Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

VIDEO YA WANAFUNZI WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI DARASANI HUKU WENZAO WAKISOMA

$
0
0
<!-- adsense --> Hii ni aibu  ya  mwaka kwa wanafunzi....!!! Wanafunzi  wawili wamenaswa live  wakifanya  mambo ya  kikubwa  huku wenzao  wakiwa  darasani... Kuna  kufaulu  kweli  hapa?????....AIBU  TUPU Video  ya  tukio  hilo  haitawekwa  humu....Kama  utataka  kuishuhudia  aibu  hiyo  KWA  RIDHAA  YAKO, basi  bofya  hapo  chini.. << WANAFUNZI  WANASWA>> Hawa  ndo  viongozi  wa

HATIMAYE DR. SLAA AKUBALIWA KUOANA NA MPENZI WAKE...

$
0
0
HATIMAYE Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na aliyekuwa mume wa Josephine Mushumbusi( KWA  SASA  NI  MCHUMBA WA DR. SLAA) , Maimbo baada ya kuiona rufaa hiyo haina msingi wowote kisheria. Hukumu hiyo ya rufaa ya  madai ya ndoa Na.32/2012 ilitolewa leo na Hakimu Aniseth Wambura ambapo alisema mahakama yake imefikia uamuzi huo wa kuitupa

DIAMOND ATIA AIBU YA MWAKA....KINGERZA CHAMUUMBUA TENA

$
0
0
KWANZA  NAANZA  KWA  KUMPONGEZA  SANA  DIAMOND maana  akiwa hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya kimataifa. Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio promoter.  Kilichowafanya 

PASTA ATEMBEZWA UCHI HADI KANISANI KWAKE BAADA YA MKEWE KUMFUMANIA NA MWANAKWAYA LIVE

$
0
0
Mtumishi mmoja wa Mungu amejikuta akipata aibu ya mwaka si tu mbele za Mungu bali hata kwa mkewe pamoja na mashuhuda wengine baada ya mkewe kumfumania ‘live’ kitandani akifanya mapenzi na mwana kwaya wa kanisa lake huko Kisumu nchini Kenya.   Habari zilizoripotiwa na mtandao wa Kenyan-Post zinasema msichana huyo mweye miaka 23 amekuwa na mahusiano ya muda mrefu na pasta huyo

MTWARA: ASKARI WATUHUMIWA KUBAKA NA KUMUUA MJAMZITO......INASEMEKANA WANAFANYA MAKUSUDI ILI KULIPIZA KISASI

$
0
0
Askari wakiwa lindoni/doriani, Mtwara ---------------- Hali ya usalama katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa imezidi kuwa mbaya baada ya askari polisi kudaiwa kufanya unyama kwa kuwabaka wanawake na kumpiga risasi mjamzito Mbali na unyama huo polisi pia wanadaiwa kuchoma moto nyumba tatu za wananchi katika mtaa wa Magomeni na vibanda vya maduka kadhaa na kupora vitu vilivyomo

AIBU: MUME WA MTU ANASWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI GESTI

$
0
0
INAUMA sana! Wakati wazazi wakihenyeka na wakati mwingine kujinyima ili mabinti zao waweze kupata elimu bora itakayowasaidia maishani mwao wapo wapuuzi wanaokatisha jitihada hizo. Mwanaume mmoja aitwaye Taliki Juma mkazi wa Temeke – Wailesi jijini Dar es Salaam ameingia  katika  dimbwi la AIBU baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kidato cha pili wakifanya mchezo mchafu.   Mbaya zaidi,

WAASI WA M23 WATISHIA KUTUVAMIA MUDA WOWOTE....SERIKALI YA MKOA WA KAGERA YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI

$
0
0
Serikali ya Mkoa wa Kagera imewatahadharisha wananchi wake kuepukana na wageni wasiowafahamu kwenye maeneo yao kutokana na tishio la kikosi chaM 23 cha nchini Congo DRC kinachotishia kuivamia Tanzania... Kumekuwa na mapigano  makali  kati  ya waasi wa M23  na  vikosi vya serikali  nchini  Congo ambako jeshi letu lipo huko... Waasi  hao  wametishia  kuivamia  Tanzania  muda  wowote  ili

ILE KATUNI YA WABUNGE WA TANZANI WAKIKOJOLEANA YALAANIWA VIKALI NA WABUNGE LEO....ILICHORWA NA GAZETI LA KENYA

$
0
0
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta akiwa Bungeni leo amelaani vikali gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo imelidhalilisha bunge la tanzania. Mh Sitta ametoa kauli hiyo leo asubuhi wakati akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka 2013/2014.  Sitta amesema pamoja na bunge kuwa na mjadala mkali lakini siyo sahihi Kenya

JACKLINE WOLPER NA BABY MADAHA WASHIKANA MASHATI WAKIGOMBANIANA NYUMBA YA KUPANGA

$
0
0
Sakata la wawili hao lilifika polisi na kubainika kuwa Madaha alilipa kodi kwa tapeli wakati Wolper alitoa fedha zake kwa mwenye nyumba hivyo kumfanya awe na haki ya kuhamia.  Akizungumza na mwandishi wetu, juzi jijini Dar es Salaam, Madaha alisema pamoja na kubainika kuwa alitapeliwa, mtu pekee ambaye angeweza kumsaidia kupata fedha zake (shilingi milioni tatu) ni Wolper lakini

