Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtoto achomwa moto na mama yake akituhumiwa kuiba mayai ya kuku jijini Mbeya.

$
0
0
WIMBI la ukatili dhidi ya watoto linazidi kushika kasi jijini hapa baada ya mtoto, Emilly George (7) Mkazi wa kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbeya kuunguzwa vibaya mikono na mama yake mzazi, Elisia Mwasile (41) kwa maji ya moto kisha kufungiwa ndani kwa siku saba. Akizungumza huku akiwa anatetemeka kwa hofu, mama wa mtoto huyo, Elisia alisema kuwa chanzo cha kumchoma mtoto wake ni kutokana

Irene Uwoya aahidi kufichua SKENDO kubwa na mbaya za ERICK SHIGONGO

$
0
0
Lile bifu linalondelea kati ya mwigizaji Irene Uwoya na mmiliki wa kampuni maarufu ya magazeti nchini Erick Shigongo limeshika sura  mpya baada ya mwigizaji huyo kuapa  kuzianika  hadharani  SKENDO  chafu  za  Erick  Shigongo  huku  akitangaza  wazi  kuwa  haogopi  kufa  wala  kumwagiwa  tindikali... Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii Irene alitundika  maneno  yafuatayo:

NGEDERE ATIMUKA NA BUKTA YA BEKI WA TIMU YA SIMBA....

$
0
0
   Ngedere mmoja kwa jina la Sharobaro amekuwa kivutio katika kambi ya Simba iliyopo kwenye Fukwe za Bamba nje kidogo ya Jiji la Dar, eneo la Kigamboni, ambapo gazeti la Championi Jumatano lilimshuhudia ngedere huyo akivinjari katika vyumba vya wachezaji wa timu hiyo na kucheza na beki wa kikosi hicho, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ lakini baadaye akakimbia na bukta ya mazoezi ya nyota huyo.Mara

JESHI LA POLISI LAPONGEZWA KWA KUMKAMATA MWALIMU ALIYELAWITI WANAFUNZI WANNE MKOANI IRINGA

$
0
0
  Mmoja kati ya  watoto  wanaodaiwa  kulawitiwa na mwalimu huyo.. SIKU chache baada ya Gazeti la Majira kuandika habari ya ukatili wa kutisha dhidi ya mwalimu anayedaiwa kuwalawiti wanafunzi wanne mkoani Iringa, mtuhumiwa huyo amekamatwa na yupo katika mikono ya polisi.Mwalimu huyo anafundisha katika Shule ya Sekondari Wanging'ombe, iliyopo Wilaya Mpya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe, Bw.

URUSI NA UFARANSA WAZIDI KUMUUMIZA RAIS OBAMA.....WADAI SYRIA HAISTAHILI KUVAMIWA NA MAREKANI

$
0
0
Urusi na Ufaransa zimeeleza wazi wazi tofauti zao kuhusu ripoti ya wataalamu wa silaha wa Umoja wa Mataifa, ambayo ilithibitisha kwamba silaha za kemikali zilitumiwa nchini Syria. Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi Sergei Lavrov ambaye alikutana na mwenzake wa Ufaransa Laurent Fabius mjini Moscow jana, alitupilia mbali madai kwamba serikali ya Syria ndio iliyotumia silaha hizo

CHADEMA,NCCR MAGEUZI NA CUF WATOA MSIMAMO WAO MPYA....

