Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

RIPOTI: Ugomvi wa miaka 20 iliyopita wa kanisa la EAGT na TAG waibuka upya baada ya kifo cha Askofu KULOLA

$
0
0
Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (EAGT) linatarajia kuuanza mwezi ujao kwa machungu mapya kabisa huku yale ya kuaga dunia kwa aliyekua Askofu wake mkuu Askofu Moses Kulola yakiwa  hayajapoa.....  Kanisa hilo linatakiwa kusimama mahakamani mwezi ujao Oktoba 1 kujitetea ili waumini wake wasiondolewe kwenye kanisa la Bugando ambako askofu Kulola amezikwa.    Chanzo kimojawapo

Wanasayansi wadai kwamba MWISHO WA DUNIA utafika baada ya miaka bilioni 3.5 ambapo JUA litakuwa kali balaa.

$
0
0
Mwisho wa dunia kwa mujibu wa wanasayansi bado sana. Maisha duniani yataendelea kuwepo kwa miaka bilioni 3.5 mingine. Baada ya hapo wanasayansi wanaamini jua litakuwa kali kiasi ambacho hakuna kiumbe kitakachoweza kuishi. Tangu iwepo, sayari ya dunia imekuwa kwenye umbali sahihi kutoka kwenye jua kiasi cha kuifanya iwe  na maisha. Wanasema tatizo ni kwamba nyota zimeendelea kuchemka

Hawa ndo washindi wetu watatu waliojishindia VOCHA za buku buku kila mmoja

$
0
0
  Leo  asubuhi  tulitoa swali  moja  la  kawaida  kwa  wasomaji  wetu  na  kuahidi  kutoa  zawadi  ya  vocha  ya  sh. 1000  kwa  mshindi  mmoja  wa  kwanza.... Swali  hilo liliambatanishwa  na picha  moja  ya  mdada  na  mkaka  wakiwa  kimahaba  na  kisha  kuhoji  ni  nani  KAJIKOJOLEA.... Katika  picha  hiyo, msomaji  alitakiwa  kuitazama  kwa  makini  na  kisha  kutoa  majibu  yake  kwa  njia

HAKIMU ACHOMWA KISU MAHAKAMANI WAKATI AKITOA HUKUMU HUKO SHINYANGA

$
0
0
  Hakimu wa mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga Mheshimwa Nyanguoa Masaba amejeruhiwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali akiwa Mahakani akitoa  hukumu. Tukio hilo limetokea leo katika mahakama ya mwanzo mjini Shinyanga. Hakimu huyo alijeruhiwa na mlalamikaji katika kesi ya wizi wa Baiskeli wakati akitoa hukumu. Tukio hilo limesababisha mahakama hiyo kusimama kumnusuru hakimu huyo na

Maandamano ya CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI yapigwa marufuku siku ya jumamosi

$
0
0
Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA siku ya Jumamosi yaliyokuwa yamepangwa  kuanzia Tazara hadi Jangwani na Mwenge hadi Jangwani na sehemu mbalimbali ... Taarifa  iliyotolewa  na kamanda Kova  kupitia  ITV   imeeleza  kuwa  Polisi wamechunguza na kugundua kwamba  maandamano  hayo  yataleta usumbufu kwa watu wengine na

MWALIMU MKUU AKUTWA NA BANGI SHULENI.....

$
0
0
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Mukubu, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Silidion Kaiza (43), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na bangi gunia sita.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Philip Kalangi alisema kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 17, mwaka huu, shuleni hapo katika kata na kijiji cha Muganza majira ya saa tano asubuhi.   Alisema kuwa raia wema

PICHA ZA UCHI ZA FLORAH LYMO ALIYEDAI KABAKWA NA GODBLESS LEMA ZAVUJA

$
0
0
Huyu ni Flora Bahati Lyimo ambaye   aliwahi  kutikisa  media  za  Tanzania  kwa  kudai  kwamba  alibakwa  na mbunge  Godbless Lema  wa  Arusha.... Katika  maelezo  yake  ambayo  aliyatoa  katika  gazeti  moja  la  udaku la  hapa  Tanzania, mwana  mama  huyu  alifunguka  kwamba  Godbless Lema  alimbaka  wakati  alipoenda  nje  ya  nchi  kwa  shughuli  za  kichama. Hata  hivyo, madai  hayo 

Picha za Agness Masogange akiwa huru mtaani baada ya kuachiwa kwa DHAMANA

$
0
0
Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana.    Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya Afrika Kusini, Kamishna Toto Mangaleni aliithibitishia Mwananchi jana kuwa watuhumiwa hao wameachiwa kwa dhamana,lakini wataendelea kubaki Afrika Kusini wakati kesi yao ikiendelea.

Mke wa mtu afumaniwa akisaliti ndoa yake na mwanaume mwingine.

