Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

$
0
0
  Naibu katibu mkuu wa CCM bara, Mh. Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa Iramba  amefunguka  kuwa  vurugu zilizotekea bungeni wiki  iliyopita  zilisababishwa na kambi ya upinzani kukosa akili na kutumia nguvu kubwa .... Akiongea  na  mpekuzi wetu , Mwigulu  ameitupia  lawama  kambi  ya  upinzani  na  kudai  kuwa  kambi hiyo  imekuwa ikitumia nguvu nyingi  badala ya

Taharuki kubwa yaibuka katika mpaka wa Rwanda na Tanzania.

$
0
0
Taharuki imeibuka katika mpaka wa Tanzania na Rwanda wakati madereva wa malori kutoka nchini wakihaha kuvuka kuingia Rwanda kabla ya kuanza kutumika kwa ushuru mpya wa barabara ambao unaanza kutumika tena leo kwa upande wa Rwanda ukilenga magari kutoka Tanzania tu.   Rwanda iliongeza ushuru kwa zaidi asilimia 229 dhidi ya magari ya mizigo ya Tanzania tu kutoka viwango vya zamani vya

Mtandao wa fedha haramu wabainika kuwepo Tanzania

$
0
0
Mtandao wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi milioni 250. TAZAMA  RIPOTI  YA  ITV  HAPO  CHINI <!-- adsense -

Jokate afunguka baada ya kutuhumiwa kugawa URODA kwa LUCCI ili auze sura

$
0
0
Baada  ya  kutuhumiwa  kugawa  uroda  kwa  Lucci  ili  aweze  kuuza  sura  katika  video  mpya   ya  "dada, kaka" , Jokate  ameamua  kufunguka  na  kuzikanusha  tuhuma  hizo.... Huu  ni  ujumbe  wake  alioutoa  instagram. "Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu.  1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and

Alex Massawe afikishwa mahakamani huko Dubai

$
0
0
Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), kuiomba Serikali ya nchi hiyo kumkamata.  Massawe anayetarajiwa kuletwa nchini wakati wowote kuanzia sasa, alikuwa anatafutwa na Polisi wa Tanzania kwa muda mrefu na alikamatwa Dubai,

Ndugai na Mbowe walivunja kanuni za Bunge MAKUSUDI kwa maslahi ya vyama vyao.....

$
0
0
Kumekuwa na mjadala mkali kuhusu iwapo Naibu Spika, Job Ndugai alikiuka Kanuni za Bunge katika kushughulikia vurugu zilizotokea Bungeni Alhamisi iliyopita kwa kuamuru kutolewa nje kwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.  Ndugai ambaye alikuwa kiongozi wa shughuli za Bunge siku hiyo, aliwaamuru askari kumtoa nje Mbowe baada ya kukaidi amri yake ya kutaka kuketi

Haya ndo mashitaka matatu aliyosomewa makamu wa Rais wa Kenya mbele ya mahakama ya ICC

$
0
0
  William Ruto amekana mashtaka yote yanayomkabili kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Fatou Bensouda anayesimamia kesi hiyo, alisema watuhumiwa wawili waliofikishwa mahakamani hapo jana, Ruto na mtangazaji wa Redio, Joshua arap Sang wanakabiliwa na mashtaka matatu kila mmoja, ambayo ni kuwalazimisha watu kukimbia makazi yao, mauaji na

"CHADEMA wamepewa mamilioni ya fedha na wazungu ili wakwamishe mchakato wa katiba mpya"..Nape Nnauye

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibua madai mazito dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuwa kimepewa mamilioni ya fedha kutoka nje ya nchi, kwa nia ya kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya.  CCM kimeibua tuhuma hizo, ikiwa ni siku chache baada ya wabunge wa upinzani kupigana ngumi na askari wa Bunge muda mfupi baada ya kupitisha hoja ya kujadili Muswada wa Sheria ya

Gari la kubebea wagonjwa lakamatwa likitumika katika wizi ndani ya Mgodi wa Geita

$
0
0
Mwandishi wa habari Denice Stephano anaripoti kwamba gari la kubebea wagonjwa  limekamatwa likitumika katika wizi ndani ya mgodi wa Geita na kufanya wapatikane watuhumiwa tisa wa kesi ya wizi wa mafuta katika mgodi huo wa Dhahabu ( GEITA GOLD MINE ).    Mwendesha mashitaka wa polisi Inspekta Abiner ameiambia mahakama September 9 2013 kwamba 5/09/2013 saa 7:30 usiku huko eneo la Geita

Video ya binti wa kidato cha nne akisimulia jinsi alivyotongozwa na Diamond ( Simulizi la UONGO)

$
0
0
MREMBO Sasha Juma, 20, kwa sasa anapitia kipindi cha majuto, analipia gharama ya kujivalisha ubandidu na kujisingizia kupewa mimba na supastaa, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’. Sasha, akiwa na macho makavu, alitamka mbele ya waandishi wetu kuwa mimba hiyo aliyopewa na Diamond, ilimgharimu kufukuzwa shule akiwa kidato cha nne mwaka jana.  Unadhani Sasha analo tena? Ameshaumbuka na baada ya

