Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Meli ya Tanzania yakamatwa na madawa ya kulevya Italia...

$
0
0
MV Gold Star ikiungua baada ya kuchomwa moto na wasafirishaji wa madawa ya kulevya. Moshi mkubwa ukitoka katika meli hiyo baada ya wahusika kujitosa majini.MV Gold Star ikipelekwa katika Bandari ya Sicilia.   -NI MV GOLD STAR -WATUHUMIWA WAICHOMA MOTO KUPOTEZA USHAHIDI, WAJITOSA MAJINI -ILIKUWA NA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA BILIONI 126.5

Mama lishe abakwa na Afisa tarafa na kuumizwa vibaya

$
0
0
AFISA Tarafa ya Kaliua Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Josephat Brown anatuhumiwa kumbaka mama lishe na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea Agosti 29 mwaka huu, saa tano usiku nyumbani kwa afisa tarafa huyo baada ya kumrubuni mama huyo (jina) mwenye miaka (38) katika baa iitwayo Leaders akitaka ampelekee nyama ya kuku ana wageni. Kwa

Madiwani wataka SHERIA ya kuwalazimisha WANAUME kwenda KLINIKI itungwe

$
0
0
BAADHI ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wameomba itungwe sheria ndogo, kushinikiza wanaume kushiriki huduma ya kliniki kwa lazima. Wametaka sheria itungwe ili atakayekaidi, achukuliwe hatua za kisheria na kupata adhabu kali. Walisema kuwepo kwa sheria hiyo, kutapunguza idadi ya wanawake wanaokwenda kliniki peke yao, na kusaidia wajawazito kupata huduma mbalimbali.

Ripoti ya gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuhusu msanii maarufu aliyenaswa na madawa ya kulevya Brazil

$
0
0
SAKATA la madawa ya kulevya kusafirishwa nje au kuingizwa nchini na kuwafikia vijana wanaoharibika kila kukicha, limezidi kuchukua nafasi ya kipekee baada ya ripoti mpya kabisa kutoka juzi... Aisha Bui anayedaiwa kufungwa nchini Brazil. Kwa wiki iliyopita, Ijumaa Wikienda lilipekenyua maeneo yote muhimu na kukumbana na mambo mapya kuhusu habari za ‘unga’ huku taarifa zikionesha kuwa,

Waziri Magufuli azomewa mbele ya Rais jijini mwanza

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete jana alipata wakati mgumu, baada ya kukutana na nguvu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza katika ziara yake, huku Waziri wake wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, naye akijikuta akizomewa mbele yake. Mbunge wa Nyamagana, Ezekia Wenje, alivunja mwiko baada ya kujiunga katika msafara huo wa raia akiwa na gari lenye alama za Movement for Change (M4C

Picha za kikatili za mwanamke aliyeuawa kwa kutobolewa KOROMEO

$
0
0
Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Polisi wa kituo cha Kawe wakiukagua mwili wa marehemu Yusta. Mtuhumiwa wa mauaji, Musa Senkando. Mwili wa marehemu Yusta ukipelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya

Picha za msanii RECHO akisuguliwa nyeti zake wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta- 2013

$
0
0
MSANII kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT), Winfrida Josephat 'Rachel' akifanya vituko  vyake stejini wakati wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2013. <!-- adsense -->

Mzungu wa African Barrick Gold atiwa mbaroni kwa kumtelekeza mtoto aliyezaa na binti wa KITANZANIA

$
0
0
Andre akiwa na mzazi mwenzie akimsihi aondoe shauri hilo  mahakamani   Andre akiwa na mtoto wake nje ya mahakama ANDRE LAPIERRE (50) MFANYAKAZI WA MGODI WA BULHYAHULU  Mzungu akitoka kusikiliza shauri lake chumba cha mahakama ambapo shauri hilo liliahirishwa mpaka tarehe 4.10.2013 ambapo alidhaminiwa na wadhamini wawili .   Raia wa nchini Canada ambaye ni mfanyakazi wa

Jack Wolper awataka wasanii wa kike WAJIHESHIMU kwa kutovaa mavazi ya nusu UCHI.

$
0
0
Muigizaji wa filamu za  kibongo  maarufu  kwa  jina  Jackline Wolper amewaasa waigizaji wenzake wa kike kuacha kuvaa nguo za nusu uchi kwani ni kinyume na mila na tamaduni za kitanzania . Wolper aliyasema hayo kufuatia kupigiwa kura na kushinda kama muigizaji wa kike mwenye muonekano wa kistaa... Akizungumza katika kipindi cha filamu cha Take One kinachorushwa Clouds Tv , Wolper

Millen Magese akiwa katika pozi la NUSU UCHI.