$
0
0
  Kijana anayedaiwa kuwa muumini wa kanisa la kilokole (jina tunalo) la jijini Dar,  Faraji Oti amekutwa na mazito akidaiwa kufumaniwa na mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jesca.   MANZESE, DARTukio hilo lililoongeza furaha ya Shetani, lilichukua nafasi mwanzoni mwa wiki hii majira ya 11:00 jioni huko Manzese, jijini Dar. Kwa mujibu wa watu wa karibu na wahusika hao, kisa kilianzia

CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

$
0
0
  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kujiuzulu kwa kushindwa kulipa madeni ya walimu nchini. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana pia ametoa muda wa miezi sita kwa Waziri huyo na Naibu wake Philip Mulogo kutekeleza hilo agizo hilo vinginevyo chama kitawatumia wabunge wake kuwatimua kwa nguvu. Kwa mujibu wa taarifa za madeni

WAPINZANI WAMCHANA RAIS KIKWETE......WADAI AKIENDEKEZA KEJELI DAMU ITAMWAGIKA

$
0
0
  SIKU moja, baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anashangazwa na uongo wa baadhi ya wanasiasa kumtuhumu juu ya mambo mbalimbali kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, viongozi wa vyama vitatu vya upinzani wameibuka na kusema madai hayo hayana msingi wowote. Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Profesa Ibrahim Lipumba (CUF) na James Mbatia (

Tahadhari toka JWTZ kuhusu uvumi wa "AJIRA ZA WATAALAMU JESHINI"

$
0
0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwataarifu Wananchi wote kuwa taarifa zilizoenea kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za mkononi (sms) na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba JWTZ limeanza kuajiri wataalamu Jeshini (Professionals) siyo kweli na halina utaratibu wa kutangaza ajira kupitia mitandao ya kijamii au kupitia simu za mikononi.Kwa kawaida,

BAADA YA TAIFA STARS KUBORONGA - KOCHA KIM POULSEN APIME UZITO WA KIBARUA CHAKE NA AJIUZULU

$
0
0
MAKOCHA wa kigeni wanaoajiriwa kuzinoa timu za soka za taifa Tanzania – Taifa Stars, Kilimanjaro Stars, Ngorongoro Heroes na Serengeti Boys – wana bahati. Matokeo mabaya uwanjani huwa hayana athari zozote katika mikataba yao. Hata baada ya timu zao kufungwa vibaya, huendelea hadi mwisho na hata kuongezewa mpya.   Marcio Maximo wa Brazil aliletwa nchini na serikali kwa mbwembwe mwaka 2006,

CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI wasitisha MAANDAMANO yaliyopangwa kufanyika kesho

$
0
0
Vyama vitatu vya Upinzani vinavyounda Umoja wa vyama vya Upinzani nchini vilivyopanga kufanya maandamano ya amani kupinga baadhi ya vipengele vilivypopo kwenye rasimu ya katiba vimeridhia kuahirisha maandamano hayo yaliyokuwa yafanyike Septemba 21 mwaka huu. Vyama hivyo ambavyo ni CUF,CHADEMA,na NCCR MAGEUZI kwa pamoja vimekubaliana na uongozi wa juu wa jeshi la Polisi nchini

Taarifa mbali mbali toka shirikisho la soka nchini ( TFF ) leo

$
0
0
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaingia raundi yake ya tano kesho (Septemba 21 mwaka huu) kwa mechi huku vinara Simba wakiwakaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uwanja wa Mkwakwani, Tanga utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Mgambo Shooting Stars na Rhino Rangers ya Tabora. Mtibwa Sugar itakuwa mgeni wa Tanzania Prisons katika pambano litakalochezwa Uwanja wa Kumbukumbu

Video ya JANUARY MAKAMBA akiongelea msimamo wake wa kugombea URAIS mwaka 2015 na mambo mengine.

$
0
0
Mahojiano haya yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi. Mambo yaliyozungumziwa:  1. Uendeshaji na mwelekeo wa Bunge,  2. Vijana na Uongozi,  3. Suala la Urais 2015,  4. Mwelekeo wa Chama Cha Mapinduzi,  5. Rushwa na maadili katika Chaguzi. <!-- adsense -->

RAIS KIKWETE AWATOA HOFU WAWEKEZAJI WA MAREKANI KUHUSU TISHIO LA CHINA NCHINI

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHakuna tishio la China – Rais KikweteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa maslahi ya makampuni ya Marekani yanayotaka kuwekeza katika Tanzania hayataathiriwa na kuwepo kwa China katika uchumi wa Tanzania kwa sababu China siyo moja ya wawekezaji wakuu katika uchumi wa Tanzania kwa sasa.Rais Kikwete amesema

Hizi ni picha nyingine za uchi za msanii Manaiki ...Ziangalie kwa makini huenda kukawa na ndugu yako ili sheria ichukue mkondo

$
0
0
Huyu ni  msanii  Manaiki Sanga “The Don” aliyejipatia umaarufu mkubwa nchini na duniani baada ya picha zake za utupu akiwa na wanawake zaidi ya 400 wakiwemo wazungu akifanya nao ngono nzembe   kuvuja  mtandaoni... Hili  ni  toleo  jipya  za  picha  nyingine  za  uchi  ambalo  tunalitoa  kwa  ajili  ya  UTAMBUZI.Ziangalie  kwa  makini  huenda  kukawa  na  ndugu  yako  aliyehusika  na 

Picha za serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa karume mjini musoma mkoani mara usiku wa leo

$
0
0
 Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Karume mkoani Mara.  Madansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya Uwanja wa Karume,ndani ya mji

Daktari FEKI akamatwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar

$
0
0
DAKTARI anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) akisomea Shahada ya Pili.   ‘Daktari’ huyo ambaye amekuwa akitafutwa na uongozi wa chuo kwa zaidi ya mwaka alikamatwa jana asubuhi akiwa hospitalini hapo karibu na jengo kilimo kitengo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>