Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tamko La Shirikisho La Vyama Vya Tiba Asili Tanzania (shivyatiata) Kuhusu Maelezo Ya Waziri Wa Afya Aliyoyatoa Tarehe 15/01/2016, Juu Ya Tiba Asili Natiba Mbadala.

$
0
0
Ndugu waandishi wa Habari na ndugu wananchi, shirikisho la vyama vya Tiba Asili Tanzania (shivyatiata) ni chombo kinachosimamia vyama vyote vya Tiba Asili hapa Nchini pamoja na Waganga wote wa Tiba Asili na pia ndiyo msemaji wao kwa Serikali, Mashirika ya Kitaifa na Kimataifa na kuhakikisha chombo hiki kinasimamia na kulinda maslahi yote ya Waganga wa Tiba Asili hapa nchini Hivyo basi

Tamko la Jukwaa la Wahariri kuhusu kufutwa kwa gazeti la MAWIO

$
0
0
UTANGULIZI  1. JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeshtushwa na kusononeshwa na hatua ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye KULIFUTA katika daftari la Msajili wa Magazeti, Gazeti la Mawio. 2. TEF inaichukulia hatua hii kama aina mpya ya ukandamizaji wa uhuru vyombo vya habari nchini. Kwa serikali zilizopita, tulikuwa tukipambana na vitendo vya

Waziri Mkuu Awasili Mjini Dodoma Kuhudhuria Vikao Vya Bunge .....Afanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Galawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma January 20, 2016 ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuhudhuria vikao vya Bunge. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu  Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Kuu ya CCM

Rais Magufuli Amng'oa Eliakim Maswi TRA Na Kumrudisha Manyara ....Awafuta Kazi Vigogo Wawili Idara Ya Uhamiaji

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja   ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni. Katibu Mkuu

Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako Aufuta Mfumo wa GPA Na Kurudisha Mfumo wa Divisheni kwa Kidato cha Nne Na Sita

$
0
0
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amefuta mfumo wa matokeo ya GPA kwa wanafunzi wa kidato cha nne, sita na ualimu na kurudisha ule wa zamani wa divisheni. Mbali na hilo, Ndalichako ameagiza kuondolewa kwa mtihani wa pili (paper two) kwa watahiniwa binafsi ambao ulianza mwaka 2014. Katika mkutano na waandishi wa habari jana, Profesa

Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi Amtaka LOWASSA Ajieleze Kama Ataendelea Kubaki CHADEMA Iwapo Jina lake Litaenguliwa Mbio za Urais 2020

$
0
0
Kufuatia  kauli ya aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa ya kugombea tena urais mwaka 2020, Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amemhoji Lowassa kama atakuwa tayari kuendelea kutumikia Ukawa kama jina lake halitapendekezwa kugombea nafasi hiyo. Sungura amesema kauli hiyo ya Lowassa

Rais Magufuli Kuwassili Jijini Arusha Leo Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili

$
0
0
Rais John Magufuli anatarajiwa kuwasili mkoani hapa leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Hii ni ziara yake ya kwanza tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo Oktoba 25, mwaka jana. Maandalizi ya kumpokea Rais yalikuwa yamepamba moto jana ikiwa ni pamoja na kupanua barabara inayoingia na kutoka makazi ya Rais jijini hapa. Katika Ikulu ndogo ya jijini Arusha jana jioni, wafanyakazi

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Ziara Ya Katibu Mkuu (mawasiliano) Ya Kutembelea Shirika La Posta Tanzania

$
0
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora alifanya ziara ya kutembelea Shirika la Posta Tanzania ili kufahamu utendaji kazi na utekelezaji wa majukumu ya Shirika.  Katika ziara hiyo Prof. Kamuzora aliambatana na Naibu Katibu Mkuu wake Dkt. Maria Sasabo na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Shirika hilo.  Katika ziara

Waziri Mkuu Mstaafu ,Mizengo Pinda Awafunda Wabunge Wa CCM.....Awataka Kujenga Hoja Vizuri Ili Kuwakabili Wabunge Wa Upinzani

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amewataka wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kujenga hoja vizuri katika Bunge linalotarajia kuanza vikao vyake wiki ijayo mjini Dodoma, kwa kuwa wabunge wa vyama vya upinzani wameongezeka bungeni. Hayo yalisemwa jana Dar es Salaam na Pinda, baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere, aliyefariki akiwa Maryland nchini

