Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole,Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka
Rais Shein amtembelea padri aliyemwagiwa tindikali mjini UNGUJA
↧
↧
Serikali yakata mawasiliano na WAPINZANI...Yaapa kutowaalika tena IKULU
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira,
amesema wapinzani wasitarajie tena kukaribishwa Ikulu, kutokana na
msimamo wao wa kususia mjadala wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, wakati wa kikao cha Bunge mjini
Dodoma hivi karibuni, kwa majadiliano mengine.
Waziri Wassira, alitoa kauli hiyo siku moja baada ya wasomi,
↧
SHEMEJI yangu ananitaka kimapenzi....Naombeni ushauri wenu
Nina rafiki yangu ambaye ni kama
ndugu,tumetoka mbali sana na sasa ni kama mtu na kaka yake.Jamaa yangu
huyu(hajaoa) alikuwa na dem flani lakini walishindwana kwa matatizo
yao binafsi wakawa wameachana kama mwaka mmoja uliopita.
Kwa kuwa nilikuwa nishatambulishwa kwa
shemej yangu huyo basi hata baada ya kuachana na jamaa yangu tukawa
tunasalimiana,iko siku ananipigia na mimi kuna siku
↧
Mwakyembe abaini kutobolewa kwa bomba la mafuta bandarini....Atoa siku 2 za kuwabaini wahusika
Waziri wa uchukuzi Dkt. Harrisoni Mwakyembe
amebaini wizi wa mafuta katika boya la mafuta mjimwema na kuagiza
maskari wa usimamizi wa bandari Tanzania kuwakilisha majina ya wahusika
ndani ya siku mbili. Mwakyembe ameyasema hayo wakati akizungumza na
wafanyakazi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) na
kulaani kitendo cha baadhi ya watu kutoboa bomba hilo na kuunganishia
↧
Dk. Slaa aelekea Mbeya kumsafisha Sugu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk.
Willbroad Slaa, leo anatarajia kuongoza mapokezi makubwa ya kumpokea
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Mbunge huyo anafanyiwa
mapokezi hayo, ikiwa ni siku tisa tangu kutokea kwa vurugu kubwa
bungeni, baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuamuru Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, kutolewa
↧
↧
Jeshi la Rwanda lasogezwa mpakani....Majeshi ya SADC yaendelea kujiweka tayari kwa lolote
VIKOSI vya wanajeshi vya Serikali ya Rwanda vyenye silaha za kivita,
sasa vimesogezwa katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Taarifa ya kusogezwa kwa vikosi hivyo
mstari wa mbele katika eneo la mpakani, imetolewa jana na Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).Katika taarifa yake hiyo,
SADC imeeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Rwanda kusogeza
↧
Nape amtaka MBOWE ajiuzulu haraka....Awashauri wananchi kutumia busara katika uchaguzi ujao
Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape
Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu
nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo.
Wito huo uliutoa mjini Shinyanga Ijumaa jioni alipokuwa
akihutubia mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya siku Nne ya
Katibu Mkuu wa Chama hicho, Abdulrahman Kinana katika mkoa huo.
↧
"Erick Shigongo ameamua kunichafua magazetini kwa kuwa nina kesi nae mahakamani"...Irene Uwoya.
Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya iphone
5 toleo jipya la mwaka huu ambapo habari hiyo iliripotiwa jana katika gazeti la
Risasi na kutawala mitandao mingi ya kijamii.
Katika utetezi wake alioutoa kupitia ukurasa wake instagram, Irene Uwoya amesema kuwa chanzo cha
kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake za kesi
aliyomfungulia Shigongo
↧
Video ya ngono ya wanafunzi wengine wa Chuo / College yanaswa.
Baada ya video wa wanafunzi wa chuo/ college flani kunaswa na mtandao huu miezi minne iliyopita, mpekuzi wetu amefanikiwa kuinasa video nyingine ya wanafunzi ambao waliamua kuigeuza HOSTEL yao kuwa GESTI....
Katika video hii, wanafunzi wawili ambao wanasomeshwa kwa jasho la wazazi wao wanaonekana wakivunja amri ya sita ndani ya HOSTEL huku wakiwa
↧
↧
Tanzania yatuhumiwa kuwabaka raia wa Malawi....Kurugenzi ya idara ya habari yakanusha
Msemaji
wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah
Mwambene akitoa ufanunuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Dar es
salaam juu ya taarifa zilizochapishwa na gazeti la Malawi News kuwa
Wamalawi waishio nchini Tanzania wanaogopa kutoka nje kutokana na
ubaguzi wanaofanyiwa na Watanzania taarifa ambazo sio kweli.
Msemaji
wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi
↧
Umewahi shuhudia ugomvi wa Mbwa na Jogoo?...
