Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CCM yajisalimisha kwa Tundu Lissu baada ya kuiomba mahakama ifute Rufaa ya kupinga ubunge wake.

$
0
0
WAKATI rufaa ya kupinga ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) ikitarajiwa kuanza kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Wakili wake, Godfrey Wasonga, kimeiomba mahakama hiyo kuifuta kesi hiyo. Kwa mujibu wa wakili huyo, sababu ya kuomba kufutwa kwa kesi hiyo ni kutokana na walalamikaji wote kujitoa na kuapa mahakamani kuwa

Polisi mkoani Dodoma yashindwa kumfikisha mahakamani mbunge SUGU wa Mbeya mjini

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeshindwa kumpandisha kizimbani Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), kwa madai kuwa upelelezi bado haujakamilika. Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ alifunguliwa jalada na jeshi hilo Ijumaa iliyopita, akidaiwa kumjeruhi jichoni askari wa Bunge, Koplo Nikwisa Nkisu. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Wakili wake, Tundu Lissu,

Rais Kikwete awapa MAKAVU wanaoudharau utendaji kazi wake....Adai 2015 atawaumbua kwa AIBU,.

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji wake, wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015 huku akiwananga baadhi ya wanaCCM kwa kushindwa kuyaelezea mafanikio ya Serikali chini ya chama hicho.    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme katika mikoa ya Mwanza na Geita unaofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), Rais Kikwete alisema:

Ndoa ya mzee MAJUTO yavunjika

$
0
0
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo. Ndoa hiyo ambayo ilifungwa kwa siri jijini Dar Julai 28, mwaka huu na kudumu siku 44, inaonekana imevunjika rasmi baada ya Mzee Majuto kutoa talaka kupitia kwa msanii wa filamu aitwaye Rehema Omary

Picha za UCHI za binti wa kibongo zavuja....

$
0
0
Utandawazi  umeendelea  kuwaangamiza  dada  zetu  wanaopenda  kuiga  mambo  wasiyoyajua.... Katika  upekuzi  wetu, mtandao  huu  umefanikiwa  kuzinasa  picha  za  mrembo  huyu akiwa  katika  pozi  la  nusu  uchi. Hii si  mara  ya  kwanza  kwa  mtandao  huu  kuzinasa  picha  za  mrembo huyu ambazo  husambazwa  na  yeye  mwenyewe  kwa  wapenzi  wake  na  mashosti  zake.... Mapema  mwezi wa 

Msanii azianika nyeti zake jukwaani wakati akipiga show

$
0
0
Msanii  toka  nchini  Nigeria  amejikuta  akijitia  aibu  ya  mwaka  baada  ya  kuzianika  nyeti  zake  hadharani  wakati  akitumbuiza  jukwaani.... Aibu  hiyo  ilimpata  kutokana  na  kivazi  kifupi  cha  nusu  uchi  alichokuwa  amekivaa  siku  hiyo  huku  akiwa  hajavaa  KUFULI  (  CHUPI / NGUO  YA  NDANI )... <<  BOFYA  HAPA  KUIONA   PICHA  YAKE>> Picha  siyo  nzuri. Ni  uamuzi  wako 

Mwanamke akamatwa uwanja wa ndege akiwa na mimba bandia iliyokuwa na madawa ya kulevya.

$
0
0
Kila kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa hizo. Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo

Reginald Mengi na waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati

$
0
0
MWENYEKITI Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wameingia katika mzozo mzito kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi. Katika mzozo huo, Mengi amemshambulia Waziri Muhongo kwa kumwita ni mwongo, mpotoshaji na mwenye lengo la kuwatoa Watanzania kwenye hoja ya msingi ya rasilimali yao ya gesi. Mengi alitoa kauli hiyo

Baba afikishwa mahakamani baada ya kumbaka mwanae

$
0
0
MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia.  Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Paulo Kimaro alidai mahakamani kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 9 mwaka huu nyumbani kwa mtuhumiwa huyo alipombaka mtoto huyo, mwanafunzi wa darasa la saba.  Alidai siku hiyo mke wake alitoka na