Video Nzima Ya Rais Magufuli Akionyesha Umahiri Wake Katika Ushonaji Iko Hapa

$
0
0
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu. ==>

Shirikisho la Wamiliki wa Shule Binafsi Waipongeza Serikali Kwa Kufuta Mfumo wa GPA na Kurudisha Division

$
0
0
Shirikisho la wamiliki wa shule na vyuo visivyo vya serikali  TAMONGSO watoa pongezi kwa Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi kwa kuliagiza Baraza la Taifa la Mitihani kufuta mfumo unaotumika sasa wa Wastani wa Alama (GPA) na kurudi katika mfumo uliokuwa unatumika hapo awali wa division. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti

Waziri Wa Afya Aikaba Koo Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD)

$
0
0
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummi Mwalimu ameiagiza Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kujenga maduka ya dawa katika kila Hospitali ya mkoa hapa nchini kabla ya Mei na Juni mwaka huu. Kauli ameitoa jana wakati wa ufunguzi wa duka la dawa katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure, ambako amesema MSD wanapaswa kujenga maduka ya dawa katika kila hospitali

Rais Dkt. Magufuli Amteua Jakaya Kikwete Kuwa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Chancellor of the University of Dar es salaam).   Rais Mstaafu Kikwete anachukua nafasi hiyo, iliyoachwa wazi na Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliyefariki dunia Februari, 2014.

Jifunze Kutengeneza Pipi Za Kihindi ,uongeze Kipato Chako.

$
0
0
 ==>Wewe  ni  kijana  wa  kitanzania ?  ==>Unataka  kuongeza  kipato  chako ? Kama  jibu  lako  ni NDIO  basi   hii  ni  HABARI NJEMA  SANA  KWAKO. Taasisi  ya  NEEMA  INSTITUTE  OF  N.G.O  MANAGEMENT  kupitia MRADI  WA  UANZISHAJI, UENDESHAJI  NA USIMAMIZI  WA BIASHARA  NDOGONDOGO  inatangaza  nafasi  za  kushiriki  katika  SEMINA  YA  UJASIRIAMALI.   Somo  litakalo fundishwa  ni  

Mahakama Kuu Yafutilia Mbali Kesi Ya Kupinga Ushindi Wa Tundu Lissu

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imefutilia mbali kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jonathan Njau kupinga ushindi wa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu (CHADEMA). Katika madai yake ya msingi, Njau alikuwa akipinga matokeo na kutaka kura kuhesabiwa upya. Shauri hilo lilikuwa mbele ya Jaji Berkel Sehel ambapo mgombea wa ubunge kupitia chama cha

Waziri Mkuu Aagiza TAMISEMI Isimamie Vizuri Mikoa, Halmashauri

$
0
0
 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ndiyo kitovu cha nchi na kwamba kila Mtanzania ameelekeza jicho lake pale kwa sababu anasubiri kupata huduma ya msingi. “Hapa ndiyo kitovu cha nchi na Watanzania wote macho yao yako huku. Kwa nini? Kwa sababu huduma zinasowagusa za barabara, maji, elimu, zinatokea huku kwa maana ya bajeti na

Zitto Kabwe na Saed Kubenea Kukutana Uso Kwa Uso Kamati Ya Huduma za Maendeleo ya Jamii

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametangaza kamati za Bunge na majina ya wabunge waliochaguliwa katika kamati hizo kwa mujibu wa sheria.Sura za wabunge wa zamani zimechanganyika na sura mpya katika kamati hizo ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT) na Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (CHADEMA) ni miongoni mwa wanaounda kamati ya huduma za maendeleo ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Januari 22

Dkt Kikwete atunukiwa Shahada ya Heshima ya Kimataifa Katika Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT)

$
0
0
Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa ya mahusiano ya kimataifa jana Jijini Dar es Salaam katika mahafaliya 30 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania. Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema amefarijika sana kutunukiwa Shahada hiyo ya heshima itolewayo na Chuo kikuu Huria Tanzania kwa watu ambao wametoa mchango katika

Kardinali Pengo Aruhusiwa Kutoka Muhimbili

$
0
0
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili ameruhusiwa baada ya afya yake kuimarika. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema jana kuwa Kardinali Pengo aliruhusiwa saa 6.30. Awali, Profesa Janabi alisema Kardinali Pengo alilazwa katika kitengo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images