Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"Mbowe ni Mjinga na Mpuuzi"...Hii ni kauli ya Kigwangalla bungeni

$
0
0
  Mbunge wa Nzega Dr. Kigwangalla, ametumia muda wake karibu wote wa kuchangia Muswada wa Katiba kwa kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu aibu  Kigwangalla  amempongeza  Naibu  Spika  kwa  kumtimua  Mbowe  bungeni  na  kusema  kuwa  kitendo  hicho  kimemshikisha  adabu... Aidha, mbunge  huyo  wa  Nzega amedai kuwa Mbowe sio Mchaga bali ni

Producer akata mzizi wa UNAFIKI kati wa Dayna na Diamond

$
0
0
Baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna Nyange,producer Shedy  ameamua  kukata  mzizi  wa  fitina  kwa  kuuanika  ukweli  wa  mambo.... Akiongea  na  #Team tizniz,Shedy  amefunguka  kama  ifuatavyo: “Beat hii nilitengeneza mimi kwa idea zangu mwenyewe. Alikuja Dayna akaupenda ule mdundo na mimi sikumnyima , akafanya demo

Rais Kikwete na Kagame wamaliza tofauti zao na kukubaliana kushirikiana kama zamani

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 5, 2013, amekutana kwa faragha na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame katika mazungumzo yaliyokwenda vizuri na kuwaridhisha viongozi hao wawili wa nchi jirani.  Viongozi hao wamekutana kwa zaidi kidogo ya saa moja katika mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Munyonyo Commonwealth

Aibu: Daktari FEKI akamatwa katika hospitali ya KCMC Moshi

$
0
0
  Hali ya wasiwasi imejitokeza kwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa huduma za  matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Moshi Kilimanjaro baada ya uongozi wa hospitali hiyo kumkamata mtu anayejifanya kuwa ni daktari wa watoto akiwa kwenye wodi ya upasuaji. Daktari huyo feki aitwae Alex Sumni Massawe amewekwa chini ya ulinzi na Jeshi la Polisi baada ya kukutana na mmoja wa wagonjwa ambae

Linex amwagana na DEMU wake wa Kizungu...kisa ni Pesa na Muziki.

$
0
0
Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March 2013. Millardayo amepata nafasi ya kuzungumza na Linex  kwenye exclusive interview ambayo amekiri ni kweli imebidi kila mmoja aendelee na maisha yake na mapenzi yao kuisha kwa sababu kadhaa

Polisi na Mawaziri wadaiwa kujihusisha na biashara haramu ya NGONO

$
0
0
BAADHI ya mawaziri na polisi wametajwa kuwa ni wateja wakubwa wa wanawake wanaouza miili yao, maarufu kwa jina la Changudoa. Hayo yameelezwa jana na Jukwaa la Wanaharakati Wanawake Vijana (YFF), walipokuwa wakiwasilisha ujumbe wao kwa njia ya sanaa ya ngonjera, katika tamasha la 11 la Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linaloendelea eneo la Mabibo jijini Dar es Salam. Wanaharakati hao

Wananchi walilaani Bunge la Tanzania kutokana na vurugu zinazoendelea

$
0
0
Baada ya kuibuka mvutano mkali bungeni jana, kati ya Naibu Spika, Job Ndugai na wabunge wa Kambi ya Upinzani, wasomi, wanaharakati, Chama cha Madaktari Tanzania (Mat), Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), vimesema kinachoendelea sasa ndani ya Bunge ni masilahi ya vyama vya siasa siyo taifa. Walitoa

Ripoti maalumu ya gazeti la MWANANCHI kuhusu vurugu zilizotokea jana bungeni

$
0
0
  Jana, Bingwa wa Dunia wa uzani wa kati (super middle), unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBF), Francis Cheka alitembelea Bunge baada ya kutwaa taji hilo karibuni na jana hiyohiyo, Bunge hilo lilishuhudia ngumi kavukavu katika vurugu kubwa pengine kuliko zote zilizowahi kutokea katika ukumbi wake. Katika masumbwi hayo yasiyo rasmi, Mbunge wa

Serikali yasalimu amri na kukubali kulipa mishahara ya wafanyakazi wa TAZARA waliokuwa wamegoma

$
0
0
HATIMAYE serikali imesalimu amri na kuamua kuwalipa mishahara ya miezi minne wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliogoma wakishinikiza kulipwa stahiki zao. Uamuzi wa kuwalipa wafanyakazi hao ulitangazwa jana bungeni na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, alipokuwa akitoa kauli ya serikali kuhusu mgomo wa wafanyakazi hao ulioanza Agosti 23 mwaka huu.