SADC yamuonya Kagame kuhusu mipango yake ya kuivamia Tanzania baada ya kuomba msaada wa kijeshi toka Kenya na Uganda

$
0
0
MZOZO wa kidiplomasia alioibua Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa unaonekana kuchukua mwelekeo mpya, baada ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kumuonya kiongozi huyo kuacha mara moja fikra zozote mbaya dhidi ya Tanzania, MTANZANIA Jumatano limedokezwa.  Habari za uhakika na za kuaminika kutoka miongoni mwa viongozi wa juu wa SADC na maofisa wa

Mnyarwanda AJINYONGA baada ya kuamriwa arudi kwao RWANDA

$
0
0
Raia wa Rwanda amejinyonga kwa kamba chumbani kwake, tukio linalohusishwa na zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuwasaka wahamiaji haramu na kuwarejesha makwao.Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio, marehemu anatajwa kuwa ni Francis Mathias (75), ambaye alikuwa mkazi wa kitongoji Kikukuru kata Kikukuru, tarafa Mabira wilayani Kyerwa mkoani Kagera.Mwenyekiti wa kitongoji cha

Hakimu apigwa na wanajeshi wa JWTZ huko karagwe kwa kudhaniwa kuwa ni Mnyarwanda

$
0
0
Matendo Manono (kushoto) Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Matendo Manono ambaye ni Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera amelalamikia kitendo cha kupigwa na kujeruhiwa vibaya na Askari wa Tanzania, katika zoezi la kuwaswaga wahamiaji haramu wa kinyarwanda wanao ishi nchini Tanzania.    Soma maelezo ya hakimu huyo hapo chini... " i have a serious

Mwandishi wa gazeti la MWANANCHI akatwa katwa mapanga mkoani SINGIDA

$
0
0
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na mwananchi mkoani Singida, Awila Silla amenusurika kuuawa na mtu anayedhaniwa kuwa Jambazi baada ya kukatwa katwa  mapanga kichwani na kusababisha kuzirai. Tukio hilo limetokea juzi saa mbili usiku jirani na mahakama ya mwanzo ya Utemini mjini Singida.  Awila ambaye amelazwa wodi 2   katika hospitali ya mkoa amedai kuwa  baada ya kukutana na

Pesa zazidi kumwagika kwa DIAMOND...Haya ni mamilioni aliyopewa na VODACOM

$
0
0
Msanii wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh 50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni Salum Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania.

Diamond ajibu tuhuma za KUMTUNDIKA MIMBA mwanafunzi na zile za wimbo wa Dayna

$
0
0
  Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake.  Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti

Ray C alianika "shairi la penzi lake" instagram...Albam yake mpya iko jikoni inapikwa

$
0
0
Haya wale wenye kiu na ujio mpya wa Ray C mnaweza kuanza kuandaa makoo yenu sababu chakula kimeshawekwa jikoni na muda si mrefu mnaweza kukaribishwa mezani. Ray C ameshea picha kadhaa akiwa studio na wadau mbalimbali akiwemo Bab Tale na Said Fella, na kama haitoshi ameweka mashairi ya wimbo wake ambao unaonekana ndio aliokuwa akiurekodi wakati anapiga picha hiyo na kuandika “Mashairi

Hiki ni kilio cha Bondia Rashid Matumla baada ya mdogo wake kukamatwa na dawa za kulevya

$
0
0
Bondia Rashid ‘Snake man’ Matumla amedai endapo itathibitika mdogo wake Mkwanda anajihusisha kusafirisha dawa za kulevya atakuwa ameipa fedheha familia yao. “Mkwanda ameipa fedhea familia yetu, hii ni aibu kubwa ukizingatia vitendo hivyo vinakatazwa si Tanzania tu bali na kwenye nchi nyingine” Mkwanda ambaye kwa mujibu wa Rashid alipumzika kucheza ngumi miaka kadhaa iliyopita kutokana

Pongezi za dhati kwa mmiliki wa "UDAKU SPECIALLY BLOG" kwa kufunga ndoa.

$
0
0
Pongezi  za  dhati  zikufikie  Mmmliki  wa  Mtandao  wa  Udaku  specially  blog  kwa  kufunga  ndoa.Ni  uamuzi  wa  busara  sana  na hiyo  ni  hatua  muhimu  sana  katika  maisha  ya  mwanadamu.. Mpekuzi blog  inawatakia  maisha  marefu  yenye  heri  na  baraka. Mr and Mrs John Kiandika Someone husband in the middle........ Wat a nice  smile !

"Kwa sasa Sina MPENZI ....mwenye nia ya dhati ANITAFUTE"...Baby Madah

$
0
0
  Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records  ya jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano ambayo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.   Katika interview hiyo, baby Madaha  ametaja mambo matano ambayo anasema mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images