Tundu Lissu atunisha msuli....Akataa uamuzi wa CCM kutaka kuifuta kesi yake

$
0
0
WAKATI viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwasili mjini Dodoma kuungana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, katika rufaa ya kupinga ubunge wake inayoanza kusikilizwa leo, mbunge huyo amekataa uamuzi CCM kutaka kuifuta kesi hiyo. Juzi CCM kupitia kwa wakili wake, Godfrey Wasonga, iliwasilisha barua katika Mahakama ya Rufaa Dodoma na nakala kwa Lissu ikiomba mahakama hiyo

Mtanzania anaswa AKILAWITIWA na Mzungu CHOONI...Wajitetea na kudai walikuwa wananyoana Ma**u****

$
0
0
MDOSI au Kanjibai aliyefahamika kwa jina moja la Milah ambaye ni bosi wa kampuni moja ya ujenzi yenye makao yake Mwenge jijini Dar alinaswa chooni akiwa na mfanyakazi wake, John Carlos ‘Shabani’ (watu walimpachika jina la Shabani kutokana na Kanjibai wa kwenye Komedi) ikidaiwa walikuwa katika mazingira ya ulawiti... Ishu hiyo nzito ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo wawili hao

Jokate ataja sababu nne zinazowafanya wanaume WAMMEZEE MATE na kumtongoza kila siku

$
0
0
 MREMBO anayefanya vizuri katika mambo mengi nchini, Jokate Urban Mwegelo (pichani) ametaja sababu nne zinazowafanya wanaume kumzimikia, akiwemo nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.  Akiandika katika mtandao wake wa Kidoti Life Style, Jokate, mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2006, alizitaja sababu hizo kuwa ni kujiamini, kujitegemea, kupendeza na tabasamu muda wote.  “Kujiamini

Mtuhumiwa ajikojolea Mahakamani huko Morogoro

$
0
0
MTUHUMIWA, Manfred Adam anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua katika hali isiyotarajiwa amelimwaga kojo katika Mahakama ya Mwanzo na kuleta vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa meza ya Mahakama ya Mwanzo ya Mazimbu mkoani  Morogoro mwanzoni mwa wiki hii.  Katika vurugu hizo zilizolazimisha shughuli za mahakama kusimama kwa muda wa saa mbili, askari wawili waliokuwepo eneo la tukio

Padri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar

$
0
0
  Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar  na  kusababishiwa  maumivu  makali sana. Habari zaidi zitawajia baadaye.<!-- adsense -->

Video ya Padri aliyemwagiwa tindikali huko Zanzibar na kuumizwa vibaya.

$
0
0
Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba    <!-- adsense -->

Ray C na Zamaradi Mketema waingia katika bifu zito....Kisa ni PENZI la mwanaume

$
0
0
  So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:   Picha hiyo aliiandikia maneno haya: Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!

Shilole atachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kuianika CHUPI na SHANGA za kiunoni hadharani

$
0
0
WENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Iringa.   Shilole alipanda jukwaani akiwa anacheza wimbo wake wa ‘

Ripoti ya gazeti la MWANANCHI kuhusu Padri aliyemwagiwa tindikali jana huko Zanzibar

$
0
0
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.  Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu

Irene Uwoya akamatwa na polisi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5

$
0
0
MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.   Kwa mujibu wa habari za kipolisi, mmiliki wa simu hiyo  ni mwanamme aliyejulikana kwa jina la Mohammed Marjey, mkazi wa Dar.   Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha

"Namshukuru mungu maana sina UKIMWI...Mwenye wivu ajinyonge"..Recho

$
0
0
Msanii  wa  Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja  jasho  la  furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama.   Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Sinza Palestina ambapo Recho alienda kupima katika Hospitali ya Amen iliyopo Sinza ambapo kabla hajapata majibu hayo alikuwa akihaha huku na kule kutokana na wasiwasi.   Baada ya vipimo hivyo, Recho alipewa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images