Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu Michael agoma kumvulia nguo Diamond licha ya kuahidiwa kuhongwa gari la Milioni 60

0
0
  Elizabeth Michael  maarufu  kwa  jina  la  Lulu  ambaye ni star mkubwa wa filamu nchini Tanzania anadaiwa kukataa  kumvulia  nguo  Diamond Platinumz anayehaha kutaka kulifaidi  penzi lake kiasi cha kufikia  hatua ya kumnunulia  gari aina ya Nissan Murrano yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60 za kitanzania ..   Ili kumaanisha kuwa hataki kutoka kimapenzi  na  Diamond , Lulu

Ridhiwani Kikwete alaani siasa za Chuki n Ukanda zilizowatoa madarakani Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.

0
0
Baadhi  ya watu maarufu  nchini akiwemo  mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti.   Zitto alivuliwa uongozi wa Naibu Katibu Mkuu Taifa na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho.    Haya  ni maoni  ya  Ridhiwani  Kikwete  aliyoiweka 

Mwanafunzi auawa na mpenzi wake wakati akisubiri matokeo ya kidato cha nne jijini Dar....Chanzo cha mauaji ni wivu wa mapenzi

0
0
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka huu, Sharifa Abdallah (18) ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mbavuni chumbani kwa mvulana aliyedai  kuwa mpenzi wake maeneo ya Kimara Golani, Dar es Salaam.   Tukio hilo lilitokea juzi saa 8:30 mchana na baadaye mvulana huyo aliyetambuliwa na Polisi kwa jina la Abdul Alpha (22) kujisalimisha katika kituo cha Polisi cha Stendi Kuu ya

Maombi ya TANESCO kupandisha bei ya umeme kutoka sh 198 mpaka 332 kwa uniti moja yapokelewa kwa hisia tofauti

0
0
Maombi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya kupandisha bei ya umeme, yamepokewa kwa hisia tofauti za kuungwa mkono na pia kupingwa. Waungaji mkono maombi hayo ni pamoja na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy aliyesema kulingana na changamoto zinazolikabili shirika hilo, bei ya umeme iongezwe ila kwa kuzingatia kutoa huduma zinazolingana na gharama wanazotoza. Hata hivyo

Mwasisi wa CHADEMA ndugu Edwin Mtei adai kuwa chama chake kitaendelea kuwafukuza wasaliti bila kujali umaarufu wao.

0
0
Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu huku akieleza kwamba, anaunga mkono kuvuliwa uongozi kwa Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo.    Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, nyumbani kwake jana, Mtei aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu (BOT) na Waziri wa Fedha katika utawala wa awamu

Rais Kikwete awataka watanzania waitetee nchini yao badala ya kushinda kwenye mablogu wakiiponda.

0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema wajibu mkuu wa Watanzania wanaoishi nje ya nchi ni kuisemea vizuri, kuihangaikia na kuitetea nchi badala ya kushinda  kwenye mablogu  wakiiponda,  kuibeza na kulalamika. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa kuishi kwa Watanzania nje ya nchi kutaonekana jambo la maana zaidi ikiwa

"Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe kumefunika maovu mengi yaliyokuwa yamepangwa kufanywa na CHADEMA dhidi yake"...Hii ni kauli ya mama yake mzazi

0
0
Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa kilichomkuta mwanaye kimefunika mabaya mengi yaliyopangwa afanyiwe.    “Kwa upande wangu naona kama ni ushindi kwa Zitto kutokana na jinsi ninavyojua hali ilivyo, mambo yalikuwa ni mengi mno na nikwambie tu,

Profesa Juma Kapuya atoweka nchini, Polisi waahidi kumsaka popote alipo.

0
0
SIKU moja baada ya binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kufungua jalada polisi dhidi yake, inadaiwa mbunge huyo ametoweka nchini...   Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na mbunge huyo, vinadai kuwa amesafiri juzi kwenda nchini Sweden kwa masuala ya kikazi, na kwamba atakuwepo huko kwa muda usiopungua mwezi mmoja.  

Baadhi ya mambo yanayoendelea ndani ya kikao cha Zitto Kabwe na waandishi wa habari

0
0
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Dk Kitilia Mkumbo amekiri kwamba alishirikiana na Samson Mwigamba katika kuandaa waraka wa mabadiliko katika Chama hicho, lakini siri hiyo ivuja baada ya Mwigamba kukamatwa na kunyang'anywa Laptop ambayo ilikuwa na wakara mzima. Dk Kitilia amefafanua kwamba sababu ya yeye kuandaa waraka huo ilikuwa ni kuleta mabadiliko ndani ya Chama hicho. Kwa

Sekretarieti kuu ya CCM yawasili jijini Mbeya ikiwa na kauli mbiu ya "UMOJA NI USHINDI"

0
0
Sekretarieti kuu ya CCM,ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (pichani kati),Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt Asharose Migiro (kulia) pamoja na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakiwapungia wakazi mbalimbali waliofika kuwalaki mapema leo walipokuwa wakiwasili kwenye Bandari mpya ya Kiwila Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, kwa ziara ya kikazi,wakitokea

Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA

0
0
Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA 1. Katika kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika tarehe 20-22 Novemba 2013, pamoja na mambo mengine, kulijadiliwa waraka wa siri unaojulikana kama Mkakati wa Mabadiliko 2013. Waraka huu ulilenga kujenga hoja ya kufanya mabadiliko ya uongozi na kuanisha mikakati ya ushindi kwa mgombea mlengwa

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

0
0
1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama.  Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa tarehe 22 Novemba 2013, ilielezwa kwamba sababu za kuvuliwa uongozi mimi na Dk

Malawi yaichokoza tena Tanzania ....Rais wao ametangaza kuwa mkoa wa Ruvuma na wananchi wake ni mali ya Malawi

0
0
RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi yake na Tanzania, huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini mwake kutangaza kuwa mkoa wa Ruvuma, viongozi na wananchi wa ukanda wa Ziwa Nyasa ni mali yake.   Aidha, amesitisha safari za meli ya mv Ilala iliyokuwa ikifanya safari kwenye Ziwa Nyasa kusafirisha mazao na wananchi wa ukanda huo upande wa

Aibu: Miss Tanzania arekodi mkanda wa ngono na lili wyne wa bongo, Video yavuja ikimuonesha binti huyo akiwa ameharibiwa vibaya

0
0
Tumenasa tukio la kustajabisha la msichana mmoja ambae ni mrembo namba moja wa Mkoa mmoja jina linahidhiwa akiwa amecheza DVD ya ngono na mwanamuziki chipukizi aliyefahamika kwa jina la Shebo.Tunaomba radhi wasomaji kwa  kuweka picha hizi za wazi mno ili kuonesha jamii upuuzi mzima unaofanywa na vijana wetu ambao ni nguvu kazi ya taifa.Katika  DVD  hiyo, binti  huyu  anaonekana  akimlazimisha

Watoto watekwa , walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

0
0
  Zaidi ya watoto 60 wanadaiwa kutekwa na kufichwa katika handaki lililopo kwenye msitu wa Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni ,Dar es Salaam, ambalo ndani yake kuna jengo kubwa lenye vyumba. Utekaji huo unadaiwa kufanywa na raia wa kigeni (Wazungu), wakishirikiana na Watanzania ambapo watoto hao hufungiwa katika vyumba hivyo, kuteswa, kulawitiwa na kubakwa. Mtoto Emmanuel Robert (11)

Serikali yabariki TANESCO kupandisha bei za umeme....Naibu waziri adai kuwa atakayeshindwa kumudu gharama hizo basi atumie kibatari

0
0
 Naibu Waziri wa umeme, Mh George Simbachawene, amesema kwamba serikali imekubali TANESCO waongeze gharama za umeme kwa 68% kama walivyokuwa wameomba.   Simbachawene ameitoa  kauli hiyo wakati akiongea katika kipindi cha Kumepambazuka kupitia Radio One leo asubuhi.  Amesema kwamba hata kama TANESCO wakiongeza gharama za umeme hadi kufikia Tsh 800 kwa unit bei hiyo ni nafuu kuliko

Mwili wa mwanamamke wakutwa kichakani ukiwa umekatwa kichwa na kufungwa kamba.

0
0
Wanakijiji wa kijiji cha Nyamira  wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba...   Mwili huo  ambao unaonyesha kuwa ni wa  mwanamke mwenye miaka kati ya 25 hadi 35 amekutwa umevaa  jeans pamoja na blouse nyeusi na kutupwa pembeni ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi. Wanakijiji hao wamedai kushtushwa na 

Wabongo waendelea kujipiga za utupu bila Aibu

0
0
Dada  zetu  kama  kawaida  yao   hawakomi kujianika  wakiwa  watupu....  Bila  hiana, kila  picha  au  video  tunayoipata  ni  lazima  tuianika  maana  mtandao  huu  ni  wa kuburudika, kupashana  na  kukumbushana  yanayojiri... Mara  nyingi  hatuweiki  picha  moja  kwa  moja, Picha  na  video  zinawekwa  katika  jukwa  la  wakubwa  ndani  ya  forumu  yetu.... Hakuna  masharti

Mwanaume atembezwa uchi mtaani baada ya kufumaniwa na mke wa mtu jijini Dar

0
0
WANASEMA za mwizi arobaini, ikiongezeka moja mshukuru Mungu! Novemba 16, mwaka huu ilikuwa siku ya aibu kwa bosi Hussein Shaban (35) kufuatia kudaiwa kufumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam. Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara  na mke

CHADEMA wadai kuwa Zitto Kabwe ni Muongo na Mzushi....Kamati kuu yajipanga kutoa ufafanuzi

0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk. Kitila Mkumbo, ni waongo na wazushi. Katika kikao chake cha dharura kilichokutana jana, ikiwa ni siku moja baada ya Zitto na Dk. Kitila kuzungumza na waandishi wa habari, Kamati Kuu ya chama hicho, imesema taarifa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images