ya mwili. Vita tunavyopigana wakristo ni vya rohoni. Nina wapinzani wengi sana ambao wanajaribu kunikwamisha, lakini ninasema watashindana lakini hawatashinda “.
Tulimpigia simu dokta mungu wa kabili kupitia namba yake 0744 000 473 ili atueleze kama anamfahamu Pastor Njoroge, alijibu kwa ufupi “ Simfahamu “
Mafuta ya mchekanambingu, yamekuwa maarufu sana hapa nchini Kenya, ambapo inasemekana kuwa yanatumika kwa kazi mbalimbali kama vile kusafisha nyota, kusafisha mwili, kumkinga mtu dhidi ya maadui, kuimarisha mahusiano ya kimapenzi, kuharakisha ndoa, kumvuta mpenzi, kuwakinga watoto, kukuza biashara, uongozi nakadhalika, huku wateja wake wakubwa wakitajwa kuwa wanasiasa wakubwa, viongozi, wafanya biashara, wasanii wa muziki, nakadhalika.
SOURCE : VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI KENYA.