Hali ni tete na hakuna amani, mabomu ya machozi yanarindima muda
huu na huduma zote za kijamii zimefunngwa hakuna usafiri, masoko, maduka
na bar zote zimefungwa, daladala, Taxi na Bodaboda hazifanyi kazi.
Kwa
ujumla kinachoendelea ni mapambano makali kati ya Jeshi la polisi na
wananchi wenye hasira wanaopinga vikali kuendelea kwa mchakato wa gesi
ilihali nchi ikiwa haina sera
HALI NI MBAYA MKOANI MTWARA....MABOMU NA RISASI VIMETAWALA, HUDUMA ZA KIJAMII ZIMESTISHWA
↧
↧
NYUMBA YA MWANDISHI WA HABARI WA TBC YACHOMWA MOTO HUKU MABOMU YAKIRINDIMA HUKO MTWARA
Hali
imezidi kuwa mbaya katika Mji wa Mtwara na hivi punde watu wanaendelea
kufanya uharibifu katika maeneo mbalimbali ya mji huo.
Jengo moja ambalo
linadaiwa kumilikuwa na CCM limechomwa moto katika eneo la Majengo na
daraja linalounganisha Lindi na Mtwara limevunjwa.
Mbali na hayo pia
nyumba ya mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC)imechomwa
moto.
Katika
↧
KUNDI LA CAMP MULLA LAZIDI KUPASUKA....
Hivi karibuni tuliandika habari kuhusu kundi linaloundwa na vijana
wanne wenye vipaji kutoka Kenya linalofahamika kama Camp Mulla kumpoteza
member mmoja ambaye ndio aliyekuwa msichana pekee katika kundi aitwaye
Miss Karun.
Mwanzo ulianza kama uvumi kuwa Miss Karun amepigwa chini na kundi
hilo na nafasi yake kuchukuliwa na msichana mwingine aitwaye Tiri,
lakini habari mpya habari
↧
VURUGU ZA MTWARA ZASABABISHA BUNGE LIAHIRISHWE....
↧
UKICHECHE WAMFANYA MR. NICE AZOMEWE NCHINI KENYA
Mtandao
wa ghafla kutoka Kenya umeripoti kuwa, msanii Mr Nice, amejikuta
akizomewa na umati wa watu waliokuwa katika Club moja inayoitwa I club,
ambapo wachekeshaji Fred Omondi na Mc Antonio hufanya show zao pale kila
siku za jumapili.
Inasemekana
Mr Nice alikua ameenda pale kwa ajili ya kula good time tu, na
kufurahisha nafsi yake, lakini matokeo yake hayakuwa kama
↧
↧
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA TRENI
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma anayejulikana kwa jina la Boid Mwakitalima amefariki dunia baada kugongwa na treni....Mwanafunzi huyo alikuwa mwaka wa tatu.
Taarifa zinaeleza kuwa, mwanafunzi huyo alikuwa anatembea pembezoni mwa reli huku akiwa ameweka "headphone" sikioni, hali iliyomfanya ashindwe kusikia ama kuhisi chochote juu ya muungurumo wa treni
↧
VIDEO: RIPOTI YA ITV KUHUSU VURUGU ZA WANANCHI WA MTWARA ZILIZOSABABISHA WATU WAPOTEZE MAISHA
Mtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC
VIDEO
<!-- adsense -->
↧
VURUGU ZA MTWARA ZAUA WANAJESHI WANNE NA KUJERUHI 20
↧
LIVE: HII NI VIDEO YA MAPIGANO MAKALI KATI YA WAASI WA M23 NA JESHI LA SERIKALI....MAPIGANO YALIANZA JUMATATU
Waasi wa M23 wamepambana na wanajeshi wa serikali mashariki mwa Jamhuri
ya Kidemokrasi ya Congo-DRC siku moja kabla ya Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa Ban Ki-Moon kuwasili katika eneo hilo.
Mapigano ya Jumatano nje ya mji wa Goma yanakuwa siku ya tatu mfululizo
ya mapambano kati ya jeshi la Congo na kundi la uasi la M23.
Mashahidi wanasema mzunguko mmoja wa kombora ulitua katika eneo la
↧
↧
RASLIMALI ZA NCHI NI MALI YA TAIFA ZIMA....WALIOANDAMANA HUKO MTWARA TUTAWASHITAKI'... RAIS KIKWETE
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewaonya watu
wanaosababisha uvunjifu wa amani nchini humo kuwa watakamatwa na
kuchukuliwa hatua za kisheria.
Onyo hilo linafuatia ghasia ambapo ofisi kadha, maduka na nyumba
zimechomwa katika mkoa wa Mtwara ulioko kusini mashariki mwa Tanzania jana
Akihutubia kupitia
↧
MKURUGENZI WA MASHITAKA NCHINI ATAKA LWAKATARE ASHITAKIWE KWA UGAIDI TENA
MKURUGENZI wa
Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amewasilisha ombi katika Mahakama
ya Rufaa nchini, akiomba itengue uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam wa kumfutia mashitaka matatu ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na
Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred
Lwakatare na Ludovick Joseph.