$
0
0
  Vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na Chadema  vimeanza kuwasha moto wa katiba baada ya kuanza kukutana na viongozi wa Jukwaa la Katiba Tanzania ikiwa ni harakati za kupinga mchakato wa katiba mpya kwa madai kuwa umehodiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wenyeviti wa vyama hivyo, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Profesa Ibrahim Lipumba (CUF) na Freeman Mbowe (Chadema) jana walifika katika ofisi za

AISHA BUI AKANUSHA MADAI YALIYOSAMBAA KWAMBA " YEYE NI PUNDA " ALIYEFUNGWA BRAZIL

$
0
0
Msanii  wa Bongo Movie Aisha Bui amefunguka kuwa ameshangazwa na madai yaliyoenea kuwa amefungwa nchini Brazil baada ya kunaswa na unga.  Akizungumza na Globalpublishers, Aisha amesema kuwa yeye alimfuata mchumba  wake nchini Brazil na alipoondoka nchini Tanzania aliondoka kimya kimya maana alijua ni lazima watu watazusha mambo na kumpaka matope ya kumchafua.  "Jamani hayo madai ya

MTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA MKOANI LINDI

$
0
0
Hili  ni  tukio  la  kutisha  lililomkumba  mtanzania  mwenzetu  ambaye  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  Lionja  kilichoko  wilayani Nachingwea  katika  mkoa  wa  Lindi... Mtanzania  huyo  alishambuliwa  na  simba  wawili   na  kubakizwa  vipande  vipande   alfajiri  wakati  akielekea  katika  shamba  lake  la  korosho Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuuona mwili wa marehemu. 

Tanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )

$
0
0
HATIMAYE Tanzania imewekwa kando rasmi na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika kuunda Shirikisho la Kisiasa litakaloziongoza nchi hizo. Tayari marais wa nchi hizo, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na Pierre Nkurunzinza wa Burundi wamekwishafikia makubaliano ya kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Rasimu ya Katiba ya

Huu ni ujumbe wa EDWARD LOWASSA kwa wanasiasa WASIOMPENDA....

$
0
0
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema yuko imara na hakatishwi tamaa na maneno ya baadhi ya wanasiasa dhidi ya harakati zake za kisiasa.  Lowassa ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati akizungumza katika harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la African Inland Church of Tanzania (AICT) mjini Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Alisema, wanasiasa wanaomshambulia

Unafahamu maana ya "PEOPLES POWER" ya CHADEMA??...Kama hujui, Waziri MAGUFULI wa CCM ameitafsiri

$
0
0
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema kuwa anafurahishwa na salamu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kuwa kila neno katika salamu hiyo lina maana na linaashiria ushindi.  Magufuli ameyasema hayo wakati akizungumza na viongozi wa sekta ya miundombinu ya barabara wa Mkoa wa Iringa, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi za Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Christine

Ndoa yasambaratika KANISANI ikiwa na dakika chache kabla ya kuidhinishwa...Kisa ni Umalaya wa bwana harusi.

$
0
0
Hili  ni  tukio  la  kusikitisha, lakini  lenye  mafunzo  kibao  ndani  yake.... Tukio  hilo  lilitoke  mwanzoni  mwa  mwezi wa  nane  mwaka  huu ndani  ya  kanisa  la Pentekoste  la  nchini  Kenya  ambapo  wanandoa  wawili    walikuwa  wakila  kiapo  cha  maisha  mbele  ya  mchungaji  wa  kanisa hilo.... Dakika  chache  kabla  ya  wanandoa  hao  kuapishwa  na  kuruhusiwa  kuvishana  pete,

Aibu: Shehena ya Samaki walioharibika yanaswa ikiwa Tabata Bima Jijini Dar ES Salaam

$
0
0
Shehena ya samaki tani 22.5 kutoka nchini China wanaodaiwa kuharibika na kutokuwa salama kwa matumizi  ya binadamu wamekutwa katika eneo la Tabata Bima jijini dar es salaam huku baadhi ya samaki hao wakiwa tayari wamekwishaingizwa  sokoni kwa kuuzwa. Baada ya kuwepo kwa fununu za uingizwaji wa samaki waodaiwa kuharibika kutoka nje ya nchi na  kuingia hapa nchini na kuatarisha maisha

Mpenzi wangu ni MSAGAJI, bado nampenda na kumwacha nashindwa.Naomba ushauri

$
0
0
Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo. Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za kiutandawazi, lakini kwenye hii mada ningependa kuzungumzia hawa wanawake "wasagaji ". Binafsi ni miongoni mwa waathirika wa hayo mabadiliko ya kiutandawazi, kwa kuwa binti ambae nimempenda kwa

Utafiti: Simu za kupapasa ( SMART PHONE ) zina uchafu mwingi kuliko CHOO.