$
0
0
Anajiita, MODEL, au  MISS  TANZANIA.Ni  binti  wa  kibongo  maarufu  kwa  jina  la  Millen Magese  akiwa  katika  pozi  la  KICHUPI  style  lililoanzishwa  na  WAKOLONI  maarufu  kwa  jina  la  wazungu na  kupokelewa  kwa  mikono  miwili  na  baadhi  ya  mabinti  wa  kibongo  hasa  mastaa.... Kichupi  style  imekuwa  na  madhara  makubwa  sana  kwa  WANAUME  tangu  kuanzishwa  kwake..Moja  ya

Napenda PESA zake tu ila sitaki NIMVULIE nguo zangu na sitaki KUNGONOKA nae...naomba ushauri

$
0
0
  Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa. Anatoa huduma zote kwangu kifedha kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli...nataka hela zake tu Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui

Pikipiki aina ya JINYEE yasababisha kichapo kikali kwa mfanyabiashara

$
0
0
  Na Jumanne  Nzagamba, Chunya. Nipo  kijijini  Kanga, wilaya  ya  Chunya  ambapo  kwa  macho  yangu  nimemshuhudia  mfanyabiashara  mmoja  akipewa kichapo  kikali  na  vijana  watatu  wa  kisukuma  ambao  alikuwa  akifanya  nao  biashara ya  pikipiki... Kichapo  hicho  kilianza  baada  ya  baba  mwenye  nyumba  kumuomba  mtoto  wake  wa  darasa  la  sita  amsomee  maneno  yaliyoandikwa  katika

Picha za UCHI za binti wa kibongo zavuja

$
0
0
  Jinamizi  la  picha  za  utupu  limeendelea  kuwatafuta  akina  dada  ambapo  leo  hii  mpekuzi  wetu  amefanikiwa  kuzinasa  picha  mbaya  za  binti  mmoja  wa  kibongo  anayesadikiwa  kuwa  ni  mwanafunzi  wa  chuo  kikuu .... Picha  hizo  za  laana  zinamuonesha  binti  huyo  akiwa  uchi  wa  mnyama  ndani  ya  vyoo  vya  hotel  na  moja  akiwa  kitandani... <<BOFYA  HAPA  KUJIONEA

Joseph Kaniki anaswa na madawa ya kulevya Ethiopia....

$
0
0
Mshambuliaji wa nyota wa zamani wa timu ya soka ya Simba na Taifa, Joseph Kaniki ‘Golota’ na bondia Mkwanda Matumla wanashikiliwa huku Addis Ababa, Ethiopia wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya.  Kukamatwa kwao kumezidi kuongeza idadi ya Watanzania maarufu waliotiwa mbaroni nje ya nchi katika siku za karibuni wakituhimiwa kwa makosa hayo.   Tukio

Sheikh Koba atiwa mbaroni kwa tuhuma za KUMBAKA mwanafunzi wa darasa la pili

$
0
0
KIONGOZI wa msikiti wa Masjid Maftah ulioko Misufini katika manispaa ya Morogoro, Alhaj Abdul Wazir, maarufu kama Sheikh Koba, anashikiliwa kwa mahojiano mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane, mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Sabasaba. Taarifa zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile,

Zanzibar yaapa kuishitaki meli iliyokamatwa na tani 30 za bangi Italia.

$
0
0
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Gold Star, baada ya meli yake kukamatwa na tani 30 Za mihadarati aina ya bangi Kisiwa cha Malta Vessel, nchini Italia. Hatua hiyo ilitangazwa na Mkurugenzi wa Mamalaka ya Usafiri Baharini (ZMA), Abdi Omar Maalim, alipozungumza ofisini kwake Mlandege Zanzibar, jana.

Ndugai ataja sababu zake zilizomfanya amtimue Freeman Mbowe Bungeni

$
0
0
NAIBU Spika, Job Ndugai ametetea uamuzi wake wa kuagiza kutolewa ndani ya ukumbi wa Bunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema alikuwa sahihi. Mabishano hayo ambayo yalisababisha kuibuka kwa vurugu bungeni yalitokea mwishoni mwa wiki, muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu, ambapo kiongozi huyo wa Bunge aliruhusu mjadala kuhusu Muswada wa Marekebisho

Waasi wa M23 wakubali kuweka silaha chini kwa masharti kadhaa

$
0
0
Wakati vikosi vya Umoja wa Mataifa vikisitisha kwa muda operesheni ya kukabiliana na Kundi la M23 Mashariki kwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, ili kupisha mazungumzo ya amani, kundi hilo limesema liko tayari kuweka silaha chini.  Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mapigano kati ya kundi hilo na Jeshi la DRC, yalitarajiwa kuanza jana mjini Kampala,Uganda.  

VIDEO: Binti aangukia mshumaa na kuungua nyeti zake wakati akikata mauno

$
0
0
Hii  ni  video  fupi  ya  binti  aliyeungua  nyeti  zake  baada  ya  kuangukia  mshumaa  wakati  akikata  mauno.... Sakata  hilo  lilimkuta  wakati  akiwa  ametundika  KICHWA chini, MIGUU  juu ( POPO  STYLE)  katikati  ya  mlango  wa  kuingilia  sebuleni.... MSHUHUDIE  HAPO  CHINI... <!-- adsense -->

Jalada la kesi ya mbuge SUGU wa Mbeya mjini latua kwa DPP

$
0
0
JALADA la Kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), limefikishwa katika Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali. Mbilinyi maarufu kwa jina la ‘Sugu’, anadaiwa kumjeruhi askari wa Bunge katika vurugu zilizotokea Bungeni mwishoni mwa wiki iliyopita.  Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Susan Kaganda alisema polisi wameshapeleka jalada la mbunge huyo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images