↧
Hii ni video ya akina mama Wakimlilia sheikh ponda alipofikishwa mahakamani leo
Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima
dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda
Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri
halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa...
Hii ni ripoti ya ITV ikiwaonesha wafuasi wake wakiwemo akina mama ambao walikuwa wakitokwa machozi
↧
Sekondari ya Iliboru yafungwa kwa hofu ya kuchomwa moto na wanafunzi
SHULE ya Sekondari ya Ilboru, jijini Arusha imefungwa kwa muda usiojulikana kuanzia leo baada ya kuwepo hofu ya kuchomwa moto.
Uchunguzi wa madai ya shule hiyo
kuchomwa moto, unaendelea kufanywa huku ikielezwa kwamba wanafunzi wanne
wanahojiwa na polisi wilayani Arumeru ili wasaidie kubaini ukweli juu ya
madai hayo.
Wanafunzi wengine 10 inadaiwa wamepewa barua za kusimamishwa
↧
↧
Wizara yatoa onyo kali kwa balozi wa China aliyehudhuria mkutano wa CCM
Serikali kupitia Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imehadharisha mabalozi
wanaowakilisha nchi zao nchini, kuepuka kujihusisha na mambo ya ndani.Hadhari
hiyo imetolewa jana katika taarifa ya wizara hiyo kwa vyombo vya habari,
baada ya Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Lu Younqing, kuonekana
katika mkutano wa hadhara wa CCM, akiwa amevalia kofia yenye nembo ya
chama
↧
Chege na Temba kuanza ziara ya miezi 3 Ulaya wiki ijayo.Ommy Dimpoz naye yuko Marekani.
Wasanii wa Kundi la TMK Wanaume Family Chege na Temba wanatarajia kuanza ziara ya miezi 3 barani Ulaya kuanzia wiki ijayo.
Akizungumza na mwandishi wetu, meneja wa kundi hilo Said Fella amesema leo
ndio wanategemea kupata Visa na wiki ijayo (September 25) Chege na Temba
wataondoka nchini wakielekea nchini Sweeden ambako watafanya show ya
kwanza (October 5).
Temba na Chege
↧
Aibu: Mzee wa miaka 95 amuoa mwanaume mwenzake wa miaka 65 huko Marekani
Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya
pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia
moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya
kufikia uamuzi wa kuoana.
John Banvard mwenye miaka 95 alimuoa Gerald Nadeau mwenye miaka 67 huko Diego, California Marekani.
Tukio hilo limeonekana kutoungwa mkono na baadhi
↧
JOHARI na CHUCHU HANS WAPIGANA HADHARANI KISA PENZI LA RAY ( Vicent Kigosi)
Kuna habari ambazo zilianza kusambaa mitandaoni jana kuwa mastaa wa filamu nchini
Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji
mwenzao Vicent Kigosi(Ray).
Inadaiwa kuwa Johari ndiye amemfumania
Chuchu nyumbani kwa Ray maeneo ya Sinza, Dar es salaam na wawili hao
kuanza kufumuana makonde na baadaye Ray kuwahi kuwaamulia kabla mambo
hayajaharibika zaidi.
↧
↧
"Hakuna sheria inayomlazimisha Kikwete asisaini mswada wa sheria...Maandamano ya wapinzani hayatasaidia kitu"..Chikawe
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathis Chikawe amesema Rais Jakaya
Kikwete hana mpango wa kuongeza muda wa uongozi wake baada ya 2015 kama
baadhi ya wanasiasa wanavyodai.
Kadhalika, waziri huyo amesema hakuna sheria
inayomlazimisha Rais kusaini muswada wa sheria yoyote inayopitishwa na
Bunge na wala inayoweka muda maalumu wa kutekeleza wajibu huo.
↧
Waliolipua mabomu katika mkutano wa CHADEMA jijini Arusha wakamatwa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw Magesa Mulongo.
WATUHUMIWA walioingiza mabomu ya kurushwa kwa mkono yaliyotupwa Arusha Mei na Juni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti na kwenyemkutano wa wa hadhara wa Chadema, Soweto mkoani Arusha, wamekamatwa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, alisema hayo jana katika mkutano wa siku moja wa kuzungumzia fursa za
↧
Nay wa Mitego aonja jeuri ya TRAFFIC....Apigwa faini kwa kukaidi amri ya kujisalimisha.
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limemkamata msanii nyota wa muziki wa
Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa kosa la kuendesha
gari kwa mwendo wa kasi wakati alipokuwa akiwahi shoo ya Fiesta
iliyofanyika mjini hapa Jumapili iliyopita.
Kwa mujibu wa askari
mmoja wa kikosi cha usalama wa barabarani aliyeomba hifadhi ya jina lake
kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, walimkamata
↧
More Pages to Explore .....