$
0
0
  Simu  ya  kupapasa.  Watafiti wamebaini kuwa baadhi ya vifaa vya kisasa vya mawasiliano vinavyotumika kwa kupapasa kama tablet komputa na smart-phones huwa na vijidudu vingi vya uchafu kuliko hata choo. Bakteria hao huachwa na watumiaji wavifaa hivyo kwa kupapasa vioo vya vifaa kama Apple iPads na Samsung Galaxy tablets kutokana na kutumia bila ya kuosha mikono. Choo Moja ya

Lulu Michael ndani ya MKASI SHOW....Safari hii atatudanganya nini??...Hizi ni picha tano za maandalizi

$
0
0
  Actress Lulu  Michel  is so busy nowadays shooting new movies, media interviews and many more. Today the Swahili movies screen queen was on set shooting her interview with Mkasi Tv show which is aired on East Africa Television.. Kaa tayari kwa vipindi vya Mkasi Vinavyofuata kujua Lulu aliongelea nini. Je Safari hii atatudanganya MIAKA  TENA??         <!-- adsense -->

HII NDO PICHA ILIYOMFANYA AMBER ROSE AACHANE NA KANYE WEST

$
0
0
  SIRI  mojawapo  ya  penzi  la  dhati  ni  heshima.Tendo  la  ndoa pekee  halitoshi  kumfanya  mtu  ajione  anapendwa  na  kuthaminiwa.... Katika  hali  ya  kawaida, utajisikiaje  mpenzi  wako  akikupiga DOLE   la  makalioni  mbele  wa  watu  kiasi  hiki?. Ni  ishara  ya  kupendwa  au  kudharauriwa... Kwa  Amber  Rose, hii  ilikuwa  ni  dharau  tosha  aliyowahi  kutendewa  na  Kanye west  

DIVA WA CLOUDS FM AMTIBUA TENA ZITTO KABWE.

$
0
0
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness  Malinzi ‘Diva’ amesema alichokuwa anahitaji katika sakata lake la kudai ameibiwa ‘idea’ ya Kigoma All Star East Africa Tour na Mhe. Zitto Kabwe ni kupewa heshima yake (appreciation) tu. Katika maelezo yake, Diva amefunguka kuwa walijadili na Zitto kuhusu idea hiyo lakini badala yake akashangaa mheshimiwa anampotezea katika

HII VIDEO NI KWA AJILI YA AKINA KAKA TU....Ni ya binti akikata mauno kama hana akili timamu

$
0
0
Baada  ya  kupashana  kwa  habari  motomoto za  matukio  ya  kila  siku  hapa  nchini, si  mbaya  pia  tukiwa  tunaburudika  japo  mara  moja moja.... Hizi  ndo  faida  za  utandawazi.Huyu  ni  binti  wa  kinigeria  akikata  mauno  kama  hana  akili  nzuri. Nadhani  mzuka  ulimpanda.... Kwa  matukio  mengi  ya  aina  hii, usikose  kujiunga  na  forum yetu  ya  MZALENDO  FORUM... << BOFYA 

Toka Maisha ya UTEJA mpaka kutembelea gari...Hili ni gari jipya alilonunua RAY C...Anasema huo ni mwanzo tu

$
0
0
STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’  ameamua kuianika  gari  yake  ambayo anatembelea kwa sasa ... Gari  hilo  ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family.....  Pongezi  za  kutosha  zikufikie  Ray C  popote  ulipo. Huo  ni  mwanzo  mzuri 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images