Dk. Feleshi aliwasilisha ombi hilo juzi kwa njia ya maandishi,
↧
SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI
Sheha
wa Tumondo Mohamed Omary Said,amemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana
na hivyo kupata maumivu makali sehemu yake ya kifua na jicho kuumia
pia. Sheha huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja mjini Unguja ambapo alipatiwa matibabu ya dharura.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema
chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana
↧
VIDEO YA MTANGAZI ALIYAEAMUA KUNYONYA MATITI YA MWANAMKE LIVE WAKATI WA KIPINDI CHAKE KISA KIKIWA NI KUIFUNDISHA JAMII
Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha
watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa
moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake.
Mtangazaji
huyo, Paul de Leeuw, alikuwa amealika kundi la wanawake kutoka asasi
moja ambayo inaruhusu kubadilishana maziwa ya mama kati ya akinamama
kwenye kipindi chake cha burudani,
↧
↧
BUNGE LAAHIRISHWA TENA LEO MPAKA UFUMBUZI WA GESI MTWARA UTAKAPOJULIKANA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh.Anna Makinda ameliahirisha tena bunge leo asubuhi ili kupisha kamati
ya uongozi ya Bunge iendelee kukutana ili kutoa maamuzi na tamko kuhusu
vurugu za Mtwara zilizojotokeza jana na kusababisha mtu mmoja kufariki
dunia na uharibifu mbalimbali kutokea ikiwemo kuchomwa moto nyumba za
viongozi wa serikali,chama cha mapinduzi na nyumba ya
↧
MAJAMBAZI YAVAMIA GARI NA KUPORA MAMILIONI JIJINI DAR LEO SAA TANO ASUBUHI
Pichani
ndio matundu ya risasi zilivyorindima kwenye kioo cha dereva (risasi
tatu) ,mara
majambazi hayo kufanikiwa kumjeruhi dereva sehemu ya bega na kufanikiwa
kunyakua begi linalosadikiwa kuwa,lilikuwa na kiasi cha fedha shilingi
milioni 40 na kutokomea nazo.
Pichani
kulia ni Askari Usalama barabarani akichukuliwa maelezo yake kutokana
kushuhudia tukio la ujambazi
↧
ASKARI ALIYENASWA NA MAGUNIA 18 YA BANGI HUKO HIMO AWATOROKA POLISI
ASKARI
Polisi Koplo Edward, anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya (bangi)
gunia 18 huko Himo, Kilimanjaro tarehe 18, Mei 2013, ametoroka chini ya
ulinzi wa askari polisi saba na kutokomea kusikojulikana.Mtuhumiwa
huyo alikuwa dereva wa gari aina ya Toyota Landcruiser namba PT. 2025
la Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Arusha.
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Arusha, Liberatus
↧
DAKTARI AJINYONGA NA KUFA NDANI YA GESTI HUKO MOROGORO
DAKTARI
wa meno Anorld Rimo (umri wa miaka kati ya 30 hadi 40) wa hospitali ya
Sabasaba manispaa ya Morogoro, amekutwa amejinyonga katika nyumba ya
kulala wageni ya Camel iliopo Kihonda. Kamanda wa polisi mkoani hapa Faustine Shilogile alisema kuwa tukio hilo limetokea Mei 22 saa 10 alfajiri katika
nyumba hiyo ya kulala wageni.Alisema
Daktari huyo alikuwa amepanga katika nyumba
↧
↧
RAIS KIKWETE ATANGAZA VITA KUHUSU VURUGU ZA MTWARA.....AMESEMA SERIKALI YAKE ITAWASULUBU WACHOCHEZI WA VURUGU
WAKATI hali ikizidi kuwa tetea Mkaoni Mtwara kufutia Mapigano
yaliyoanza jana Mkoani humo Rais Kikwete amevunja ukimwa wake na kutoa
amri wahusika wakuu wa tukio hilo kusakwa mara moja.
Akizungumza katika eneo la Kizota, Dodoma wakati wa kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Barabara ya Dodoma kwenda Iringa, Rais Kikwete alisema wote waliohusika na vurugu hizo watasakwa na
↧
PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA USIKU
\
Sheha
Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa
katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh
Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia
Kamanda
wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo
kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio
na kwamba polisi
↧
HALI BADO NI MBAYA MTWARA....WANAFUNZI WAWILI WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA AMEFARIKI HAPOHAPO
Mwandishi
wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi ya wananchi wa
eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya Mkoa wa
Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na vurugu za kuchomwa kwa
nyumba zao pamoja na vibanda vya biashara zilizotokea leo asubuhi katika
eneo hilo..
Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari
magereza .
↧
More Pages to Explore .....