Viongozi wa Maziwa Makuu watoa siku tatu kwa M23 na Serikali ya DRC kurejea meza ya mazungumzo

$
0
0
  Wapatanishi wa mgogoro wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa muda wa siku tatu kwa waasi wa M23 na serikali ya nchi hiyo kurejea kwenye meza ya mazungumzo huko jijini Kampala Uganda. Hayo ni baada ya kikao cha viongozi wa kanda ya maziwa makuu kiliyofanyika juzi huko kampala Uganda. Kiongozi wa kundi la M23 Bertrand Bisimwa amesema wao wapo tayari kwa mazungumzo na

"Nileteeni mama zenu nilale nao ili nithibitishe kama ninyi ni wanangu"...Baba kanumba

$
0
0
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake. Akipiga stori na mwandishi wetu, baba Kanumba alisema amefikia hatua hiyo kutokana na usumbufu anaoupata kwani tangu Kanumba alipofariki dunia wamejitokeza mabinti watano wakidai kuwa ni watoto wake wakati si

"Tumewataka Kenya, Uganda, Rwanda watueleze walichozungumza kwa siri"...Benard Membe

$
0
0
Serikali imeziomba nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuipa taarifa ya mikutano waliyoifanya bila ya kuishirikisha hivi karibuni.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumzia na waandishi wa habari ofisini kwake jana alisema wameziomba nchi hizo kuitaarifu kile walichokijadili. Alisema kwakuwa nchi hizo ni miongoni mwa

Sakata la mwanafunzi wa KIDATO CHA NNE aliyezalishwa na msanii DIAMOND

$
0
0
MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MCHEZO MZIMA Habari kutoka kwa chanzo chetu cha kuaminika zilidai kuwa Sasha na Diamond walikutana katika mgahawa mmoja uliopo kwenye maduka ya Mlimani City, Dar na ndipo walipoanzisha uhusiano. Ilidaiwa kuwa Sasha

"Namshukuru mungu kwa kuwa sina UKIMWI"...RAY C

$
0
0
Mwanadada  anayejipanga kurejea kwenye gemu la Bongo Fleva kwa kishindo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka ya moyoni tena  akisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kupona madhara ya madawa ya kulevya bila kupata matatizo mengine ya kiafya huku akifafanua suala la kuokoka. Mwanamuziki huyo alisema kuwa katika kipindi chote cha kupigana na madawa ya kulevya zaidi ya miaka mitatu iliyopita,

Picha za UTUPU za wanafunzi wakinyonyana maziwa zanaswa

$
0
0
<!-- adsense --> Picha  chafu  za  wanafunzi  wa  sekondary  moja  maarufu  zimenaswa  na  mpekuzi  wetu  zikipaa  toka  mtandao  mmoja  kwenda  mwingine.... Katika  picha  hizo, wanafunzi  wawili  wakiwa  na  sare  za  shule  wanaonekana  wakinyonyana  maziwa  huku  kamera  yao  iliyoegeshwa  ikiwachukua..... Tumeifunika  picha  kidogo.Ukitaka  ambayo  haijafunikwa, bofya  hapo  chini 

Mengi amchana Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kupitia Twitter

$
0
0
Mkurugenzi wa IPP, Bw Reginald Mengi amemtolea uvivu waziri wa Nishati na Madini, Mh Sospeter Muhongo, na kuweza wazi hisia zake kuhusu waziri huyo kwa kupitia mtandao wa Twitter. Mzee Mengi ameandika: Mh Muhongo asambaza taarifa za uongo juu yangu kuhusu vitalu vya madini. Ni kufilisika kifikra. Asipoteze lengo. Ajibu hoja ya gesi — Reginald Mengi (@regmengi) September 6, 2013 Mh

Mama aumbuka baada ya NZI kujazana katika MAKALIO yake wakati akielekea sokoni

$
0
0
  Mama  mmoja  amejikuta  akiambulia  AIBU  ya  mwaka  baada  ya  NZI kujazana  katika   makalio  yake.. Mama  huyo  ambaye  mpekuzi  wetu  hakuweza   kumtambua jina, alikumbwa  na  aibu  hiyo   hivi  karibuni  wakati  akikatiza  mitaa  kuelekea  sokoni.... Haikuweza  kufahamika  mara  moja  kuhusu  chanzo  cha  NZI  hao  kujazana  katika  makalio  yake. <!-- adsense -->

"Baba nilikuona USIKU ukiwa UCHI, nikajifanya nimelala, baadae nikamsikia mama AKIKOROMA"..Mtoto

$
0
0
Haya  ndo  madhara  ya  kulala  na  watoto  chumba  kimoja... Huyu  ni  binti  wa miaka  2 (  makadirio)  ambaye  ameamua  kuwaumbua  wazazi  wake  kwa  matendo  yao  ya  usiku  ambayo  amekuwa  akiyashuhudia.... Walipoamka  asubuhi, binti  alimfuata  baba  yake  na  kumwambia  kuwa  jana  aliwashuhudia  wakiwa  UCHI... Baada  ya  kauli  hiyo, baba  alistuka  kidogo  na kutaka  kujua  zaidi

Wanafunzi walipukiwa na bomu mkoani Morogoro

$
0
0
Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakati wakitoka shuleni.Wanafunzi hao waliojeruhiwa katika sehemu mbalimbali za miili yao ni Luciani Juma (14) na Anthonia Charles (15), wakazi wa kijiji cha Konde, Tarafa ya Matombo wilayani

Dunia yamgeuka Rais Paul Kagame...

$
0
0
  TASWIRA ya kimataifa ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mzozo wa kidiplomasia na Rais Jakaya Kikwete, inaonekana kuchukua mwelekeo wa kuchuja badala ya kustawi kwa namna ilivyokuwa miaka michache tu iliyopita, MTANZANIA Jumapili limebaini.Baada ya kuvuma kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, Kagame, aliyekuwa akibeba taswira ya mtu shupavu na shujaa,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images