"NILIJIUNGA CHADEMA ILI NISAIDIE HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA NA SINA MPANGO WA KUGOMBE UBUNGE" ... PROFESA JAY

$
0
0
Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015 awanie ubunge kama wengi wanavyodhani. Rapper huyo wa ‘Machozi, Jacho na Damu’ ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, ameliambia gazeti la Mwananchi la leo kuwa amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ili kukisaidia chama katika changamoto za kuikomboa nchi. “Kujiunga na

"UHUSIANO BILA KUKUTANA KIMWILI NI KUDANGANYANA"...MSANII TOPE

$
0
0
Muigizaji Tope Osoba amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania na Nigeria ambao wamekuwa wakiolewa na wanaume zao na kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.   “Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili

HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU

$
0
0
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye   mitandao  mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake. <!-- adsense -->

RIPOTI MAALUMU KUHUSU KUACHIWA HURU KWA "RAMA MLA WATU'

$
0
0
Ramadhani Suleiman 'Rama mla kichwa' (kulia) na mama yake mzazi, Khadija (katikati) walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza. ------------ Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemuachiwa huru Ramadhani Suleiman (Rama mla kichwa) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, baada ya kubaini hana akili timamu. Jaji Rose Temba alitoa hukumu hiyo jana kutokana na ripoti ya Dk

JWTZ YAKANUSHA TAARIFA ZA ASKARI WAKE KUJIHUSISHA NA "BIASHARA YA KUKUNUA MALAYA " HUKO CONGO

$
0
0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ, limekanusha taarifa zilizotapakaa kwenye mitandao kuwa askari wa jeshi hilo waliokwenda huko kwa ajili ya kulinda amani,wameanza kujihusisha na makahaba.Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Mtandao wa www.congodrcnews.com umedai wanajeshi wa Tanzania wameanza kujihusisha na ubakaji wanawake katika Mji wa Sake ulioko

MWANAMKE MCHAWI ADONDOKA KANISANI AKIWA UCHI WA MNYAMA JIJINI DAR

$
0
0
Wakati Mtwara kukilipuka kwa vurugu za gesi na kusababisha maafa, jijini Dar kumeibuka taharuki ya aina yake baada ya mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Anna kudaiwa kuwa ni mchawi na kudondokea kanisani. Tukio hilo lililochukua saa kadhaa lilitokea katika Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji linaloongozwa na Nabii Flora Peter lililopo Mbezi Beach Salasala, Dar

WANASHERIA WAAPA KUWASHITAKI WASANII WA KUNDI LA ZE KOMEDY KWA KUWADANGANYA WASICHANA WAPIGE NUSU UCHI ILI WAWE MASTAA

$
0
0
Zile picha za kundi la Ze Komedy la linalorusha kipindi chake kupitia televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria  kuahidi kuzisaidia familia za wazaza wa mabint hao. Wakitoa maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo

BOMU LALIPUKA NA KUWAJERUHI WANAFUNZI 7 WA NABOTI SEKONDARI HUKO IRINGA

$
0
0
 Baadhi ya Maeneo walimo jeruhiwa wanafunzi hao na Mmoja kupatwa na Mshtuko wa Mlipuko wa Mabaki ya Mabomu hayo kutokana na Tatizo lake la Moyo alilonalo na hivyo kupelekea wanafunzi Watano kulazwa Ilembula Hospitali.  Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwajulia Hali wanafunzi hao katika Hospitali ya Lutherani ya Ilembula.  Mwanafunzi Evance Joseph[16]kidato cha

UAMSHO YAKUSANYA SAINI 60,000 ZA KUHOJI MUUNGANO WA TANZANIA...

$
0
0
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kislamu (JUMIKI) imekusanya zaidi ya majina elfu 60 na saini zao kwa ajili ya kudai kura ya maoni ya kukataa au kuukubali Muungano.Akitoa taarifa ya Jumuiya hiyo kwa wandishi wa habari huko hoteli ya Mazson, Naibu Amir wa Uamsho, Sheikh Haji Ali amesema jumuiya hiyo inaamini Muungano uliopo umefanywa bila ya ridhaa ya wananchi.Amesema hivi sasa umefika

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU OPARESHENI INAYOENDELEA MTWARA

"SERIKALI IANGALIE UPYA NAMNA INAVYOLITAZAMA SUALA LA MTWARA"...ZITTO KABWE

$
0
0
Hivi sasa suala hili linaonekana kiusalama zaidi badala ya kuliona kama suala la kijamii na maendeleo lenye kuhitaji kujenga imani ya wananchi.Suala hili linahitaji muda na heshima kwa wananchi. Ni vema tuache sauti ya wananchi kusikika na kuzitolea maamuzi sahihi yenye kujenga kuaminiana na kuheshimiana kati ya dola na wananchi.Suala la Mtwara ni zaidi ya gesi asilia. Ni matokeo ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images